zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Mkuu za Leo, kwa kuongezea tuu, baba yake na Mfame Suleiman ni Mfalme Daudi, huyu Daudi, alimtamani mke wa jemedari wake aitwae Uria, akamtuma vitani ili afe naye kujitwalia huyo mjane na kumfanya mkewe ndipo akamzalia Suleiman!. Suleiman alikuwa na wake 800 na masuria 200, jumla ni 1,000. Pamoja na utajiri na wake wote alionao, pia alipewa hekima kuliko watu wote na kosa lake ni moja tuu, tamaa ya "chini", hivyo alipokuja kutembelewa na Queen of Sheba, akaomba na kukubaliwa, akapata nae mtoto!. Kwa vile huyu Queen Sheba, hakumwanini Mungu wa Israel, Mfalme Suleiman aliwehuka (alikuwa genius) na kutangatanga porini hadi mwisho wa maisha yake, na mali zake zote, zikapururwa na yule Queen of Sheba na zimehifadhiwa chini ya milima ya Abysinia na ndilo chimbuko la Mashimo ya Mfame Suleiman!.
Daudi ndiye aliyeandika kitabu cha Zaburi, Suleiman aliandika Mithali wakati akiwa na busara, alipoanza kuendekeza tamaa ya "chini" akaandika "wimbo ulio bora" na mwisho alipoanza kuwa insane, na kumuasi Mungu, akaandika kitabu cha "Mhubiri"
Ukizisoma Mithali na kumsoma Mhubiri, unaweza usiamini vitabu hivyo viwili vimeandikwa na mtu mmoja!
Pasco.
Although the book begins with a title ascribing the proverbs to Solomon, it is clear from later chapters that he was not the only author of the book. Source: NIV Bible | Proverbs | Biblica