Biashara ya Ngono yashika hatamu Uwanja wa vita nchini Ukraine

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Wakati mapambano makali ya majibizano dhidi ya wanajeshi wa Rusia nchini Ukraine yakiendelea almaarufu kama "Ukraine counter offensive " makahaba kutoka sehemu mbali mbali nao hawajabaki nyuma.

Mfano katika mji wa Kramatorsk, ambao jana tu tarehe 29 Juni 2023 jeshi la urusi lilishambulia mgahawa maarufu uitwao Pizzeria na kuwaua wanajeshi kadhaa wa Ukraine pamoja na mamluki wao wa kijeshi (mercenaries) waliotambuliwa kutoka Marekani, Canada, na nchi nyingine za magharibi na kuacha majeruhi wengi zaidi, ndugu wawili (kaka na mdogo wake) mapema mwaka jana vita ilipoanza walifungua madanguro mawili ambayo yamejikita katika kutoa huduma za kikahaba.

Makahaba hao wanadai uwepo wao ni msaada kwa wanajeshi wa Ukraine na mamluki wao, wandishi wa habari, na watu wengine ambao wapo katika maeneo yanayokabiliwa na mapambano makali, kama vile katika mji huo wa Kramatorsk.

Mmoja wa makahaba hao aliyejitambulisha kwa jina la Natalie mwenye umri unaokadiria miaka 20 alipohojiwa na jarida maarufu la "The Economist" alisema wanajiona nao ni moja ya watu muhimu vitani kwani mchango wanaoutoa unasaidia kuwainua kiroho wanajeshi wa Ukraine ambao wameyatoa maisha yao kwa ajili ya taifa lao.

Kuhusu usalama wa wateja wao, makahaba hao huwa hawana utaratibu wa kuwahoji maswali wateja wao ambao wengi wao ni wanajeshi na badala yake nikutoa huduma tu.

Natalie anaongeza ya kuwa kuna wakati inabidi wanende kutoa huduma katika uwanja wa mapambano , jambo ambalo linahatarisha usalama wao. "They are defending us and we want to help them in any way we can"- anasema Natalie

Kabla ya kuanza kujiuza Kramatorsk, Natalie alikuwa akifanya biashara hiyo kongwe Mykolaiv, mji ambao nao ulishakabiliwa na mapambano makali ulio kusini mwa Ukraine.

Mwanzoni Natalie na wenzake walikuwa wakitoa uroda kwa wanajeshi wao katika mji wa Mykolaiv, ambapo baadae waliekea Bakhmut baada ya kusikia wateja wao(wanajeshi wa Ukraine) wameelekea huko.

Kwa upande wa biashara, kahaba huyo anaongeza ya kuwa kwa sasa biashara ni nzuri sana kwani wanafanya kazi 24/7.

Kahaba mwingine aitwaye Manisha ambaye kijana wake wa miaka 18 aliyejiunga na jeshi la Ukraine anadai muda mwingine unakuta wapiganaji hao wa Ukraine hata hawaitaji penzi, bali mtu wa kukumbatia kutokana na madhila ya vita.

"Kuna muda tunafanya kila liwezekanalo na kama vile kuwatia moyo wale waliokata tamaa, kuwapa tumaini jipya kama vile kuwaambia wao ni mashujaa" hiyo yote husaidia kuwapa ujasiri vitani". Anasema Manisha.

Manisha anamalizia kwa kusimulia ya kuwa mtanange dhidi ya wanajeshi wa Ukraine na kikundi cha Wagner (PMC) wa kutoka Urusi katika mji wa Bakhmut haukuwa nwa kitoto hata kidogo, jambo lilipolekea wengi wa wanajeshi wa Ukraine kubaki vilema, kuadhirika kisaikolojia, na wengi kupoteza maisha.

"Bakhmut has traumatized many of them. The psychological conditions of those coming out there is dreadful, just dreadful"- anasema Manisha.

IMG_20230629_164132.jpeg
IMG_20230629_160857.jpeg
IMG_20230629_160902.jpeg
IMG_20230629_160905.jpeg
 
Katika vita hivi imekua ni rahisi Sana kuwajua wanaoshabikia matendo mema na maovu.
Wafuasi wa shetani na wanao muongoka MUNGU.
Tabia ya shetani na ya MUNGU.
Tabia ya shetani ni uongo na ukatili.
MUNGU ni mkweli na anahurumia/ kusamehe.
Kuna mambo kama mawili yamenifikirisha Sana jinsi watu wanavyotoa mitazamo Yao na ushabikiaji wao
 
Baada ya vita zelensky asiwasahau hawa makahaba. Au munasemaje wazee wa NATO kutoka Tanzania!!!?

Picha

Tizama hali ilivyokuwa jana after Russia launched a missile airstrike right at the meal in Kramatorsk hotel and pizzeria restaurant

Huenda kuna baadhi ya makahaba nao walikuwa na wateja wao hapo.

R.i.p Ukrainian prostitutes
Screenshot_2023-06-29-17-25-02-950_com.twitter.android.jpeg
IMG_20230629_172344.jpeg
 
Na ukiona mtu anajidai katika vita hii eti yupo "neutral ", huku akijifanya ni mpenda mpenda amani, basi jua ya kuwa huyo ni Pro-Ukranian, a.k.a wazee wa kusapoti mrengo wa kiliberali, a.k.a wazee
Katika vita hivi imekua ni rahisi Sana kuwajua wanaoshabikia matendo mema na maovu.
Wafuasi wa shetani na wanao muongoka MUNGU.
Tabia ya shetani na ya MUNGU.
Tabia ya shetani ni uongo na ukatili.
MUNGU ni mkweli na anahurumia/ kusamehe.
Kuna mambo kama mawili yamenifikirisha Sana jinsi watu wanavyotoa mitazamo Yao na ushabikiaji wao
 
Dah inamaanisha wahuni Wana nyege mda wote? Huku kwetu ukiwa na stress huna mda wa kumdandia binti wa mamkwe
 
Wakati mapambano makali ya majibizano dhidi ya wanajeshi wa Rusia nchini Ukraine yakiendelea almaarufu kama "Ukraine counter offensive " makahaba kutoka sehemu mbali mbali nao hawajabaki nyuma.

Mfano katika mji wa Kramatorsk, ambao jana tu tarehe 29 Juni 2023 jeshi la urusi lilishambulia mgahawa maarufu uitwao Pizzeria na kuwaua wanajeshi kadhaa wa Ukraine pamoja na mamluki wao wa kijeshi (mercenaries) waliotambuliwa kutoka Marekani, Canada, na nchi nyingine za magharibi na kuacha majeruhi wengi zaidi, ndugu wawili (kaka na mdogo wake) mapema mwaka jana vita ilipoanza walifungua madanguro mawili ambayo yamejikita katika kutoa huduma za kikahaba.

Makahaba hao wanadai uwepo wao ni msaada kwa wanajeshi wa Ukraine na mamluki wao, wandishi wa habari, na watu wengine ambao wapo katika maeneo yanayokabiliwa na mapambano makali, kama vile katika mji huo wa Kramatorsk.

Mmoja wa makahaba hao aliyejitambulisha kwa jina la Natalie mwenye umri unaokadiria miaka 20 alipohojiwa na jarida maarufu la "The Economist" alisema wanajiona nao ni moja ya watu muhimu vitani kwani mchango wanaoutoa unasaidia kuwainua kiroho wanajeshi wa Ukraine ambao wameyatoa maisha yao kwa ajili ya taifa lao.

Kuhusu usalama wa wateja wao, makahaba hao huwa hawana utaratibu wa kuwahoji maswali wateja wao ambao wengi wao ni wanajeshi na badala yake nikutoa huduma tu.

Natalie anaongeza ya kuwa kuna wakati inabidi wanende kutoa huduma katika uwanja wa mapambano , jambo ambalo linahatarisha usalama wao. "They are defending us and we want to help them in any way we can"- anasema Natalie

Kabla ya kuanza kujiuza Kramatorsk, Natalie alikuwa akifanya biashara hiyo kongwe Mykolaiv, mji ambao nao ulishakabiliwa na mapambano makali ulio kusini mwa Ukraine.

Mwanzoni Natalie na wenzake walikuwa wakitoa uroda kwa wanajeshi wao katika mji wa Mykolaiv, ambapo baadae waliekea Bakhmut baada ya kusikia wateja wao(wanajeshi wa Ukraine) wameelekea huko.

Kwa upande wa biashara, kahaba huyo anaongeza ya kuwa kwa sasa biashara ni nzuri sana kwani wanafanya kazi 24/7.

Kahaba mwingine aitwaye Manisha ambaye kijana wake wa miaka 18 aliyejiunga na jeshi la Ukraine anadai muda mwingine unakuta wapiganaji hao wa Ukraine hata hawaitaji penzi, bali mtu wa kukumbatia kutokana na madhila ya vita.

"Kuna muda tunafanya kila liwezekanalo na kama vile kuwatia moyo wale waliokata tamaa, kuwapa tumaini jipya kama vile kuwaambia wao ni mashujaa" hiyo yote husaidia kuwapa ujasiri vitani". Anasema Manisha.

Manisha anamalizia kwa kusimulia ya kuwa mtanange dhidi ya wanajeshi wa Ukraine na kikundi cha Wagner (PMC) wa kutoka Urusi katika mji wa Bakhmut haukuwa nwa kitoto hata kidogo, jambo lilipolekea wengi wa wanajeshi wa Ukraine kubaki vilema, kuadhirika kisaikolojia, na wengi kupoteza maisha.

"Bakhmut has traumatized many of them. The psychological conditions of those coming out there is dreadful, just dreadful"- anasema Manisha.

View attachment 2673193View attachment 2673194View attachment 2673196View attachment 2673197
Bei zao zipoje???

Kwa bib na kwa mparange bei zinaringana???
 
Na ukiona mtu anajidai katika vita hii eti yupo "neutral ", huku akijifanya ni mpenda mpenda amani, basi jua ya kuwa huyo ni Pro-Ukranian, a.k.a wazee wa kusapoti mrengo wa kiliberali, a.k.a wazee
Niwe mkweli simpendi Putin na genge lake mi sio MTU wa kufata mambo ya kufikirika kumkisia mwenzio uovu ukijifanya mwema ni picha ya MTU muovu
 
Back
Top Bottom