mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
mpe pole sana dada etu ila cha msingi ka atampata mtu mwingine mshauri apunguze kua possesive.
Ndio hivyo Igwe watu tunatofautina,mwenzangu hapa wake ni balaa!ila anataka ajifunze kuucontrol coz unampa mateso ya moyo tu!na huu wivu wa kupita kiasi sijui wanajifunzia wapi,...mimi mbona sinaga
Ujumbe umefika mkuu, na hilo ndio linamtafuna,ila kwa sasa yuko tayari kuchange!mpe pole sana dada etu ila cha msingi ka atampata mtu mwingine mshauri apunguze kua possesive.
Asante Jux,anashukuru kwa coment yako na nanfarijika sana coz anasoma coments zote na namna watu wanavyomshauri,ni matumain yangu kwa utayari alionao sasa,atasahu ya nyuma na kusonga mbele kwa style mpya ya maisha!Cantalisia mpe pole sana rafiki yako, haya maisha tunapitia mengi sana kuna kijana moja wasichana walimtenda aliumia sana ila baada ya kuongea nae na kumpa ushauri alisamehe yote sasa hivi ana furaha tena moyoni na anatamani kupenda tena, kupata msichana watakayependana nae kwa mapenzi ya dhati, mwambie rafiki yako asikate tamaa wala asijilaumu sana kwa yaliyotokea.
haya sasa!Nipe namba yake hapa tumpe namna ya "kuheal broken heart" hamna kupendana siku hizi ni kusaidiana huduma za kimwili tu.
Inawezekana ni mtizamo wako, but yeye hahitaji huduma ya mwili tu bali anahitaji mtu mkweli na mwaminifu wa kupenda na kupendwa(wapendane)na hapa ameomba tu ushauri wa kumwezesha kutoka kwenye hali aliyonayo kwa sasa na kuwa normal.Nipe namba yake hapa tumpe namna ya "kuheal broken heart" hamna kupendana siku hizi ni kusaidiana huduma za kimwili tu.
yeah_you hv a point da Canta......!....kupendana ndio mpango mzima,...mwambie asikate tamaa atampata wake wa moyo na atasahau madhira yote haya.Inawezekana ni mtizamo wako, but yeye hahitaji huduma ya mwili tu bali anahitaji mtu mkweli na mwaminifu wa kupenda na kupendwa(wapendane)na hapa ameomba tu ushauri wa kumwezesha kutoka kwenye hali aliyonayo kwa sasa na kuwa normal.
Ujumbe umafika Igwe, mpaka mda huu yuko vizuri na anafuatilia watu wanavyomshauri!yeah_you hv a point da Canta......!....kupendana ndio mpango mzima,...mwambie asikate tamaa atampata wake wa moyo na atasahau madhira yote haya.
Amen,ujumbe umefika Nduu,anashukuru kwa ushauri wako mkuu!amtangulize mungu mbele kwanza, halafu mwanaume nyuma.afanye maombi sana mungu atambariki na atampatia yule aliyekuwa akimtaka.
Yeye sio member humu,andika tu ushauri wako niko naye hapa atausoma!mwambie ani PM nitamsadia
Yap mweleze amtangulize na Mungu mbele, unajua mambo mengine si kuenenda katika hali ya kimwili tu' unahitaji pia kwenda katika hali ya kiroho, yaani na maombi ya nguvu mola akusaidieAmen,ujumbe umefika Nduu,anashukuru kwa ushauri wako mkuu!
mwambie ani PM nitamsadia[/QUOTE]
kweli wewe ndio domo zege,unataka kummendea dada wa watu.
Habari zenu wapendwa,kuna met wangu hapa oficn ana tatizo ambalo hata yeye mwenyewe haelewi ni tatizo gani,ni mtu ambaye relation zinamsumbua sana,amekuwa akitendwa mara kwa mara kwa ni mtu mwenye hasira na wivu sn,japo huwa akipenda anapenda kweli na wala huwa hatoki nje ya uhusiano anapokuwa mtu,relation yake ya mwisho ilikuwa na maumivu makali sana kwake kwan alimpata mtu aliyeza kumtuliza hasira na wivu wake na wakawa wameshatambulishana,wakiwa wanaendelea na relation met wangu akagundua jamaa ana mke wa ndoa na mtoto kupitia simu yake ila mke wake yuko mkoa mbeya ni mwalimu,alipomuuliza jamaa kutokana na ushahidi ikabidi akiri na kuomba msamaha ila ndio met wangu akakasirika na kuachana naye.
Sasa ni miezi minne tangu yuko single amekuwa ni mtu wa mawazo sn amepungua na ameshindwa hata kujipendezesha km awali,anasema upweke ndio tatizo anataman kuwa na mpnz na anahic hawezi kuwa peke yake, anataman apate mtu wa kumwonyesha mapnz yake na watu wanaomtokea wapo ila anashindwa kuwaamin na hata kuwa nao,nimejitahidi kumshauri nahata kumwonyesha sred za humu za kufanana na matatizo yake lkn tatizo haliishi na ameendelea kuwa hivyo,saa nyingine unakuta analia tu,nikimuuliza anasema anataman angekuwa na mpenz akamweleza anavyojisikia,kwakweli ni hali ambayo mie km binadamu mwenzia inanihuzunisha na nimeshindwa namna ya kumsaidia na kuamua nilete kwenu wadau tuone tumsahuri nn japo kumsaidia,nawakilisha.
cantalasia!! ni aje umetoa siri zangu JF!! na nilikwambia iwe siri yako!!