On Second Thought

BAbu Acid nakubaliana nawe kabisa....... am just thinging loudly...its like kuruka na ungo in Africa unaitwa Uchawi, but Wazungu kurusha ndege angani ,,,,,,its called scientific development lol
Tatize letu wa-Afrika, we don't want to think "out of the box" ukisharuka na unga hata kushare hiyo knowledge na
wenzio (investment) hutaki hahah ndio maana tunaitana wachawi and the like.
 
BAbu Acid nakubaliana nawe kabisa....... am just thinging loudly...its like kuruka na ungo in Africa unaitwa Uchawi, but Wazungu kurusha ndege angani ,,,,,,its called scientific development lol

watoe formula ya kuruka na ungo waone kama hawatapata support kama haina madhara kwa binadamu wengine lol.
 
Mi sishauri limbwata kwasababu moja tu........ITS NOT A SUSTAINABLE SOLUTION, si ya kudumu Mwanajamii 1,ni kitu cha muda....kuna solution nyingine zisizo za haraka haraka ambazo zawe mfanya huyo mwanaume awe wako na akupende wewe pekee though ni ngumu...Nafikiri pia inabore kuwa na lianaume lisiloku-challenge kidogo kuwa kuna wenzio.............LOL,mwanaume abaki kuwa mwanaume,ina raha yake pia!

I providing tigo a solution? why hawaipingi kama wanavyokataa limbwata?
 
Wanaume pia hutuwekea limbwata GFM?uanlionaje hilo la limbwata kutoka kwa mwanaume?
Mwanaume anayetoa limbwata linazungumzwa hapa huyo sio mwanaume ..........kwa mtazamo wangu, no offense.
Limbwa la mwanaume caring, helping, loving, crying together na vitu kama hivyo, inatosha!! si nasikia hivi vitu
vina-expiry date pia?!
 
Tatize letu wa-Afrika, we don't want to think "out of the box" ukisharuka na unga hata kushare hiyo knowledge na
wenzio (investment) hutaki hahah ndio maana tunaitana wachawi and the like.

How are they ggoing to share wakati tayari wamepewa bad names?
 
since utakuwa tayari umefanya kwa kupenda nadhani unaridhika tu. Tena unajiona mshindi sana.

Utakuwa unajivunua kabisa kwamba unapendwa? kikubwa utakachofanya jamaa atakuwa zuzu tu na ita leta madhara kwake kwenye maisha yake ya kawaida na itafikia wakati ndugu zake pia wataona haya mabadiriko ya ghafla na ndio utakapo kamatwa kwamba umemkaanga mwenzako na utajuta.

kama mnapenda tayari ni kitu gani ambacho kinakufanya uongezee limbwata ? hapo ndio nashindwa kuelewa.
 
Mi sishauri limbwata kwasababu moja tu........ITS NOT A SUSTAINABLE SOLUTION, si ya kudumu Mwanajamii 1,ni kitu cha muda....kuna solution nyingine zisizo za haraka haraka ambazo zawe mfanya huyo mwanaume awe wako na akupende wewe pekee though ni ngumu...Nafikiri pia inabore kuwa na lianaume lisiloku-challenge kidogo kuwa kuna wenzio.............LOL,mwanaume abaki kuwa mwanaume,ina raha yake pia!
Michelle, I second u here! tatizo letu ni kwamba tunapenda short cuts, period! I like the saying "No pain no gain" ufisadi kila kona
 
Mwanaume anayetoa limbwata linazungumzwa hapa huyo sio mwanaume ..........kwa mtazamo wangu, no offense.
Limbwa la mwanaume caring, helping, loving, crying together na vitu kama hivyo, inatosha!! si nasikia hivi vitu
vina-expiry date pia?!
Bro............just know wapo wanaume wanaowalimbwata wanawake...........
 
How are they ggoing to share wakati tayari wamepewa bad names?
Come out of the wad rob, sell the idea. Gay na lesbian wanakaribia kukubalika nchi nyingi sasa.......they
just decided to come out! how bad can that be..................
 
utakuwa unajivunua kabisa kwamba unapendwa? Kikubwa utakachofanya jamaa atakuwa zuzu tu na ita leta madhara kwake kwenye maisha yake ya kawaida na itafikia wakati ndugu zake pia wataona haya mabadiriko ya ghafla na ndio utakapo kamatwa kwamba umemkaanga mwenzako na utajuta.

Kama mnapenda tayari ni kitu gani ambacho kinakufanya uongezee limbwata ? Hapo ndio nashindwa kuelewa.

anahitaji security zaidi.
 
Mwanaume anayetoa limbwata linazungumzwa hapa huyo sio mwanaume ..........kwa mtazamo wangu, no offense.
Limbwa la mwanaume caring, helping, loving, crying together na vitu kama hivyo, inatosha!! si nasikia hivi vitu
vina-expiry date pia?!

Kwanini limbwata la mwanaume caring,loving,crying together linatosha na la mwanamke caring,loving,crying together halitoshi? hadi aweke limbwata huyo mwanaume??
Ndio vina expiring date,na siku vikimalizka muda ni balaaaaaaaaaaaaa,akizinduka ni mtihani,labda kama mwanamke anajua lini ina expire then ana update....................LOL
 
Kwa mtizamo wangu, hao sio wanaume.............. na hiyo dawa wanaenda kuipata wapi?

Hao ni wanaume kabisa GFM,wako kama Denzel Washngton! ukitaka dawa zinapopatikana uliza manake naona unahitaji sema unajidai hutaki........LOL,muone na meno yako!
 
yote ni sehemu ya kutojiamini,kama mwanamke yuko strong na anajiamini anaweza kumkatalia jamaa wake tigo na maamuzi yake yaka heshimimiwa.

yani wewe kama baba yangu Arsene Wenger,nafurahi mwanaume amezungumza hili la mwanamke kuwa strong na kuwa ukiwa strong mwanaume ataheshimu maamuzi yako.
 
Utakuwa unajivunua kabisa kwamba unapendwa? kikubwa utakachofanya jamaa atakuwa zuzu tu na ita leta madhara kwake kwenye maisha yake ya kawaida na itafikia wakati ndugu zake pia wataona haya mabadiriko ya ghafla na ndio utakapo kamatwa kwamba umemkaanga mwenzako na utajuta.

kama mnapenda tayari ni kitu gani ambacho kinakufanya uongezee limbwata ? hapo ndio nashindwa kuelewa.

Orait...........what if mie nakupenda wewe na tumeanza mahusiano ya kimapenzi (meaning kuwa kuna some chemistry) then nikajikuta nakupenda zaidi na nisingependa kukupoteza no matter what- yaani wewe kuwa nami mie naridhika whether unanipenda zaidi au la............ nikuwekee limbwata (lisilodhuru - kama lipo) yaani wengine wote usiwaone dunia yako iwe mimi tu........ sitajali kama unanipenda kweli au la but uko pale, ninawe, u wangu peke yangu.......???

Think from the one anayelitengeneza si yule anayepewa!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom