Nyie wanawake muda mwingine mnaboa sana

Dunia ina mambo hiyo ndo shida ya kuoa masister du, hao wenzako ni for fun but wa harusi kabisa anakuwa mwanamke aliyekamilika, sasa mtu anaekataa kwao nae ni mtu wa kutegemea kuishi nae kwenye shida na raha, sababu ulipoolewa ni home away home itakuaje upakatae, au anataka dstv kijijini aangalie x factor kama kawaida
 
Labda anaona unatumia muda wako kwa jamaa zako, na yeye unamsau. ndio maana kanuna.... au anajiskia mpweke,

au umesau kumnunulia zawadi ya kristmasi. ????
 
utaratibu wote ulipangwa 3 months before where to spends in this holidays
 
Huyo mwanamke hana ustaarabu hata kidogo...yaani nidhamu ipo makalioni. Mwanamke aliyefundwa kitu cha kwanza huambiwa ni heshima kwa wakwe it doesnt matter wakoje...nadhan darasa halikukolea au hakupewa kabisa!#Na wewe ulikosea kutompeleka tangu mwanzo.
 
Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni? Nikimuuliza tatizo hataki kusema, sasa wadau hili limekaeje nikiamua kumpiga chini itakuwa kosa maana aibu aliyonipa siwezi hata kusema.

Aisee! hiyo mihasira yako,usilazimishe ikutokee puani,HUWEZI KUPIGA CHINI MKE JUST KWA KUNUNA.Toka naye kidogo,nenda naye hata mjini kidogo,kama uko village,then muulize mkiwa wawili, nafkiri atakwambia kulikoni. Labda wana mmistreat bila wewe kujua.
NA WEWE usijiendekeze sana kukaa nyumbani zaidi ya wiki, kumbuka you are no longer a child, UNA MJI WAKO, mambo ya kuijikalisha kwa mama wiki 2 na zaidi, wengine hawapendi(mkeo). hujui wakiwa jikoni anaambiwa maneno gani? si unajua mambo ya wanawake!
 
huenda hataki kukwambia, anaogopa atavunja uhusiano wako na watu wa nyumbani kwako(ndugu zako).
 
Aisee! hiyo mihasira yako,usilazimishe ikutokee puani,HUWEZI KUPIGA CHINI MKE JUST KWA KUNUNA.Toka naye kidogo,nenda naye hata mjini kidogo,kama uko village,then muulize mkiwa wawili, nafkiri atakwambia kulikoni. Labda wana mmistreat bila wewe kujua.
NA WEWE usijiendekeze sana kukaa nyumbani zaidi ya wiki, kumbuka you are no longer a child, UNA MJI WAKO, mambo ya kuijikalisha kwa mama wiki 2 na zaidi, wengine hawapendi(mkeo). hujui wakiwa jikoni anaambiwa maneno gani? si unajua mambo ya wanawake!

Asante nitayafanyia kazi
 
Huyo mwanamke hana ustaarabu hata kidogo...yaani nidhamu ipo makalioni. Mwanamke aliyefundwa kitu cha kwanza huambiwa ni heshima kwa wakwe it doesnt matter wakoje...nadhan darasa halikukolea au hakupewa kabisa!#Na wewe

ulikosea kutompeleka tangu mwanzo.

Hapo it doesn't matter wakoje sio kweli kwa sababu hata kama ni mke haina maana wewe sio mwanadamu kuna kipimo cha uvumilivu ila wanawake wengi mbele za watu wanapenda kujionesha ni masuper human fulani na kwamba wamefundwa kwa hiyo wana mioyo ya chuma UONGO.

Tena wengine mtu anavyokuwa mvumilivu ndio wanazidi kumtukana eti haondoki kwa kuwa kwao maskini.

Kuna watu hawavumiliki hamna cha kufundwa wala kufunzwa.Hao wafundaji wenyewe wengine ndoa zimevunjika.
 
Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni? Nikimuuliza tatizo hataki kusema, sasa wadau hili limekaeje nikiamua kumpiga chini itakuwa kosa maana aibu aliyonipa siwezi hata kusema.
..Toka muanze maisha lini?, Inawezekana ni Ujauzito ndo unaoleteleza hayo. Haujapendi mazingira na watu waliopo mlipokwenda. Nadhani unanielewa
 
Usikute kwenu hakuna mazingira conducive kuenjoy kati yako na wewe so anakua bored hebu rudi kwenu bwana ujue ukizoea mjini kijijini hauwezi kaa ati
 
Hapo it doesn't matter wakoje sio kweli kwa sababu hata kama ni mke haina maana wewe sio mwanadamu kuna kipimo cha uvumilivu ila wanawake wengi mbele za watu wanapenda kujionesha ni masuper human fulani na kwamba wamefundwa kwa hiyo wana mioyo ya chuma UONGO.

Tena wengine mtu anavyokuwa mvumilivu ndio wanazidi kumtukana eti haondoki kwa kuwa kwao maskini.

Kuna watu hawavumiliki hamna cha kufundwa wala kufunzwa.Hao wafundaji wenyewe wengine ndoa zimevunjika.

Nakubaliana na wewe kabisaaa kuwa uvumilivu una kipimo..ila kuwanunia hao wazazi sio solution,hajaridhika na mwenendo wowote hapo kwa wakwe then si anaongea pembeni na mwenza wake....sio heshima hata kidogo kununa nuna tena ugenini,hainfanyi hata mwanaume kuwa comfortable.
 
Nakubaliana na wewe kabisaaa kuwa uvumilivu una kipimo..ila kuwanunia hao wazazi sio solution,hajaridhika na mwenendo wowote hapo kwa wakwe then si anaongea pembeni na mwenza wake....sio heshima hata kidogo
kununa nuna tena ugenini,hainfanyi hata
mwanaume kuwa comfortable.

Yaah kisirani sana nacho sio kizuri
 
Yaah kisirani sana nacho sio kizuri

Maana hapo utakuta ana yale mambo ya kujifungia chumbani....hasaidii hata kazi moja anasubiria kuitwa,kisa hakijulikani..basi tu kanuna...inaboa sana kwa kweli.
 
Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni? Nikimuuliza tatizo hataki kusema, sasa wadau hili limekaeje nikiamua kumpiga chini itakuwa kosa maana aibu aliyonipa siwezi hata kusema.

Acha utan dogo. uache mke kwa7bu kanuna! Ulikuwa unabip ndoae? we umempeleka kwenu huko wanamtibua alaf unataka achekecheke tu?
 
nashukuru wadau wote kwa mchango wenu na nitaufanyia kazi kadri niwezavyo asanteni sana VIVA JAMIIFORUM AND GOD BLESS IT.
 
"Ishini nao kwa maarifa na akili kwa maana wametoka kwenye nyama iliyopinda"
 
Aisee! hiyo mihasira yako,usilazimishe ikutokee puani,HUWEZI KUPIGA CHINI MKE JUST KWA KUNUNA.Toka naye kidogo,nenda naye hata mjini kidogo,kama uko village,then muulize mkiwa wawili, nafkiri atakwambia kulikoni. Labda wana mmistreat bila wewe kujua.
NA WEWE usijiendekeze sana kukaa nyumbani zaidi ya wiki, kumbuka you are no longer a child, UNA MJI WAKO, mambo ya kuijikalisha kwa mama wiki 2 na zaidi, wengine hawapendi(mkeo). hujui wakiwa jikoni anaambiwa maneno gani? si unajua mambo ya wanawake!

lol u said it well. kbs kbs, kaka chukua hii kaifanyie kaz .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom