Tujitahidi kuielewa mifumo ya kodi kabla hatujawalaumu TRA

Nkerejiwa

Senior Member
Feb 25, 2014
146
214
Nimeona andiko la mdau World light akiwatuhumu TRA kwa mambo ambayo angejipa muda na kusoma angeelewa maana ni mambo ambayo yako wazi sana. Iko hivi

Ni muhimu kuelewa mifumo yetu ya kodi na sheria zake ili usiwaonee kina Samia na Mwigulu bure! na hapa nitatoa elimu ya kodi kidogo.

#Mfumo wetu wa kutoza kodi za kipato yaani Income Tax ikiwemo PAYE umejengwa katika principle inaitwa Progressive Tax Principle na ni principle ya kikodi inayotumika duniani kote! Kwa mujibu wa hii principle ni kwamba kiwango cha kodi hutegemea kiwango cha kipato kinachotakiwa kutozwa kodi, The Higher the Income, The Higher the rate.

Na kwa kutumia hii principle ndo hata madaraja yetu ya kodi huwa programmed hivyo kwamba anaepata kikubwa analipa kikubwa na hivyo hivyo anaepata kidogo analipa kidogo. Kwa kuzingatia hii principle ni kwamba si kila kundi la mtu mwenye kipato cha ajira yuko subjected to a flat rate ya 8% aloisema Dr. Samia katika hotuba yake ya 01 | 05 | 2021, kodi ya nchi hii haitozwi kwa kauli za kisiasa, kodi inatozwa kwa basis ya kisheria na zaidi ibara ya 138 ya Katiba yetu ya mwaka 1977.

Sasa swali ni kwanini malimbikizo ya malipo ya mishahara ya miezi kadhaa hayapo subject to a flat rate ya 8% inayotomika katika PAYE?

1. Ziko sababu kadhaa hapa na kwa kuweka clarity ieleweke kwamba haya malipo yanaitwa kisheria Lump Sum Payments ambayo yana cover fidia, bonus etc na ieleweke kwamba mfumo wake wa malipo pia huzingatia Progressive Tax Principle kwamba the more you earn, the more you pay tax.

2. Kodi ya kipato cha ajira haitozwi kwa kuhesabu miezi, inatozwa kuwa rate, na rate huzingatia kiwango ambacho mwajiriwa amepokea kwa wakati huo. Kwa hiyo kujua % ya kucharge hutegemea na kiwango kilichopokelewa kwa wakati huo ili kujua a Threshold yake kama inafaa kuwa katika rate ipi aidha 8% au 20% au 30% ambayo ni maximum. Huwezi pata 200k ukawa charged kwa rate ya 30% na vivyo hivyo huwezi pata Mil 5 ukawa charged kwa rate ya 8%. Ni sheria na a Global practice ambayo kulaumu Mwigulu au Samia ni kuwaonea.

Tuna mambo kadhaa ya kulaumu lakini si haya yahusuyo kodi na sheria zake.
 
Nadhani hukuelewa vizuri hoja yangu,
 
Tanzania ni nchi yenye mifumo mibovu ya Kodi, nawasiwasi wewe sio Mtanzania au haulipi kodi. Nina ushahidi wa kutosha maana nalipa Customs, Income tax (Individual & Entities), Withholding Taxes, PAYEE, nknk.

Mifumo ya kodi ni mibovu sana.
 
Progressive Tax Principle na ni principle ya kikodi inayotumika duniani kote! Kwa mujibu wa hii principle ni kwamba kiwango cha kodi hutegemea kiwango cha kipato kinachotakiwa kutozwa kodi, The Higher the Income, The Higher the rate.
Ni ujinga tu kumwekea rate kubwa mtu mwenye kipato kikubwa. Kwasabb % peke yake ilitosha kutofautisha kiasi cha kodi cha mwenye kipato kidogo na kikubwa (9% ya 500M ni kubwa kuliko 9% ya 500k). Lkn kwakuwa lengo ni kuwaibia watanzania ndiyo maana mbambamba ni nyingi Sana.
 
Nimeona andiko la mdau World light akiwatuhumu TRA kwa mambo ambayo angejipa muda na kusoma angeelewa maana ni mambo ambayo yako wazi sana. Iko hivi

Ni muhimu kuelewa mifumo yetu ya kodi na sheria zake ili usiwaonee kina Samia na Mwigulu bure! na hapa nitatoa elimu ya kodi kidogo.

#Mfumo wetu wa kutoza kodi za kipato yaani Income Tax ikiwemo PAYE umejengwa katika principle inaitwa Progressive Tax Principle na ni principle ya kikodi inayotumika duniani kote! Kwa mujibu wa hii principle ni kwamba kiwango cha kodi hutegemea kiwango cha kipato kinachotakiwa kutozwa kodi, The Higher the Income, The Higher the rate.

Na kwa kutumia hii principle ndo hata madaraja yetu ya kodi huwa programmed hivyo kwamba anaepata kikubwa analipa kikubwa na hivyo hivyo anaepata kidogo analipa kidogo. Kwa kuzingatia hii principle ni kwamba si kila kundi la mtu mwenye kipato cha ajira yuko subjected to a flat rate ya 8% aloisema Dr. Samia katika hotuba yake ya 01 | 05 | 2021, kodi ya nchi hii haitozwi kwa kauli za kisiasa, kodi inatozwa kwa basis ya kisheria na zaidi ibara ya 138 ya Katiba yetu ya mwaka 1977.

Sasa swali ni kwanini malimbikizo ya malipo ya mishahara ya miezi kadhaa hayapo subject to a flat rate ya 8% inayotomika katika PAYE?

1. Ziko sababu kadhaa hapa na kwa kuweka clarity ieleweke kwamba haya malipo yanaitwa kisheria Lump Sum Payments ambayo yana cover fidia, bonus etc na ieleweke kwamba mfumo wake wa malipo pia huzingatia Progressive Tax Principle kwamba the more you earn, the more you pay tax.

2. Kodi ya kipato cha ajira haitozwi kwa kuhesabu miezi, inatozwa kuwa rate, na rate huzingatia kiwango ambacho mwajiriwa amepokea kwa wakati huo. Kwa hiyo kujua % ya kucharge hutegemea na kiwango kilichopokelewa kwa wakati huo ili kujua a Threshold yake kama inafaa kuwa katika rate ipi aidha 8% au 20% au 30% ambayo ni maximum. Huwezi pata 200k ukawa charged kwa rate ya 30% na vivyo hivyo huwezi pata Mil 5 ukawa charged kwa rate ya 8%. Ni sheria na a Global practice ambayo kulaumu Mwigulu au Samia ni kuwaonea.

Tuna mambo kadhaa ya kulaumu lakini si haya yahusuyo kodi na sheria zake.
Hivi kwa nini watumishi hulipa kodi kila mwezi na bado mtumishi akianzisha kibiashara anakamuliwa kwa kiwango ambacho ile kodi analipa kila mwezi haijumlishwi kwenye makadirio ya kodi yake
 
Progressive Tax Principle na ni principle ya kikodi inayotumika duniani kote! K
Ni upumbavu kujiificha kwenye dhana ya "inatumika duniani kote". Kwahiyo??

Mbona mengine yanayofanywa duniani kote mnayakwepa? Ongezeni base ya taxpayers ili idadi na viwango vya Kodi vipungue kama ilivyo huko duniani kote, (hapa mnakwepa dhana ya duniani kote).

Sajilini makahaba na mashoga ili nayo yalipe Kodi, (hapa mnakwepa dhana ya duniani kote).

Sasa kama Kuna mambo yanafanywa duniani kote lkn hapa mnaona hayawezekani ama hayafai. Basi twawaambieni KODI ILIPWE KWA RATE MOJA TU (usituwmbie habari ya duniani kote).
 
Kwa wasiojua, mishahara ya Wafanyakazi wa umma Tz imekuwa formulated in such a way mwisho wa siku take home zenu zinakuwa zimetofautiana kwa amount ndogo sana.

Utakuta mwenye gross salary ya 1.5M ana take home ya 1M na mwenye gross salary ya 1M take home ni 850k....

Yani wote mnakuwa mnachezea mulemule....

Ndiyo maana watumishi wote wanumma tz wana maisha almost the same..
 
Ni ujinga tu kumwekea rate kubwa mtu mwenye kipato kikubwa. Kwasabb % peke yake ilitosha kutofautisha kiasi cha kodi cha mwenye kipato kidogo na kikubwa (9% ya 500M ni kubwa kuliko 9% ya 500k). Lkn kwakuwa lengo ni kuwaibia watanzania ndiyo maana mbambamba ni nyingi Sana.
Ubarikiwe sana!! Upo sahihi kabisa hizi sheria mbovu zirekebishwe haraka ni kandamizi na zimejaa mizengwe mitupu. % iwe flat, kiwango cha mishahara kinatosha kuleta utofauti wa kodi.
 
TRA wanakitu kinaitwa PAYEE calculator haipo flat na sababu sijui ni nini
Nenda kwenye calculator yao weka 700000 halafu weka 1400000 uone kama kodi ya laki saba ni mara mbili ya milioni moja na laki nne
 
Ndiyo longolongo zenyewe zilipo.PAYE'-pay As You Earn yaani lipa kodi kadiri unavyopata, Flat rate inatosha! 9% ya 500k siyo sawa na 9% ya 5 Milioni. TRA na MOF rekebisheni hili!!
 
Sina
Nimeona andiko la mdau World light akiwatuhumu TRA kwa mambo ambayo angejipa muda na kusoma angeelewa maana ni mambo ambayo yako wazi sana. Iko hivi

Ni muhimu kuelewa mifumo yetu ya kodi na sheria zake ili usiwaonee kina Samia na Mwigulu bure! na hapa nitatoa elimu ya kodi kidogo.

#Mfumo wetu wa kutoza kodi za kipato yaani Income Tax ikiwemo PAYE umejengwa katika principle inaitwa Progressive Tax Principle na ni principle ya kikodi inayotumika duniani kote! Kwa mujibu wa hii principle ni kwamba kiwango cha kodi hutegemea kiwango cha kipato kinachotakiwa kutozwa kodi, The Higher the Income, The Higher the rate.

Na kwa kutumia hii principle ndo hata madaraja yetu ya kodi huwa programmed hivyo kwamba anaepata kikubwa analipa kikubwa na hivyo hivyo anaepata kidogo analipa kidogo. Kwa kuzingatia hii principle ni kwamba si kila kundi la mtu mwenye kipato cha ajira yuko subjected to a flat rate ya 8% aloisema Dr. Samia katika hotuba yake ya 01 | 05 | 2021, kodi ya nchi hii haitozwi kwa kauli za kisiasa, kodi inatozwa kwa basis ya kisheria na zaidi ibara ya 138 ya Katiba yetu ya mwaka 1977.

Sasa swali ni kwanini malimbikizo ya malipo ya mishahara ya miezi kadhaa hayapo subject to a flat rate ya 8% inayotomika katika PAYE?

1. Ziko sababu kadhaa hapa na kwa kuweka clarity ieleweke kwamba haya malipo yanaitwa kisheria Lump Sum Payments ambayo yana cover fidia, bonus etc na ieleweke kwamba mfumo wake wa malipo pia huzingatia Progressive Tax Principle kwamba the more you earn, the more you pay tax.

2. Kodi ya kipato cha ajira haitozwi kwa kuhesabu miezi, inatozwa kuwa rate, na rate huzingatia kiwango ambacho mwajiriwa amepokea kwa wakati huo. Kwa hiyo kujua % ya kucharge hutegemea na kiwango kilichopokelewa kwa wakati huo ili kujua a Threshold yake kama inafaa kuwa katika rate ipi aidha 8% au 20% au 30% ambayo ni maximum. Huwezi pata 200k ukawa charged kwa rate ya 30% na vivyo hivyo huwezi pata Mil 5 ukawa charged kwa rate ya 8%. Ni sheria na a Global practice ambayo kulaumu Mwigulu au Samia ni kuwaonea.

Tuna mambo kadhaa ya kulaumu lakini si haya yahusuyo kodi na sheria zake.
Sina uhakika kama ulichosema ni sawa! Kipato Cha mfanyakazi uhesabiwa kwa mwaka, ila kwa urahisi wa kulipwa Kodi, ugawanywa kwa miezi 12, na kiasi kinachopatikana ndiyo huwa-subjected na rate ya PAYE.
Sasa yule jamaa aliyelalamika (nahisi ni yule aliyehesabiwa malimbikizo ya miezi kadhaa), hivyo basi ijulikane kuwa kipato chake si Cha mwezi mmoja, ilipaswa kigawanywe kwa miezi kadhaa, ndiyo kipangiwe kodi
 
TRA wanakitu kinaitwa PAYEE calculator haipo flat na sababu sijui ni nini
Nenda kwenye calculator yao weka 700000 halafu weka 1400000 uone kama kodi ya laki saba ni mara mbili ya milioni moja na laki nne
Mambo hayaendi hivyo Kiongozi.
 
Hivi kwa nini watumishi hulipa kodi kila mwezi na bado mtumishi akianzisha kibiashara anakamuliwa kwa kiwango ambacho ile kodi analipa kila mwezi haijumlishwi kwenye makadirio ya kodi yake
Ni achokifahamu kodi wanasema inatozwa kwenye maeneo makuu matatu ajira,biashara na uwekezaji na kila kimoja kinajitegemea na kina kiwango chake.Sasa kama unafanya biashara watakutoza kwai taratibu zake,kazi NATO watakutoza kwai taratibu zake na ukichanganya vyote viwili huwezi tozwa kimoja tu.
 
Back
Top Bottom