Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
Huyo mwanamke ni mjinga tena limbukeni tatizo kakazetu mnaoa kwa kuangalia sura, mavazi, urembo na mengineyo hizo ni mbwewe tu mwanamke unampima kwa tabia zake an im sure huyo mkeo ndo wale dizaini ya masister duu hayupo real, hata kama hapo kwenu pamemboa hawezi kuvumilia mrudi kwenu ndo akwambie sasa kununa kumtamsaidia nini, alafu mwambie hapo ni kwenu ndo pamekulea mpaka akakupenda haunajinsi ya kupageuza pakawa kama anavyotaka yeye apeleke ushamba wake mbele ya safari ameniboa kweli kama me ndo mlengwa.