Posho na Mishahara ya wabunge...

Mkuu, ujitahidi kupanga vizuri andishi lako ili hoja yako ieleweke. Tumia vituo, paragraph, herufi kubwa, nk
 
hii inadhiirisha wazi jinsi hawa watu walivyo out of touch na wananchi, wanakaa bungeni kufikiria wao na familia
zao badala ya wananchi waliowachagua ni aibu kubwa kwa kweli kwa hawa wabunge wa CCM.
 
mafiga matatu!! kumbe bado wanayo tu. wamesahau kuni ambazo ni wananchi katika hayo mafiga yao
 
Madabida alitaka madiwani nchi nzima wapeposho na kukopeshwa vyombo vya usafiri kwa maelezo kwamba ndiyo namna ya kuwafanya watekeleze majukumu yao vizuri ya kusimamia maendeleo kwenye maeneo yao
Si hawa ndio wanasimamia halmashauri kama ya jiji la Dar, kuna maendeleo gani wanasimamia zaidi ya uchafu, giza, hata kuweka majina ya mitaa wameshindwa.Wana vyanzo gani vya pesa vinavyochangia pato la taifa kiasi cha kudai posho.
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM) alikwenda mbali na kuelezea kushangazwa na mfumo wa kuwanyima posho madiwani ulivyo wakati walikuwa pamoja wakati wa kampeni
hata wagawa khanga na kofia nao wapewe posho si walikuwa katika kampeni
Alihoji iweje wakati wa kampeni wagombea wanatumia falsafa ya mafiga matatu; lakini baada ya uchaguzi figa la kwanza Rais, Serikali inalijali na figa la pili wabunge pia wanapewa posho nzuri lakini figa la tatu ambalo ni diwani linatelekezwa
Hivi mafiga matatu ni sera ya nchi
Naye Mbunge wa Kisesa, Luhanga Mpina (CCM) aliwahamasisha wabunge kutopitisha bajeti ya Waziri Mkuu, itakapowasilishwa bungeni keshokutwa, endapo hatatenga fedha kwa ajili ya malipo ya mishahara kwa madiwani
Mimi nillidhani bajeti ispitishwe kama hakuna maelezo ya rada, Qatar kutuma jeshi la kuchukua wanyama, kama hakuna mkakati wa umeme, kama bajeti haitatenga kiasi cha kujenga wodi za wazazi, kama wanafunzi wataendelea kukaa chini n.k
Mpina alisema hakuna sababu za msingi za kuifanya Serikali kushindwa kuwalipa mishahara madiwani huku ikifahamu kuwa madiwani ndio wasimamizi wa karibu zaidi wa shughuli za maendeleo katika ngazi za kata kuliko hata wabunge
Ndio maana CDM wanasema posho za wabunge hazina maana, ahsante kutusaidia kwa hili.
Akijibu maswali hayo ya wabunge, Naibu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanry alisema mbali na posho ya Sh 120,000, diwani pia anapokea Sh 40,000 kama posho ya kikao
Kwahiyo vikao 10 kwa mwezi ni sawa na mtaalamu aliyehitimu katika shahada

Kama mkakati wa wabunge wa CCM ni kujibu mapigo kwa dharau ya namna hii basi waelewe wanaendelea kututia hasira sisi wananchi, lakini wajiulize KANU na UNIP zipo wapi. Ni suala la muda tu watajua waliongea nini.

Kwa mantiki hii ya kufikiri ya wabunge wa CCM nitashangaa kama kuna mtu atakuwa hana jibu kwanini nchi hii ni masikini.
Bajeti yote walikuwa kimya bila kuonyesha hata chanzo kimoja cha mapato ya taifa, lakini linapokuja suala la ubinafsi kila mtu atachangia hoja.
Hawafikirii watoto na watanzania wanaomenyeka na maisha, wasiojua kesho itakuwaje, wao wanachojua ni posho.

Tuna safari ndefu sana waafrika na ni lazima tutafute njia ya kufupisha safari hii kabla ya jua la kiangazi halijatumaliza.
Inasikitisha sana!!!!
 
Sarakikya and Others: link pensions to minimum wages Send to a friend
Saturday, 18 June 2011 17:52
digg

Sarakikya Pension: SunCit Jun19 (SNT June 12, 2011).
By Karl Lyimo

'Pension' is becoming a serious issue in Tanzania, a country where, we're told, 'Binadamu Wote ni Sawa, na Afrika ni Moja:' All Men (and women) are equal; and Africa is one in unity!

I'm told this is (was?) the credo of the Independence political party TANU (Tanganyika African National Union: 1954-77). What happened to TANU, we all know... It was slaughtered on the altar of political expedience (more like political machination), together with the Zanzibar Afro-Shirazi Party, to form the revolutionary party CCM.

But, that's a tale fit to be told another day. Today's story is based on a lamentation by retired Military General Mirisho Sarakikya regarding his monthly pension of Sh50, 000 (roughly $32.5). (Mwananchi: June 8, 2011).

Taking into account that Sarakikya served his country exceedingly well – climaxing his career with top military honours as Chief of the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) – then it's flummoxing that the man should be paid a mere Sh50, 000 as monthly pension. This is ostensibly in recognition of the sterling services he provided to his country!

If I remember well, Sarakikya was the first son of the soil to head the newly reconstituted TPDF, taking over from Briton Brigadier Sholto Douglas following the January 20, 1964 military mutiny.

Let me declare my interest here... I'm also a retired (very) civil servant who, like Mr Sarakikya, draws Sh50, 000 a month as pension. But, I'm no General; and still less chief of anything – to say nothing of the national Defence Forces or suchlike rarefied echelons of power, privilege, pomp and ceremony!

I knew Mr Sarakikya long before he became a national hero. We attended the same alma mater in the late 1950s – Old Moshi Secondary, under J G Gray as headmaster. At that time, the man was known as Sam Hagai... And he had already shown exceptional leadership qualities then, rising to school head prefect in due course of time. He also was an excellent athlete, a good soccer player and, all in all, a highly inspirational leader.

In the event, I wasn't taken aback at all to learn that he had not only joined the Army, but had eventually risen to the top of the military establishment. He, of course, also served stints as an elected Member of Parliament (Arumeru Constituency), government minister, and ambassador (Nigeria, Ethiopia and Kenya).

What/where is the rationale for paying the fellow mere peanuts, Sh50, 000 a month, in a country where other citizens who weren't as distinguished as Sarakikya is – and never will be; tarnished, yes! – who count $1m in their dubious offshore bank account as 'Vijisenti,' small change?

In those early heady days before corruption and other u-Fisadi acquired currency in Tanzania, public/civil servants were a personification of all that's pure and simple; clean as the legendary desk sergeant's whistle.

Alas, that's no longer the case today, beginning with the 7th Republican Government of President Benjamin Mkapa (1995-2005). Tanzania has become a stinking morass of sleaze, scams, segregationist practices, police brutality, the lot! More is the pity...

Another pitiful case of infinitesimal pension is/was the former chief secretary of government, Timothy Apiyo, who was/is reportedly living in dire circumstances. But, after his case was reported in the press several times, some top folk from State House ingratiatingly called upon him – and Apiyo's woes seem to have dissolved into thin air.

What miraculous intervention took place here? Can that be repeated for the other pensioners labouring under the Sh50, 000-per-month cruel joke?

I've recommended this elsewhere before... Dar should seriously consider linking pensions to the statutory minimum salary to minimise discriminatory anomalies. Cheers!

 
Kwenye kila kipindi cha Clouds ukiwasikia wanaongelea suala la CHADEMA kupinga kupewa posho za vikao utagundua dhahili kuwa wana ajenda ya siri.
Si kweli kusema kuwa wabunge wa Chadema hawapendi pesa, pia si kweli kuwa wabunge hawa hawapewi pesa ya kujikimu wanapokuwa Bungeni bali wanachopinga CHADEMA ni ile "SITTING ALLOWANCE" ambayo Wabunge wanalipwa kwa kufanya kazi zao.

Labda nijaribu kufafanua ni posho zipi wabunge wanalipwa wanapokuwa bungeni
  1. Mshahara wao wa mwezi
  2. Posho za kuwa nje ya makazi yao - tumezoea kuiita Per Diem
  3. Posho za kuhudhuria vikao vya bunge (yaani kuwemo ndani ya ukumbi) au Sitting Allowance.... hii ndiyo inayopingwa na CHADEMA na kwa maoni yangu ni dhambi kwa serikali kulipa posho hii huku ikitegemea takribani nusu ya bajeti yake kutoka vyanzo vya nje na mikopo... hata kama ni kidogo kitataua kero moja ama nyingine
  4. Posho za mafuta, n.k.
Kubeza uzalendo ulioonyeshwa na wabunge wa CHADEMA ni kuwatukana wanawake wajawazito wanaolundikana kwenye wodi za wazazi wakiwekwa hatarini kuabikizwa magonjwa, ni kuwatukana watoto wetu wanaokaa chini wakisoma madarasani, ni kuwatukana watanzania wanaotembea kilometa 20 kutafuta maji ya kunywa... kama kuna mtu aliyewatuma vijana masikini wa Clouds (PJ, Hando, n.k.) na alaaniwe, na kama wanajituma wenyewe kwa kujipendekeza kwa watawala na walaaniwe waendelee kuwa masikini maisha yao yote.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
 
Kweli duniani kuna mambo. Vumbi la posho za wabunge halijatua, tayari mtu anaanzisha timbwili lingine. Hawa ndo wanakigharimu chama!
 
hao ni tawi la redio uhuru watu washaachana nao na mambo yao ya kijingaaaaaaaaaa kabisa
 
ndugu wanaJF msiwalaumu hawa mabwana bure laumu serikali yao iliyowakosesha elimu nzuri ya kuwawezesha kuwa na independent thinking.
wale mabwana wanaweza kufurahisha watu wenye hela zao wafurahi na sio kuchambua hoja. mtakuwa mnalaumu watu kutumwa kumbe mnakosea wengine ni uwezo wao wa kufikiri umegonga ukuta. mtu wa kutumwa lazima atakuwa na akili za ushawishi wa hoja, sasa kwa akili ya chekechea hawa mabwana wanauwezo huo kweli?

sio kila mwenye kipaji cha kuongea anao uwezo wa kuchambua na kuchanganua hoja.
 
Kama mnavyojua rage ndie kiongozi pale,alafu ana uhusiano wa karibu na kikwete.ndio maana ata mwaka jana walisaidia kuanda birthday ya kikwete.mnategemea nini
 
Pale Clouds kuna watu wanamatarajio ya kuzawadiwa U-DC ndiyo maana kutwa nzima kazi yao ni kuikandia CDM.
 
bila ya shaka imekuwa ni jadi ya clauds kupinga kila jema. hao clauds waliisahawahi kuandaa birthday ya mkuu wa magogoni unategemea watapinga posho! halafu na wale kinamama wawili wa jahazi mbona wamepotea gafla au ndo kazi ya kupigia debe wakubwa wakiwa pamoja na kaka yao imewashinda.
 
hii redio ya chama cha kijani iacheni haifai kutumika kama reference,we umeona wapi watangazaji wana elimu ndogo kama wale,ni utumwa tu unaowatesa period
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom