On Second Thought

HAhaahah Babu yangu masikini wazeeka vibaya weye............Thought tumeafikiana iwe limbwata ni nyama ya ulimi (Babu The Finest ameahidi kuanzisha thread juu ya hii na kutoa training ya limbwata la nyama ya ulimi)

Sasa hapo itategemea la nani kali loh.............. ama sivyo watakushikia dampo



Hapa sasa pagumu......nitamlimbwatua mbona!!
habari yake Limbwata la ulimi?.......habari yake inspecteee.....inspector anakusalimu.

ngoja nikapractice skills zangu za limbwata la ulimi.
 
Hahahahah Bi Tausi si umeona walivyoruka??.........Ila naamini wangesikia Linawekwa kupitia T........ wengi wangefanya applications kabisa ah

Sio vzuri mwayego

kwa mtaji huu, wallah mi ningeomba dozi kabisa ya limbwata mnipatie,
4, 4, 2 !!!!asubuhi , mchana na jioni!!!!!!!!
 
kwa mtaji huu, wallah mi ningeomba dozi kabisa ya limbwata mnipatie,
4, 4, 2 !!!!asubuhi , mchana na jioni!!!!!!!!

Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa bacha mi ctaki bana ah... mbavu zangu zinauma. Unataka kuwa overdosed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom