On Second Thought

wewe binafsi utajisikiaje kuona kwamba mpenzi wako ana kupenda kwa kutumia limbwata? Hivi unafikiri utakuwa na furaha kuona unapendwa kwa vile umemuekea limbwata? limbwata ni njia moja yapo ya kulazimisha mapenzi kitu ambacho suingi mkono,kama mnataka kupendana acheni njia za kawaida ziwafanye mpendane na muhimu zaidi ni mawasiliano.kuweni uhuru kukosoana inasaidia sana kulikoni kumuacha mpendwa wako aendelee na mambo au tabia zinazo kukera.

Limbwata lina mwisho wake pia.
 
My dear GOD..........hata siamini is it you my bro?? uwiii hapana mie sie wanifananisha loh!! Yes MArahaba nlikuwa nachat naye leo ah...... not fair at all kaka. But am glad lol...........jamani nammiss Dommy
I know......... Ila mji wenu ndio uliosababisha haya .......... ukienda sehemu moja siku imeisha!!
maana hiyo foleni ni khatari.............. na mji mpya nao siujui.......... chai ya dalasini niliimiss
sio siri sijui ilikuwa na limbwata?!......... Dommy wote tunamsii sio wewe tu hahahh
 
Aksante PM.....sasa hili ndo mie naliita limbwata. how do you guys perceive this in your society if I may ask??
Anything that is not natural litasababisha ubatili at the end of the day............. hata kwenye michezo kama marathon n.k. ukigundulika umetumia dawa za kuongeza nguvu, ni disqualification. Huoni kuna uwiano hapo!
 
definitely sina ..............wala i dont believe on it but...on second thought.......... Ninasikia kuna wanaotoa tigo ili mpenzi asitoke nje si ndio?? Its not good (kama ni kweli) ....but they do that basing on their assumptions.........and some people approves.......why not limbwata?? The purposes are the same .... Arent they??

mh,mwenzangu kama ni hivyo mi namwambia njia nyeupeee,akatafute tu mwingine wa kumpa tigo.
 
kwahio unakubali kujidanya kwamba jamaa anakupenda kwa kutumia limbwata?
sijui wenzetu ndio wanaita "Low self esteem" ukiikosa hiyo unaweza fanya lolote ilimradi roho yako iridhike.
MJ1 unakubaliana nasi kwamba mtoaji wa limbwata ana hili tatizo?
 
wewe binafsi utajisikiaje kuona kwamba mpenzi wako ana kupenda kwa kutumia limbwata? Hivi unafikiri utakuwa na furaha kuona unapendwa kwa vile umemuekea limbwata? limbwata ni njia moja yapo ya kulazimisha mapenzi kitu ambacho suingi mkono,kama mnataka kupendana acheni njia za kawaida ziwafanye mpendane na muhimu zaidi ni mawasiliano.kuweni uhuru kukosoana inasaidia sana kulikoni kumuacha mpendwa wako aendelee na mambo au tabia zinazo kukera.

Limbwata lina mwisho wake pia.

HIVI limbwata linawekwa sehemu isiyokuwa na mapenzi ya awali?? ......... on second thought mimi nikiwa na mpenzi ambaye nilimpenda tangu mwanzo na nikajua ananipenda kiasi cha kuniwekea limbwata (lisilo na madhara- kama lipo) I will be very happy........ Mbona vitu vingine mkifanyiwa in the name of love mnafurahia??

Sitachukulia kuwa ninampenda kwa ajili ya limbwata kwa sababu mwanzo nilimpenda tu ...nitachukulia kuwa ananipenda sana kiasi cha kutotaka kunipoteza...unless unambie unaamini katika mapenzi kuchuja kuwa yakishachuja basi uruhusiwe kuanza mbele.......... coz to me ningeelewa kuwa limbwata is for keeping the flame burning
Lina mwisho wake nakubali but that can be modified..............
 
MJ1, limbwata (kama lipo) ni kuyabaka mapenzi........
Input mbaya haitoi output njema asilani...
 
jamani arsene ,nimeuliza cjasema kuwa nimetumia,soma vizuri post yangu.

lol najua umeuliza sijasema umetumia ndio maana nikauliza swali tu kutaka kujua jibu lako kwamba utakubali kujidanganya unapendwa kwa kupitia limbwata? pole kwa kuweka swali vubaya.
 
sijui wenzetu ndio wanaita "low self esteem" ukiikosa hiyo unaweza fanya lolote ilimradi roho yako iridhike.
Mj1 unakubaliana nasi kwamba mtoaji wa limbwata ana hili tatizo?

upo sahihi.
 
lol najua umeuliza sijasema umetumia ndio maana nikauliza swali tu kutaka kujua jibu lako kwamba utakubali kujidanganya unapendwa kwa kupitia limbwata? Pole kwa kuweka swali vubaya.

since utakuwa tayari umefanya kwa kupenda nadhani unaridhika tu. Tena unajiona mshindi sana.
 
if limbwata works, then lets use it to get bank loans

BAbu Acid nakubaliana nawe kabisa....... am just thinging loudly...its like kuruka na ungo in Africa unaitwa Uchawi, but Wazungu kurusha ndege angani ,,,,,,its called scientific development lol
 
HIVI limbwata linawekwa sehemu isiyokuwa na mapenzi ya awali?? ......... on second thought mimi nikiwa na mpenzi ambaye nilimpenda tangu mwanzo na nikajua ananipenda kiasi cha kuniwekea limbwata (lisilo na madhara- kama lipo) I will be very happy........ Mbona vitu vingine mkifanyiwa in the name of love mnafurahia??

Sitachukulia kuwa ninampenda kwa ajili ya limbwata kwa sababu mwanzo nilimpenda tu ...nitachukulia kuwa ananipenda sana kiasi cha kutotaka kunipoteza...unless unambie unaamini katika mapenzi kuchuja kuwa yakishachuja basi uruhusiwe kuanza mbele.......... coz to me ningeelewa kuwa limbwata is for keeping the flame burning
Lina mwisho wake nakubali but that can be modified..............

kama mna mapenzi tayari kwanini usitumie njia za kawaida kukuza mapenzi yenu ? lazima kuna mapungufu unayaona yanayokufanya uwe insecured kihasi cha kwamba unataka kutumia limbwata.
 
Mie nadhani kumlimbwata mwenzio mara nyingi humpumbaza na matokeo yake wewe (mke) anaishia kum-control mme wakati na mara nyingi kumfanyia vitu ambavyo akiwa na akili timamu hatathubutu
kumfanyia. Kwa mtazamo wangu ni kama kumpatia mwenzio "dawa za kulevya" ...............labda
unipatie definition yako wewe ya kulimbwata..

Wanaume pia hutuwekea limbwata GFM?uanlionaje hilo la limbwata kutoka kwa mwanaume?
 
Mi sishauri limbwata kwasababu moja tu........ITS NOT A SUSTAINABLE SOLUTION, si ya kudumu Mwanajamii 1,ni kitu cha muda....kuna solution nyingine zisizo za haraka haraka ambazo zawe mfanya huyo mwanaume awe wako na akupende wewe pekee though ni ngumu...Nafikiri pia inabore kuwa na lianaume lisiloku-challenge kidogo kuwa kuna wenzio.............LOL,mwanaume abaki kuwa mwanaume,ina raha yake pia!
 
MJ1, limbwata (kama lipo) ni kuyabaka mapenzi........
Input mbaya haitoi output njema asilani...

Babu R.R ninakuelewa na kukubaliana na wewe... (Nawiwa kufanya research juu ya hili). Kama na only if Limbwata is there na kama linafanya kazi could be used as another way ya kudumisha mapenzi

Ninaamini kama mlianza kupendana wenyewe,..... limbwata linaboresha tu.......... (Limbwata zuri lakini). It doesnt kill the first burning flame lol

Nadhani utakubaliana nami kuwa (at least from the evidences we get from our daily life).......even kutoa au kuomba tigo kama njia ya kudumisha mapenzi ni kubaka mapenzi au??

Naona MJ1 nachanganyikiwa sasa

Please Ieleweke kuwa ni thinking....had never, am not and never thinking of using limbwata but .......................on second thought
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom