Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 38
- Thread starter
- #21
Mimi ugali wangu wa kila siku unategemea maissues ya kodi mkuu, so I konw very well the ITAs, TRA & Co!
Hongera kwa hilo hali inajionyesha kwenye quotes zako.
Lakini huoni hapo hizo excemtion zinawahusu watu wachache tu????
- Pesident of URT and Zanzibar.
- Gratuity za wabunge
- Executive Agencies (is this Imployment Income??)
- Hiyo exemtion wakitaka hata waiondoe kwani kuna segregation hapo, nadha asilimia kubwa ya wafanya kazi hawakufaidika nao na ni wale wa kipato cha chini ambao hawakupata sitting allowance wala PER DIEM......
- TUIELIMISHANE ZAIDI