Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,278
- 2,041
Watanzania MASIKINI nawasalimu na niwatakie HERI ya MWAKA MPYA 2024 MUNGU akipenda Tuingia na UMASIKINI wetu kwa mwaka 2024 Kama Tulivyozoea.
Mada yangu ni juu ya hawa WAHESHIMIWA sana Wenye NCHI hii WABUNGE.Binafsi nilikuwa naamini Mishahara inapangwa na Chombo kimoja Kwa Wote isipokuwa kwa wale walio nje ya Serikali Bunge na Mahakama Na Vyombo vya Ulinzi.
Baadae kuna jamaa ananiambiwa SIO.
LEO nimekuja kutaka kujua ni chombo gani kinapanga Hii MISHAHARA MIKUBWA Na MINONO ya hawa WAHESHIMIWA?
Je, UKUBWA wa hiyo MISHAHARA na POSHO kigezo chake ni nini?
Je, WABUNGE ndio wenye MAJUKUMU Makubwa na Mazito ktk NCHI hii kuliko Watendaji Wengine?
Kuhusu MAFAO ya KUSTAAFU mbona nayo yamekuwa MAKUBWA sana ukizingatia MUDA wa UTUMISHI wao w MIAKA 5 TOFAUTI na MAFAO ya Mwalimu anayestaafu baada ya kufundisha MIAKA 30 kwa Mateso makubwa analipwa ROBO ya MAFAO ya WABUNGE je ni MFUKO GANI unalipa hivyo tena bila USUMBUFU Kama ilivyo kwa Mwalimu na Watumishi wengine?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app