Nyie wanawake muda mwingine mnaboa sana

nachid

JF-Expert Member
Apr 14, 2011
936
203
Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni? Nikimuuliza tatizo hataki kusema, sasa wadau hili limekaeje nikiamua kumpiga chini itakuwa kosa maana aibu aliyonipa siwezi hata kusema.
 
Piga chini, analeta dharau kwa wakwe! chamecha mbee!
 
Ngoma pia hakupi? Kama anakupa hapo tatizo hamna, na ikiwa hakupi hapo kuna tatizo.
 
Sema mkeo anaboa sometimes, hamna haja ya kukusanya hata wasiohusika.

Kuhusu kununa, nani alikwambia umuoe bila kumwambia kwenu kulivyo?
 
Piga chini, analeta dharau kwa wakwe! chamecha mbee!
Piga chiniiiiiiiiiiiiiii
Dharau hiyo ni mbaya sana tena UKWENI????? Hafai hata kwa KURUMANGIA mangiiiii....uje nikupe dada yangu mmoja
 
Mpaka kifo kiwatenganishe.
Zaidi ya wiki kwa wake? Rudini kwenu sasa, may be anakosa uhuru ulionzoesha, na ulikosea kumuoa bila kumpeleka kwenu.
KAZI NI KWAKO
 
umemwoa bila kumwonyesha kwenu haya amekuta ndivyo sivyo rudini nyumbani akaendele na uhuru wake
 
hata akikaa mwezi hatakiwi kununa mpaka mama mke ashtukie.kweli watu wanatofautiana
 
Piga chiniiiiiiiiiiiiiii
Dharau hiyo ni mbaya sana tena UKWENI????? Hafai hata kwa KURUMANGIA mangiiiii....uje nikupe dada yangu mmoja

nikimuoa dada yako na akaleta mapozi nimpige chini nae hautanifuata wewe kumuombea msamaha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom