Nyakua Nyakitita: Mhadhiri DIT anayeokota makopo barabarani

...............Soma Qur'an inavyozungumzia kizazi chake Suleiman kisha hao wote Allah SWT anasema kawafanya watu "wema" kisha linganisha na upuuzi ulioandika hapo juu !!

".................Na tukamtunukia (Ibrahim) Is'haq (Issack) na Yaakub (Jacob). Kila mmoja wao tulimuongoa . Na Nuhu (Noah) tulimuongoa kabla. Na katika kizazi chake tulimuongoa Daud na Suleiman na Ayyub, na Yussuf na Mussa na Haruun. Na hivi ndivyo tunaowalipa wafanyao wema.

Na Zakaria na Yahya (Yohana Mbatizaji) na Issah (Yesu) na Ilyas (Eliyah). Wote walikuwa miongoni mwa watu wema.

Na Ismael, na Al Yasaa, na Yunus na Lut'. Na wote tuliwafadhilisha juu ya walimwengu wote.

Na kutokana na baba zao, vizazi vyao na ndugu zao. Na tukawateuwa na ttukawaongoa kwenye njia iliyo nyooka.
Qur'an 6: 84-87

Mkuu Ally Kombo, hivi nimesema Suleiman hakuwa mtu mwema?, nimekuambia Suleiman aliishia kumuasi Mungu na kuabudu miungu wengine!.

Hata hao manabii wema uliowataja, kuna vitendo sio vya wema walivifanya, ndio maana nikakuuliza, yule aliyeoa mke umri sawasawa na mama yake wa kumzaa, hilo nalo jema?, mtu huyo huyo aliyeoa mwanamke wa umri wa mama yake, akaja kukaoa kabinti ka miaka 9!, na kuanza kukaingilia kalipo timu umri wa miaka 12!, nikakuuliza hilo nalo jema?.
Mfalme Daudi, alimtamani mke wa jemedari wake Uria, akamtuma vitani na kutoa amri auliwe, ili mfalme aje kufariji mkewe kwa kifo cha kishujaa cha mumewe vitani, na ili kumuenzi jemedari yule, ndipo mfalme Daudi, akajitwalia huyo mwanamke na kumfanya ndiye mkewe na ndiye aliyemzalia Suleiman, hilo nalo jema?.
Nabii Lutu baada ya mkewe kugeuka jiwe la jumvi alipoitazama Sodoma na Gomora, Lutu alinyweshwa pombe na wale mabinti zake wawil na akawalala mabinti zake wote wawili zamu kwa zamu, tena wote wawili walikuwa ni ma bikra, na sio tuu ni baba yao wa kuwazaa aliwatoa bikra zao, bali pia akawajaza mimba wote wawili, hii ni incest, hilo nalo jema?.
Nimekuambia Suleiman, alioa wake 800 na masuriya 200 na bado akazini na Queen of Sheba aliyembadili imani, hilo nalo jema?.

Waislamu na Wakristu, wote tunafuata sheria moja ya Musa, nyinyi mmeng'ang'ana na ile original "ukiua kwa upanga, utauwawa kwa upanga", sisi tumefuata maboresho ya Yesu, "akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la kushoto", nani kati yetu anafanya jambo jema?!.

P.
 
Mkuu Pasco nakubaliana na wewe asilimia mia, watu wengi wakishapata wanachokitaka wanakengeuka wanaanza kuwaza vitu vya ajabu. Mfalme Suleiman alianza kukengeuka alipoanza kuwanza ngono mwishowe akapata uchizi. Kwetu hapa Afrika wanaopata uchizi wengi wao wanarogwa tena na ndugu wao wa karibu.
 
mhn! very sad! inauma lakini naamini iko jinsi binafsi nilikutana naye miaka ya nyuma akitoa foto copi za michoro nikawa sielewi.
 
Mkuu Ally Kombo, hivi nimesema Suleiman hakuwa mtu mwema?, nimekuambia Suleiman aliishia kumuasi Mungu na kuabudu miungu wengine!.

Hata hao manabii wema uliowataja, kuna vitendo sio vya wema walivifanya, ndio maana nikakuuliza, yule aliyeoa mke umri sawasawa na mama yake wa kumzaa, hilo nalo jema?, mtu huyo huyo aliyeoa mwanamke wa umri wa mama yake, akaja kukaoa kabinti ka miaka 9!, na kuanza kukaingilia kalipo timu umri wa miaka 12!, nikakuuliza hilo nalo jema?.
Mfalme Daudi, alimtamani mke wa jemedari wake Uria, akamtuma vitani na kutoa amri auliwe, ili mfalme aje kufariji mkewe kwa kifo cha kishujaa cha mumewe vitani, na ili kumuenzi jemedari yule, ndipo mfalme Daudi, akajitwalia huyo mwanamke na kumfanya ndiye mkewe na ndiye aliyemzalia Suleiman, hilo nalo jema?.
Lutu baada ya mkewe kugeuka jiwe la jumvi alipoitazama Sodoma na Gomora, Lut alinyeshwa pombe akawalala mabinti zake wote wawili ambao wote walikuwa ni ma bikra, na akawatia mimba weote wawili, hilo nalo jema?.
Nimekuambia Suleiman, alioa wake 800 na masuriya 200 na bado akazini na Qeen of Sheba aliyembadili imani, hilo nalo jema?.

Waislamu na Wakristu, wote tunafuata sheria moja ya Musa, nyinyi mmeng'ang'ana na ile original "ukuia kwa upanga, utauwawa kwa upanga", sisi tumefuata maboresho "akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la kushoto", nani kati yetu anafanya jambo jema?!.

P.

.............................. Mwenyezi Mungu aya ya mwisho hapo anasema " akawaongoa kwenye njia iliyo nyooka"
sasa wewe hizo stori unazosimulia umezipata wapi, Nabii anakuwaje karibu na pombe, anafanyaje uzinifu ? au unawalinganisha hawa na nabii Mwingira ? hayo unayoongea ni uzushi mtupu na ukafiri, kama ule wa kusema Mungu ana mwana ! Hivi mtu ambaye ni mwema na amesifiwa na Mungu, anweza kumuasi Mungu na bado akawa "mwema ?" au mwema ina maana nyingine ?
Angalia aya inavyoendelea:

"Hiyo ni hidaya ya Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo humhimidi amtakaye katika waja wake. Lau wangemshirikisha (Mwenyezi Mungu na waungu wengine) yangeli waharibikia waliyo kuwa wakiyatenda. Qur'an: 6: 88.
 
Mkuu Ally Kombo, hivi nimesema Suleiman hakuwa mtu mwema?, nimekuambia Suleiman aliishia kumuasi Mungu na kuabudu miungu wengine!.

Hata hao manabii wema uliowataja, kuna vitendo sio vya wema walivifanya, ndio maana nikakuuliza, yule aliyeoa mke umri sawasawa na mama yake wa kumzaa, hilo nalo jema?, mtu huyo huyo aliyeoa mwanamke wa umri wa mama yake, akaja kukaoa kabinti ka miaka 9!, na kuanza kukaingilia kalipo timu umri wa miaka 12!, nikakuuliza hilo nalo jema?.
Mfalme Daudi, alimtamani mke wa jemedari wake Uria, akamtuma vitani na kutoa amri auliwe, ili mfalme aje kufariji mkewe kwa kifo cha kishujaa cha mumewe vitani, na ili kumuenzi jemedari yule, ndipo mfalme Daudi, akajitwalia huyo mwanamke na kumfanya ndiye mkewe na ndiye aliyemzalia Suleiman, hilo nalo jema?.
Lutu baada ya mkewe kugeuka jiwe la jumvi alipoitazama Sodoma na Gomora, Lut alinyeshwa pombe akawalala mabinti zake wote wawili ambao wote walikuwa ni ma bikra, na akawatia mimba weote wawili, hilo nalo jema?.
Nimekuambia Suleiman, alioa wake 800 na masuriya 200 na bado akazini na Qeen of Sheba aliyembadili imani, hilo nalo jema?.

Waislamu na Wakristu, wote tunafuata sheria moja ya Musa, nyinyi mmeng'ang'ana na ile original "ukuia kwa upanga, utauwawa kwa upanga", sisi tumefuata maboresho "akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la kushoto", nani kati yetu anafanya jambo jema?!.

P.
Very good analysis Pasco. I Salute.
 
Last edited by a moderator:
Nyamgluu, watazame wa genious wa ukweli, angalia life style zao, angalia dressing zao, angalia smartnes zao utanotice kuna jambo!. Wengi mnamfahamu Profesa Shaba!. Kwanza ma genius wengi wa ukweli, hawanaga maisha marefu!.

Nikiwa Tambaza tulikuwa na genius wetu akiitwa Nia Sudi, jamaa alitoka familia duni akiishi Msasani Mkikoroshini nyumba ya udango, haina umeme, alikuwa hasomi mwalimu akifundisha yeye alikuwa akitetemesha tuu mguu, mtihani wa form VI, alipiga point 7 na alikuwa na A-9!, akachaguliwa Kibaha na safari yake ikaishia pale!, kwanza alichanganyikiwa, then aliugua and passed away! RIP NIA SUDI!.

Kuna vipanga wengine wawili hapo hapo Tambaza waliokuwa mbele yetu, Mustapha Kudra na Elhanan Elirehema Mushi, wote hawa walimazina form VI na point 7, by now lazima wangekua mahali visible, ukiserch, hukuti feed back yoyote kwenye majina yao in such a way one is not sure if they are still alive!.

Kuna familia moja ya kigogo maarufu nchini, ilikuwa ikiishi pale anapoishi VP. Watoto wa 6 wa familia hiyo wote ni vipanga, mkubwa alisoma Tambaza, akatoka na I ya 7 o-level na 1 ya 3 A level, akaripoti UDSM, he died on the car accident akiwa mwaka wa 2!. Mdogo mtu wa kike alipiga Medicine Muhimbili, akajiua akiwa mwaka wa 4!. Waliomfuatia wawili ni wakike mmoja kwa sasa ni Daktari na Mkurugenzi wa taasisi muhimu nchini na mdogo mtu ni Jaji wa Mahakama Kuu. Last born wao ni mvulana he died misyterious death at the age of twenties!. Familia hiyo ina bahati mbaya kwani mzee huyo ana mtoto mkubwa wa kiume aliyezaa nje ya ndoa, I'm not very sure kama ni mzima upstairs!.

Mkifuatilia maisha ya ma genius hata wa historia, angalia waliishije na walikufaje, Jesus, Newton, Galileo Galilei, Archmedes, Socrates na Plato etc.

Pasco.

...Kazi ya Ibilisi ni kuharibu kile kinachoonekana kitakuwa na mafanikio sasa au baadaye....na hiyo ndo kazi ya mapepo....
 
Very good analysis Pasco. I Salute.

..........muulize huyo Pasco katika hiyo good analysis aonyesha ya kuwa kama Nabii Lut aliweza kuwaingilia mabinti zake, Yeye Lut' anatofauti gani na wale watu wa Sodoma na Gomora ?
 
Last edited by a moderator:
Poor him. Nadhani ni maradhi ya akili ( mental health issues ) ambazo zinatokana na depression na mambo mengine. Bahati mbaya sera zetu za afya haziko wazi juu ya hili na ni swala la haki zabinadamu na za msingi kwa serikali na jamii kuchuikua hatua kukabili changamoto hizi. Watu wa aina yake wako wengi wa elimu iliyobobea na wengine waliokuwa na nafasi mbalimbali katika jamii hapa nchini. Kila mtu anao mfano wake wa kutushirikisha. Mimi nawafahamu watano wawili walikuwa waalimu wangu shule ya msingi na Chuoni.Wawili waliwahi kufanya kazi nje ya nchi wakaoa wazungu... mmoja kapata ajali mbaya ya gari akapona peke yake baada ya hapo akili zake hazikuwa sawa! Mwingine anaishi jalalani katika mji fulani...

Hadi hapo tutakapowajibika zaidi ya hapa tutaendelea kuwaona na baadhi tunaowajua na hata baadhi yetu tunaweza kujikuta katika hali kama hio bila msaada wowote! Tuanze kuchukua hatua! Baadhi ya nchi wana utaratibu wa kuwapata watu hawa na kujaribu kuwasaidia kwa dawa na matunzo na pia kuwapata ndugu, na wafadhili kuunganisha nguvu...Tutafakari ..Tuchuke hatua ikiwa ni pamoja na kuziomba wizara ya afya na ya ustawi wa jamii kuja na mkakati.
 
Si Tanzania mkuu!Wizara ya afya na Wizara karibia zote kwaujumula ukitazama utendaji/sera zao zinaonyesha nizawatanzia lakini utekelezaji wake nikwawale walioteuliwa tu!!Angalia vizazi vilivyokwenye systeam zanchi hii utapata majibu!
 
..........muulize huyo Pasco katika hiyo good analysis aonyesha ya kuwa kama Nabii Lut aliweza kuwaingilia mabinti zake, Yeye Lut' anatofauti gani na wale watu wa Sodoma na Gomora ?
Ally, Sodoma ilikuwa ni kinyume cha maumbile na watu wa jinsia moja!.

Kuna swali kila nikukuuliza unalikwepa, nakuuliza kwa mara ya mwisho, ila kama hujisikii kulijibu, sitakuuliza tena!
Jee yule ...
  1. akiwa na miaka 20, akaoa mwanamke over 40, kwa sababu tuu ya utajiri wa huyo mwanamke, kuna tofauti na hawa masugar mummy?, is it ok?.
  2. akiwa na miaka 53, akaoa binti kwa jina la Aisha with ibn Mut'im binti huyo wa miaka 6!, na kuanza kumwingilia alipotimu umri wa miaka 9!, hivi kweli kuna tofauti na wabakaji?. Is it right?.
  3. Alioa na kuacha mara 11!, is it a good thing?.
Pasco
 
Ally, Sodoma ilikuwa ni kinyume cha maumbile na watu wa jinsia moja!.

Kuna swali kila nikukuuliza unalikwepa, nakuuliza kwa mara ya mwisho, ila kama hujisikii kulijibu, sitakuuliza tena!
Jee yule ...
  1. akiwa na miaka 20, akao mwanamke over 40, kwa sababu tuu ya utajiri wa huyo mwanamke, kuna tofauti na hawa masugar mummy?, is it ok?.
  2. akiwa na miaka 53, akaoa binti kwa jina la Aisha with ibn Mut'im binti huyo wa miaka 6!, na kuanza kumwingilia alipotimu umri wa miaka 9!, hivi kweli kuna tofauti na wabakaji?. Is it right?.

..........wewe ni mtu mpumbavu ndio maana unadiriki kusema manabii ni wazinifu na wabakaji ! unawezaje kusema Nabii mlevi ? Mwenyezi Mungu anaposema hao ni "watu wema" kisha wewe unawaita wazinifu na wabakaji. unadiriki kuandika kuwa Lut' kawaingilia mabinti zake?! kughafilika kulioje huko ! Yaani Mwenyezi Mungu anasema "amewafadhilisha hao Manabii juu ya walimwengu wote" kisha wewe unaleta maneno ya kifedhuli ambayo hayana nukuu sehemu yeyote ! Kweli Kafiri hachagui cha kusema.
 
Unmeritorious and dogmatic reply
 
Akujibu thubutuu......najipiga ban JF
 
Pasco is this you?are you sober?
 
..........wewe ni mtu mpumbavu ndio maana unadiriki kusema manabii ni wazinifu na wabakaji ! unawezaje kusema Nabii mlevi ? Mwenyezi Mungu anaposema hao ni "watu wema" kisha wewe unawaita wazinifu na wabakaji. unadiriki kuandika kuwa Lut' kawaingilia mabinti zake?! kughafilika kulioje huko ! Yaani Mwenyezi Mungu anasema "amewafadhilisha hao Manabii juu ya walimwengu wote" kisha wewe unaleta maneno ya kifedhuli ambayo hayana nukuu sehemu yeyote ! Kweli Kafiri hachagui cha kusema.

Kijana Si Ujibu Swali mbona hueleweki wewe.....Jibu swali la Pasco Hapo....umalize ubishi .... Kijana.
Pasco kajita kwenye hoja wewe unarusha matusi tu hapo.....Kijana nini kinasumbua kijana....
 
Huyu ajarogwa walimu wa DIT waliwai mchangia pesa na kumpeleka Hospital ya wagonjwa wa akili Tanga na akapona,Tatizo Pombe akinjwa tu akili zinamruka!so iwapo atapata tena matibabu na kuacha pombe atakuwa mzima.

Kumbe tatizo linafahamika? Jamaa sio kichaa, ina maana ni fuse ndogo-kinywaji ikiingia mwilini tuu; fuse inakata! Ndg zake wamtafutie dawa ya kuacha pombe kisha wampeleke tena huko Tanga. Naamini tatizo litakwisha (kama ni kwei chanzo ni Lager)
 
Ally, Sodoma ilikuwa ni kinyume cha maumbile na watu wa jinsia moja!.

Kuna swali kila nikukuuliza unalikwepa, nakuuliza kwa mara ya mwisho, ila kama hujisikii kulijibu, sitakuuliza tena!
Jee yule ...
  1. akiwa na miaka 20, akao mwanamke over 40, kwa sababu tuu ya utajiri wa huyo mwanamke, kuna tofauti na hawa masugar mummy?, is it ok?.
  2. akiwa na miaka 53, akaoa binti kwa jina la Aisha with ibn Mut'im binti huyo wa miaka 6!, na kuanza kumwingilia alipotimu umri wa miaka 9!, hivi kweli kuna tofauti na wabakaji?. Is it right?.

Hii si mara ya kwanza kukwambia haya Pasco, napenda analysis zako hasa zikiwa hazimuhusishi Laigwanan!
 
..........wewe ni mtu mpumbavu ndio maana unadiriki kusema manabii ni wazinifu na wabakaji ! unawezaje kusema Nabii mlevi ? Mwenyezi Mungu anaposema hao ni "watu wema" kisha wewe unawaita wazinifu na wabakaji. unadiriki kuandika kuwa Lut' kawaingilia mabinti zake?! kughafilika kulioje huko ! Yaani Mwenyezi Mungu anasema "amewafadhilisha hao Manabii juu ya walimwengu wote" kisha wewe unaleta maneno ya kifedhuli ambayo hayana nukuu sehemu yeyote ! Kweli Kafiri hachagui cha kusema.

Heheheh!! Wewe umechakachua thread kwa kutuletea tafasiri ya quruan(sp) wakati yeye amequote bible...unapoulizwa kuhusu nabii na mambo ya ndoa unakimbilia kutukana

Tujue tu, hakuna binadamu asiye na mapungufu jamani , labda kidooogo kwa kusoma biblia nilimwona mtumishi Job

Yeye anasemwa kuwa he was 'perfect and upright'

Hao kina Mwingira unaowaingiza humu , na lwakatare na wengineo hao wote ni binadamu tu, kama wewe na mimi

Uwe na amani!! Na uache kuchakachua thread za watu kuweka vitu na kusepa ukiulizwa maswali, au usiwe na jazba
 
Ally, Sodoma ilikuwa ni kinyume cha maumbile na watu wa jinsia moja!.

Kuna swali kila nikukuuliza unalikwepa, nakuuliza kwa mara ya mwisho, ila kama hujisikii kulijibu, sitakuuliza tena!
Jee yule ...
  1. akiwa na miaka 20, akao mwanamke over 40, kwa sababu tuu ya utajiri wa huyo mwanamke, kuna tofauti na hawa masugar mummy?, is it ok?.
  2. akiwa na miaka 53, akaoa binti kwa jina la Aisha with ibn Mut'im binti huyo wa miaka 6!, na kuanza kumwingilia alipotimu umri wa miaka 9!, hivi kweli kuna tofauti na wabakaji?. Is it right?.
Ndoa za zamani ilikuwa makubaliano baina ya wazazi na muowaji na hazikujalisha umri, ndio maana kuna baadhi ya mabibi zetu waliolewa wakiwa wangali mimba! na suala la age katika mapenzi na ndoa huwa halijalishi na ikiwa alimuoa mke mmoja kwa utajiri wake je wale wengine pia walikuwa matajiri? Jawabu ni hapana hawakuwa matajiri, na ukifuatilia historia kamili utapata majibu. Na ukitazama da vinci zile picha pia ni matusi kwa nabii Issa (Jesus) lakini kwa sababu zimetoka magharibi hapana anaetaka kulisema hilo wala kulikemea. na si hivyo tu picha ile inafafanua aya zilizomo katika agano jipya ambayo pia ni tusi kwa masihi. Sitoweka picha hizo hapa kwa heshima ya Masihi.

Why_did_Prophet_Muhammad_PBUH_married_to_many_wives
 
Back
Top Bottom