Nyie wanawake muda mwingine mnaboa sana

Alinipenda mimi so wazazi wangu aliwaona hata kabla ya ndoa akaridhika ht kama wapi aridhike then after be back ndo anieleze

Kwenu ni wapi? Isije ikawa mnaongea kilugha all the time naye akawa mpweke? Ulitakiwa kufanya stay yenu iwe exciting as a host; kama uko busy na ndugu zako na yeye unamuignore unategemea nini? Sio wote wanaoweza kujichananya kwenye strange places!

Mpeleke shambani/porini mkatafute berries halafu ummpe cha porini; she will love that! LOL
 
Umeoa wapi ili tuliepuke hilo kabila linalonuna ukweni...yaani huyo tungerudi home aendekwao oneway si ndio kuzuri,ujinga mtupu.
 
Nakubaliana na wewe kabisaaa kuwa uvumilivu una kipimo..ila kuwanunia hao wazazi sio solution,hajaridhika na mwenendo wowote hapo kwa wakwe then si anaongea pembeni na mwenza wake....sio heshima hata kidogo kununa nuna tena ugenini,hainfanyi hata mwanaume kuwa comfortable.
Yesss! Sorry, naomba nikuulize japo kiduchu tu, umeolewa/una mchumba?
 
Kwenu ni wapi? Isije ikawa mnaongea kilugha all the time naye akawa mpweke? Ulitakiwa kufanya stay yenu iwe exciting as a host; kama uko busy na ndugu zako na yeye unamuignore unategemea nini? Sio wote wanaoweza kujichananya kwenye strange places!

Mpeleke shambani/porini mkatafute berries halafu ummpe cha porini; she will love that! LOL

wazazi wangu ni makabila mawili tofauti kwa hiyo hamna kilugha kinachoongelewa then hao wazazi wapo mjini si kijijini
 
Wife nilikutananae kikazi origin ni mnyalu

lakini kweli wanawake wengine wanaboa, kwani hapo kafungwa mdomo hata hawezi kukwambia kilichomsibu? kununa si amnunie mumewe ndani, ndo anune hadi mama mkwe aone? hiyo sio vyema , hata wifi au marafiki hawatakiwi kujuwa kama umemuwekea box mzee. msamehe bure, kisha na wewe kijijini si wiki tu inatosha bana,
sasa unaona umetuwacha wa Tz wenzio ukaenda kwa Kagame si ndo yamekukuta hayo. kama vipi tafuta nyumba ndogo atajirekebisha.:lol:
 
ushauri wa nyumba ndogo? hapo siwezi kufanya hata siku moja
 
Hivi kuvunja ndoa imekua rahisi kiasi hiki?Binafsi,sijaona kosa la kupelekea kufikiri achilia mbali kuivunja ndoa.Huyo mkeo kweli ni mjinga,hatumii busara,hata kama kuna jambo limemkera namna gani namna anavyofikisha ujumbe wa kukereka haifai.Hebu kuwa MWANAUME bana.MWANAUME hakubali hisia zimpoteze kama ulipofikia,otherwise utakua hauna tofauti na mkeo na utakua unatuaibisha WANAUME ebo!!
 
Inawezekana amegundua kosa la kuolewa kabla ya kupajua/kufika ukweni. Kuna mambo/tabia alizoziona kwenu ambazo kama angeziona mapema inawezekana asingekubali kuolewa nawe; na ndio maana ulimuoa fasta fasta kabla hujampeleka kwenu. Mpe pole kwa niaba yangu, mwambie akubali hali na ajichanganye tu kama ni maji yamemwagika, kununa haitamsaidia. Ongea naye utajua sababu na mnaweza weka mambo sawa.
 
Terms and conditions applied nikikukubali unipeleke kwenu kwanza sio usubiri tuanze maisha baada ya miaka kadhaa ndo unipelekee...
hamna shidaa tena ww Mama atakutandikia zulia jekundu....uko tayari kuwa na mimi...heart ili twende pm tusiendelee kuchakachua huu uzi.
 
hamna shidaa tena ww Mama atakutandikia zulia jekundu....uko tayari kuwa na mimi...heart ili twende pm tusiendelee kuchakachua huu uzi.

Kweeeli???!! aaaawwww....umenichanganya!! Subiri nifanye uchaguzi fasta, maana kuna mwingine humu JF aliniambia hicho hicho so nikikuPM ujue nimekukubali ukiona kimya mpaka saa 6 kamili ujue Holaaa...
 
labda kuna kitu ambacho kafanyiwa hajapenda na hawez ongea coz labda anahsi utatakiwa uchague upande mmoja kitu ambacho hataki kitokee ongea nae kiustaarabu na umchunguze vzur kwan yaonesha kuwa hamjasomana
 
kaa nae kwa utulivu na umuhulize tatizo yamkini kuna jambo linamkera ila anogopa kukwambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom