Nyakua Nyakitita: Mhadhiri DIT anayeokota makopo barabarani

Ndoa za zamani ilikuwa makubaliano baina ya wazazi na muowaji na hazikujalisha umri, ndio maana kuna baadhi ya mabibi zetu waliolewa wakiwa wangali mimba! na suala la age katika mapenzi na ndoa huwa halijalishi na ikiwa alimuoa mke mmoja kwa utajiri wake je wale wengine pia walikuwa matajiri? Jawabu ni hapana hawakuwa matajiri, na ukifuatilia historia kamili utapata majibu. Na ukitazama da vinci zile picha pia ni matusi kwa nabii Issa (Jesus) lakini kwa sababu zimetoka magharibi hapana anaetaka kulisema hilo wala kulikemea. na si hivyo tu picha ile inafafanua aya zilizomo katika agano jipya ambayo pia ni tusi kwa masihi. Sitoweka picha hizo hapa kwa heshima ya Masihi.

Why_did_Prophet_Muhammad_PBUH_married_to_many_wives
Asante Mkuu Mwanamageuko, kwanza nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%, ubishi wa ngu na Ally ni kuamini kuwa manabii walifanya kila kitu right, hata Musa did something wrong na aliadhibiwa kwa kutoingia nchi ya ahadi!.
Please tusizame deep tukaishia ku hurt feelings za watu kuhusu viongozi wetu wa dini.
Asante.
P.
 
..........wewe ni mtu mpumbavu ndio maana unadiriki kusema manabii ni wazinifu na wabakaji ! unawezaje kusema Nabii mlevi ? Mwenyezi Mungu anaposema hao ni "watu wema" kisha wewe unawaita wazinifu na wabakaji. unadiriki kuandika kuwa Lut' kawaingilia mabinti zake?! kughafilika kulioje huko ! Yaani Mwenyezi Mungu anasema "amewafadhilisha hao Manabii juu ya walimwengu wote" kisha wewe unaleta maneno ya kifedhuli ambayo hayana nukuu sehemu yeyote ! Kweli Kafiri hachagui cha kusema.
Mkuu Ally,
Haya na tuseme ni kweli Pasco wa jf, ni mpumbavu sana, kamsingizia Nabii Lut kwamba kaleweshwa na kuwalala mabinti zake "bikra" na wote kuwapa uja uzito!.
Pia nilimsingizia Nabii Suleiman kuwa alioa wake 800, masuriya 200 na bado akalala Queen of Sheba na kumpa ujauzito na hatimaye kumuasi Mungu!, hawa wote ni Manabii wa Mungu, hivyo kuwasingizia kitu ni kumkufuru Mungu, hivya sasa mimi naisubiria adhabu yangu kwa Mungu !.

Sasa nijibu basi haya maswali yangu matatu na nilikuambia kama huna jibu, nyamaza na sitaendelea kukuuliza wala mimi sitamtaja huyo .... ni nani!.

Narudia tena,

  • Jee wamjua ni nani?...akiwa na umri wa miaka 20, alioa mwanamke wa umri wa 40 ambao ni sawa na umri wa mama yake mzazi?!. Na sababu pekee ya kijana mdogo huyo kuoa mama mtu mzima, ni utajiri wa fedha na mali, aliokua nao mama huyo uliopatikana kwenye ndoa yake ya kwanza!. Nimekuuliza wewe Ally, kitendo cha kuoa mwanamke tajiri mwenye mali ili ulelewe, kina tofauti na hawa masugar mummy?, is it ok?.
  • Mtu huyo huyo baada ya kufiwa na mkewe tajiri, aliachiwa mali nyingi na wakati yeye akiwa na umri wa miaka 53, akaoa kabinti kwa jina la Aisha with ibn Mut'im kakiwa na umri wa miaka 6! na kuanza kukaingilia kimwili kalipotimu umri wa miaka 9!, just imagine, binti yako wa miaka 9, anaingiliwa na babu wa miaka 53!, ndio maana nimeuliza is it right?, je kuna tofauti na wabakaji wetu wa miaka hii?.
  • Kwa kuongezea, jee unamjua ni nani aliyeweka idadi ya Mislamu, kuoa wake 4?, kama unamjua, unaweza kutuambia yeye alioa wake wangapi na kwa nini?.

Ndugu zangu Waislamu, maswali haya yamemlenga Ally na sio Mwislam mwingine yoyote, kama Ally anayo majibu, ajibu, kama hana, ajinyamaziea tuendelee na mada husika, hili sio jukwaa la Dini na Imani!.
P.
 
Hii pia inanikumbusha dada mmoja nilisoma nae Korogwe girls, alikuwa kichwa balaaaa, form 1 to 4 alikuwa anaongoza! Akapata one yake safiiiii, form 5 akaingia Tambaza, alifanya mambo makubwa sana pale! Akajoin UD, kufika second year nasikia akachanganyikiwa akawa anashinda kinondoni makaburini anahubiria wafu! Daaahhh pole sana SARA!. Ingawa nasikia sasa hivi amepata nafuu. Mkuu PASCO wewe ni mmoja wa watu ambao wanajuwa kusimulia habari za kwenye biblia aiseee, yaani mpaka nimetamani kwenda kusoma habari za suleiman. Sema mm nikisoma sijui kwa nn huwa sifurahii kama ambavyo mtu akinisimulia!
 
..........wewe ni mtu mpumbavu ndio maana unadiriki kusema manabii ni wazinifu na wabakaji ! unawezaje kusema Nabii mlevi ? Mwenyezi Mungu anaposema hao ni "watu wema" kisha wewe unawaita wazinifu na wabakaji. unadiriki kuandika kuwa Lut' kawaingilia mabinti zake?! kughafilika kulioje huko ! Yaani Mwenyezi Mungu anasema "amewafadhilisha hao Manabii juu ya walimwengu wote" kisha wewe unaleta maneno ya kifedhuli ambayo hayana nukuu sehemu yeyote ! Kweli Kafiri hachagui cha kusema.

Hapo ndio umejibu eti? Pambaaaaf na ulevi wa dini zilizoletwa na majahazi kwa jina la manabii wabakaji!
 
Mkuu Ally,
Haya na tuseme ni kweli Pasco wa jf, ni mpumbavu sana, kamsingizia Nabii Lut kwamba kaleweshwa na kuwalala mabinti zake "bikra" na wote kuwapa uja uzito!.
Pia nilimsingizia Nabii Suleiman kuwa alioa wake 800, masuriya 200 na bado akalala Queen of Sheba na kumpa ujauzito na hatimaye kumuasi Mungu!, hawa wote ni Manabii wa Mungu, hivyo kuwasingizia kitu ni kumkufuru Mungu, hivya sasa mimi naisubiria adhabu yangu kwa Mungu !.

Sasa nijibu basi haya maswali yangu matatu na nilikuambia kama huna jibu, nyamaza na sitaendelea kukuuliza wala mimi sitamtaja huyo .... ni nani!.

Narudia tena,

  • Jee wamjua ni nani?...akiwa na umri wa miaka 20, alioa mwanamke wa umri wa 40 ambao ni sawa na umri wa mama yake mzazi?!. Na sababu pekee ya kijana mdogo huyo kuoa mama mtu mzima, ni utajiri wa fedha na mali, aliokua nao mama huyo uliopatikana kwenye ndoa yake ya kwanza!. Nimekuuliza wewe Ally, kitendo cha kuoa mwanamke tajiri mwenye mali ili ulelewe, kina tofauti na hawa masugar mummy?, is it ok?.
  • Mtu huyo huyo baada ya kufiwa na mkewe tajiri, aliachiwa mali nyingi na wakati yeye akiwa na umri wa miaka 53, akaoa kabinti kwa jina la Aisha with ibn Mut'im kakiwa na umri wa miaka 6! na kuanza kukaingilia kimwili kalipotimu umri wa miaka 9!, just imagine, binti yako wa miaka 9, anaingiliwa na babu wa miaka 53!, ndio maana nimeuliza is it right?, je kuna tofauti na wabakaji wetu wa miaka hii?.
  • Kwa kuongezea, jee unamjua ni nani aliyeweka idadi ya Mislamu, kuoa wake 4?, kama unamjua, unaweza kutuambia yeye alioa wake wangapi na kwa nini?.

Ndugu zangu Waislamu, maswali haya yamemlenga Ally na sio Mwislam mwingine yoyote, kama Ally anayo majibu, ajibu, kama hana, ajinyamaziea tuendelee na mada husika, hili sio jukwaa la Dini na Imani!.
P.
.........ni vizuri kuwa umekubali kuwa wewe ni mpumbavu, kwani wapumbavu wengi wlikuwepo tangu zama za Mitume na malengo yao yalikuwa ni kuwapinga, kuwadhalilisha na kuwaua ! ndio maana Yesu alipelekwa kwa Pilato kwa madai ya "kufuru" na kuivuruga dini, Ibrahim alitupwa ndani ya moto, Yona. alitupwa baharini, yupo Nabii alitupwa ndani ya cage ya Simba wenye njaa !
Hivyo uzushi wa kijinga kama wako usio na uthibitisho wowote ni wa kupuuzwa.
Wayahudi wanadai Yesu ni mtoto wa haramu, amezaliwa kwa uzinifu ! kwahiyo wewe huna tofauti na Wayahudi !
soma majibu ya Yesu baada ya Wayahudi kumsakama mama yake na maswali ya kuwa amempata wapi mtoto bila ya ndoa:
" yule mtoto akasema: Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Amenipa Kitabu(Injil) na Amenifanya Nabii.
Na Amenifanya mbarikiwa popote nilipo. Na ameniusia sala na zaka maadam ni hai.
Na ameniusia kumfanyia mema mama yangu, wala hakunifanya niwe jeuri, muovu."
Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa na siku nitakayo kufa na siku nitakayofufuliwa kuwa hai"
QUR'AN: 19: 30-33.
 
..........hebu angali Qur'an inavyomzungumza Nabii Yahya A.S,(Yohana Mbatizaji, mtoto wa Nabii Zakaria, Mjomba yake Yesu):
" Ewe Yahya ! kishike Kitabu (anakabidhiwa majukumu ya kuongoza Dini na baba) kwa hima kubwa. Na tulimpa hikima angali mtoto.
Na tulimfanya huruma kutoka kwetu na utakaso na akawa mtawa.
Na mwema kwa wazazi wake wala hakuwa jeuri au muasi.
Na amaniilikuwa juu yake siku aliyozaliwa na siku aliyokufa na siku atakayofufuliwa hai.
QUR'AN: 19: 12:15.
 
Tipping point ni wapi mkuu?
Msatri mwembamba uko kati ya love and hate. Lakini "geniusness" and insanity mh, I don't believe!
Usibishe mtu wangu.
chunguza hii- kilaza wa ukweli hata ale ganja vp anakuwa poa tena an changamka kiaina lakini mtu inteligent akipiga miezi michache tu mnamwokotea mirembe kwa nini?
nasisitiza mtu mwenye akili nyingi na ni rahisi kuchanganyikiwa, kwanza zuzu haelewi kitu kwa hana sababu ya kuchanganyikiwa.Sina ushahidi wa kisayansi jamani msije mkanirukia bure!
 
Kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha kati ya akili nyingi na uendawazimu. Inaonekana jamaa alikuwa nazo nyingi zikapitiliza. Kama walimu wenzake wapo kwa nini wasimchukue wampeleke Muhimbili au Mirembe akapate tiba ya afya ya akili badala ta kumuacha akihangaika hapo maeneo ya chuo?

nakuunga mkono, ndugu na waliopo hapo wamkamate wamweke Mirembe anapona wala msilete ulokole ni Mungu katupatia utaalamu wa kutibu vichaa
 
Biblia na quran ni vitabu viwili tofauti. Tunachoamini wakristo ni tofauti na mnachaomini waislam. Na sichelei kusema kama quran haijaandika habari kama alivyonukuu pasco toka kwenye bible kuhusu hao mitume(ayubu, lutu, suleiman) basi hapana shaka suleiman anaezungumziwa katika biblia ni tofauti na suleiman anayezungumziwa katika quran.
 
.............hii ni bahari na kina chake ni kirefu, hivyo ukiingia uwe na hakika ya kujua,kuogelea ! naona maoni na mawazo katika jambo hilo ndo yanayokuongoza. Suleiman ni yule yule, kwanza. jiulize. Bible. ni kitabu. cha Nabii nani ? yeye Suleiman alikuwa nma kiitabu kinaitwa. Wimbo bora !
 
Naona hata hujielewi ulichokiandika na unachokitetea. Kwa ufupi, biblia na quran ni vitu viwili tofaut. Kama mitume ni sawa basi naamini na nategemea kilichonukuliwa na pasco kuhusu suleiman kitakuwa kimeandikwa katika quran kimaana hiyo. Na kama ni hvyo, jibu maswali matatu uliyoulizwa na pasco
 
.........ni vizuri kuwa umekubali kuwa wewe ni mpumbavu, kwani wapumbavu wengi wlikuwepo tangu zama za Mitume na malengo yao yalikuwa ni kuwapinga, kuwadhalilisha na kuwaua ! ndio maana Yesu alipelekwa kwa Pilato kwa madai ya "kufuru" na kuivuruga dini, Ibrahim alitupwa ndani ya moto, Yona. alitupwa baharini, yupo Nabii alitupwa ndani ya cage ya Simba wenye njaa !
Hivyo uzushi wa kijinga kama wako usio na uthibitisho wowote ni wa kupuuzwa.
Wayahudi wanadai Yesu ni mtoto wa haramu, amezaliwa kwa uzinifu ! kwahiyo wewe huna tofauti na Wayahudi !
soma majibu ya Yesu baada ya Wayahudi kumsakama mama yake na maswali ya kuwa amempata wapi mtoto bila ya ndoa:
" yule mtoto akasema: Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Amenipa Kitabu(Injil) na Amenifanya Nabii.
Na Amenifanya mbarikiwa popote nilipo. Na ameniusia sala na zaka maadam ni hai.
Na ameniusia kumfanyia mema mama yangu, wala hakunifanya niwe jeuri, muovu."
Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa na siku nitakayo kufa na siku nitakayofufuliwa kuwa hai"
QUR'AN: 19: 30-33.
Mkuu Ally Kombo, la mimi kuwa mpumbavu, nimeshalikubali tangu mwanzo, na baada ya kueleza hayo yote,
Sasa nijibu basi haya maswali yangu matatu na nilikuambia kama huna jibu, nyamaza na sitaendelea kukuuliza wala mimi sitamtaja huyo .... ni nani!.

Narudia tena,

  • Jee wamjua ni nani?...akiwa na umri wa miaka 20, alioa mwanamke wa umri wa 40 ambao ni sawa na umri wa mama yake mzazi?!. Na sababu pekee ya kijana mdogo huyo kuoa mama mtu mzima, ni utajiri wa fedha na mali, aliokua nao mama huyo uliopatikana kwenye ndoa yake ya kwanza!. Nimekuuliza wewe Ally, kitendo cha kuoa mwanamke tajiri mwenye mali ili ulelewe, kina tofauti na hawa masugar mummy?, is it ok?.
  • Mtu huyo huyo baada ya kufiwa na mkewe tajiri, aliachiwa mali nyingi na wakati yeye akiwa na umri wa miaka 53, akaoa kabinti kwa jina la Aisha with ibn Mut'im kakiwa na umri wa miaka 6! na kuanza kukaingilia kimwili kalipotimu umri wa miaka 9!, just imagine, binti yako wa miaka 9, anaingiliwa na babu wa miaka 53!, ndio maana nimeuliza is it right?, je kuna tofauti na wabakaji wetu wa miaka hii?.
  • Kwa kuongezea, jee unamjua ni nani aliyeweka idadi ya Mislamu, kuoa wake 4?, kama unamjua, unaweza kutuambia yeye alioa wake wangapi na kwa nini?.

Ndugu zangu Waislamu, maswali haya yamemlenga Ally na sio Mwislam mwingine yoyote, kama Ally anayo majibu, ajibu, kama hana, ajinyamaziea tuendelee na mada husika, hili sio jukwaa la Dini na Imani!.
 
Mkuu Ally Kombo, la mimi kuwa mpumbavu, nimeshalikubali tangu mwanzo, na baada ya kueleza hayo yote,
Sasa nijibu basi haya maswali yangu matatu na nilikuambia kama huna jibu, nyamaza na sitaendelea kukuuliza wala mimi sitamtaja huyo .... ni nani!.

Narudia tena,

  • Jee wamjua ni nani?...akiwa na umri wa miaka 20, alioa mwanamke wa umri wa 40 ambao ni sawa na umri wa mama yake mzazi?!. Na sababu pekee ya kijana mdogo huyo kuoa mama mtu mzima, ni utajiri wa fedha na mali, aliokua nao mama huyo uliopatikana kwenye ndoa yake ya kwanza!. Nimekuuliza wewe Ally, kitendo cha kuoa mwanamke tajiri mwenye mali ili ulelewe, kina tofauti na hawa masugar mummy?, is it ok?.
  • Mtu huyo huyo baada ya kufiwa na mkewe tajiri, aliachiwa mali nyingi na wakati yeye akiwa na umri wa miaka 53, akaoa kabinti kwa jina la Aisha with ibn Mut'im kakiwa na umri wa miaka 6! na kuanza kukaingilia kimwili kalipotimu umri wa miaka 9!, just imagine, binti yako wa miaka 9, anaingiliwa na babu wa miaka 53!, ndio maana nimeuliza is it right?, je kuna tofauti na wabakaji wetu wa miaka hii?.
  • Kwa kuongezea, jee unamjua ni nani aliyeweka idadi ya Mislamu, kuoa wake 4?, kama unamjua, unaweza kutuambia yeye alioa wake wangapi na kwa nini?.

Ndugu zangu Waislamu, maswali haya yamemlenga Ally na sio Mwislam mwingine yoyote, kama Ally anayo majibu, ajibu, kama hana, ajinyamaziea tuendelee na mada husika, hili sio jukwaa la Dini na Imani!.

....................kifupi hayo maswali yanaonyesha jinsi ulivyo na uelewa mdogo na uwezo wa kupambanua mambo !
Yamekaa kikafiri na kikashfa zaidi kama watu wa zamani walivyokuwa wakikashifu manabii.

1. Kwa utaratibu uliojipangia wewe, umri wa Mwanaume kuoa ni miaka mingapi na Mwanamke kuolewa ni Miaka mingapi ?
Kuna dhambi yoyote kutoka katika any authentic book inayosema umri, mwenye umri "huu" asioe umri "huu" ?

2. Huyo "mtu" uliyemtaja wakati anaoa mtoto wa miaka 6, wewe unatumia kigezo gani cha kumlaumu kuwa amefanya makosa. Nguvu ya kuhukumu hilo ni kosa unaipata wapi ? alipomuingilia akiwa na miaka 9, ulikuwepo kuthibitisha hilo tendo. Ikiwa jamii yake aliyoishi iliridhia kuwa jambo hilo ni sawa, wewe ni nani kuhukumu vinginevyo ?

3. Aya hii ya Qur'an tukufu ndio inyotoa hukumu ya sisi Waislaam, kuoa wawili, watatu au wanne, ukishindwa uadilifu (huna nguvu ya uchumi na nguvu ya mwili pamoja na udhibiti wa kuwaongoza) basi oa mmoja ! Je kuoa wake wanne ni makosa (Musa alikuwa na wawili, Ibrahim watatu, Daudi Wanne, Suleiman mia tatu) Mswati 13 ?
...............basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu, au wanne, na mkiogopa kuwa hamuwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu. Qur'an: Al Nisaa: 3
 
Haha , thats why I choose to be atheist!! But sometimes you can clearly see what it means to argue with facts and to argue with emotions. I dont know the details of their argument but I just learnt some few things from these two. Its really gentleness to admit when you are told ni mpumbavu , kudos Pasco, and I would expect mwitaji mpumbavu aseme...hoja hii ni ya kipumbavu (and arguing the fact with counterfacts) thats how people argue intellectually.
 
..........hoja zake zote ni za kuokota barabarani hazina mashiko, sasa vitu vya barabarani na udaku ni nini zaidi ya kuwa ni upumbavu. Huko juu katika post zangu zilizopita nimempa aya ambazo Mwenyezi Mungu anasema Manabii ni watu wema kisha amewaingiza katika njia iliyo nyooka. Yeye. anasema Manabii akiwemo Lut' ni wazinzi na Lut' alidiriki kutembea na wanawe wawili bikra na Suleiman alikuwa mlevi na mwendawazimu. Hoja hizi anazipata wapi, ana nukuu yoyote ? angeleta hata wikipedia basi ! kwa hiyo alikuwa anaonyesha ufundi wa kuropoka tuu !
Sisi Waislaam tunayo maelekezo ya kutosha kuhusu ndoa ndani ya Qur'an, nani wa kumupoa na nani si halali kumuoa. Hivi unawezaje kumfananisha mkeo na mama yako ? mke wako hata akiwa na umri sawa na mama yako bado atakuwa mkeo na hawezi kuchukua sifa ya mama yako ! Hata kama una miaka 20 unaweza ukamuoa Bi Kidude, ilimradi ameridhia na yuko timamu, lakini haiwi dhambi kwakuwa yeye hana nasaba yeyote na wewe.
Sometime unashangaa watu wanajiona wasomi na wanatoa hoja dhaifu kabisa kwa ushabiki tu ! Tumpe challenge atupe standard ya watu wanaoana vipi, kwa umri upi na kwa sababu gani.
 
haya ni madhara ya wahandisi kujihusisha na siasa...wanakiuka kanuni za uhandisi!!!!! kama huamini tafuta hiyo mwananchi ndo utajua jamaa alimpigia kampeni rais aliyepita....haya ndo madhara,wahandisi chonde chonde!!!!!
 
Mkuu Pasco maneno mazito sana sikujuwa hata huku uko vyema sana.

Mkuu Ally Kombo, hivi nimesema Suleiman hakuwa mtu mwema?, nimekuambia Suleiman aliishia kumuasi Mungu na kuabudu miungu wengine!.

Hata hao manabii wema uliowataja, kuna vitendo sio vya wema walivifanya, ndio maana nikakuuliza, yule aliyeoa mke umri sawasawa na mama yake wa kumzaa, hilo nalo jema?, mtu huyo huyo aliyeoa mwanamke wa umri wa mama yake, akaja kukaoa kabinti ka miaka 9!, na kuanza kukaingilia kalipo timu umri wa miaka 12!, nikakuuliza hilo nalo jema?.
Mfalme Daudi, alimtamani mke wa jemedari wake Uria, akamtuma vitani na kutoa amri auliwe, ili mfalme aje kufariji mkewe kwa kifo cha kishujaa cha mumewe vitani, na ili kumuenzi jemedari yule, ndipo mfalme Daudi, akajitwalia huyo mwanamke na kumfanya ndiye mkewe na ndiye aliyemzalia Suleiman, hilo nalo jema?.
Lutu baada ya mkewe kugeuka jiwe la jumvi alipoitazama Sodoma na Gomora, Lut alinyeshwa pombe akawalala mabinti zake wote wawili ambao wote walikuwa ni ma bikra, na akawatia mimba weote wawili, hilo nalo jema?.
Nimekuambia Suleiman, alioa wake 800 na masuriya 200 na bado akazini na Qeen of Sheba aliyembadili imani, hilo nalo jema?.

Waislamu na Wakristu, wote tunafuata sheria moja ya Musa, nyinyi mmeng'ang'ana na ile original "ukuia kwa upanga, utauwawa kwa upanga", sisi tumefuata maboresho "akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la kushoto", nani kati yetu anafanya jambo jema?!.

P.
 
Last edited by a moderator:
Nyamgluu, watazame wa genious wa ukweli, angalia life style zao, angalia dressing zao, angalia smartnes zao utanotice kuna jambo!. Wengi mnamfahamu Profesa Shaba!. Kwanza ma genius wengi wa ukweli, hawanaga maisha marefu!.

Nikiwa Tambaza tulikuwa na genius wetu akiitwa Nia Sudi, jamaa alitoka familia duni akiishi Msasani Mkikoroshini nyumba ya udango, haina umeme, alikuwa hasomi mwalimu akifundisha yeye alikuwa akitetemesha tuu mguu, mtihani wa form VI, alipiga point 7 na alikuwa na A-9!, akachaguliwa Kibaha na safari yake ikaishia pale!, kwanza alichanganyikiwa, then aliugua and passed away! RIP NIA SUDI!.

Kuna vipanga wengine wawili hapo hapo Tambaza waliokuwa mbele yetu, Mustapha Kudra na Elhanan Elirehema Mushi, wote hawa walimazina form VI na point 7, by now lazima wangekua mahali visible, ukiserch, hukuti feed back yoyote kwenye majina yao in such a way one is not sure if they are still alive!.

Kuna familia moja ya kigogo maarufu nchini, ilikuwa ikiishi pale anapoishi VP. Watoto wa 6 wa familia hiyo wote ni vipanga, mkubwa alisoma Tambaza, akatoka na I ya 7 o-level na 1 ya 3 A level, akaripoti UDSM, he died on the car accident akiwa mwaka wa 2!. Mdogo mtu wa kike alipiga Medicine Muhimbili, akajiua akiwa mwaka wa 4!. Waliomfuatia wawili ni wakike mmoja kwa sasa ni Daktari na Mkurugenzi wa taasisi muhimu nchini na mdogo mtu ni Jaji wa Mahakama Kuu. Last born wao ni mvulana he died misyterious death at the age of twenties!. Familia hiyo ina bahati mbaya kwani mzee huyo ana mtoto mkubwa wa kiume aliyezaa nje ya ndoa, I'm not very sure kama ni mzima upstairs!.

Mkifuatilia maisha ya ma genius hata wa historia, angalia waliishije na walikufaje, Jesus, Newton, Galileo Galilei, Archmedes, Socrates na Plato etc.

Pasco.

PASCO hiyo paragraph ya mwisho nimekupata sana!! It is sad kuwa hata huyo baba kama ana entreprises huyu kijana wa nje hataweza simamia maana ni mtu wa starehe na vituo mjini tu!! Kila kitu kimemshinda sasa, kuanzia familia, kazi, siasa n.k.
 
Huyu ajarogwa walimu wa DIT waliwai mchangia pesa na kumpeleka Hospital ya wagonjwa wa akili Tanga na akapona,Tatizo Pombe akinjwa tu akili zinamruka!so iwapo atapata tena matibabu na kuacha pombe atakuwa mzima.

Na hili ni tatizo kubwa sana kwa wanaume wengi waliosoma Urusi hasa doctors and engineers. Pia pale DIT alikuwa engineer mmoja anaitwa Beda Kundi naye aliishia kuwa wa hovyo na sasa ni marehemu!! Yote ni product ya Urusi na alikuwa na mke wa ndoa mzuri wa Kitz akamwacha akaoa kahaba na mwisho wa siku he reap what he sowed!! Chakari pombe, familia tupa kule!! Alifia kibanda cha udongo tena si chake!! Maisha zero.
 
Back
Top Bottom