Nomben ushauri tumsaidie huyu dada.

mpe pole sana dada etu ila cha msingi ka atampata mtu mwingine mshauri apunguze kua possesive.
 
na huu wivu wa kupita kiasi sijui wanajifunzia wapi,...mimi mbona sinaga
Ndio hivyo Igwe watu tunatofautina,mwenzangu hapa wake ni balaa!ila anataka ajifunze kuucontrol coz unampa mateso ya moyo tu!
 
Cantalisia mpe pole sana rafiki yako, haya maisha tunapitia mengi sana kuna kijana moja wasichana walimtenda aliumia sana ila baada ya kuongea nae na kumpa ushauri alisamehe yote sasa hivi ana furaha tena moyoni na anatamani kupenda tena, kupata msichana watakayependana nae kwa mapenzi ya dhati, mwambie rafiki yako asikate tamaa wala asijilaumu sana kwa yaliyotokea.
 
Nipe namba yake hapa tumpe namna ya "kuheal broken heart" hamna kupendana siku hizi ni kusaidiana huduma za kimwili tu.
 
Cantalisia mpe pole sana rafiki yako, haya maisha tunapitia mengi sana kuna kijana moja wasichana walimtenda aliumia sana ila baada ya kuongea nae na kumpa ushauri alisamehe yote sasa hivi ana furaha tena moyoni na anatamani kupenda tena, kupata msichana watakayependana nae kwa mapenzi ya dhati, mwambie rafiki yako asikate tamaa wala asijilaumu sana kwa yaliyotokea.
Asante Jux,anashukuru kwa coment yako na nanfarijika sana coz anasoma coments zote na namna watu wanavyomshauri,ni matumain yangu kwa utayari alionao sasa,atasahu ya nyuma na kusonga mbele kwa style mpya ya maisha!
 
Nipe namba yake hapa tumpe namna ya "kuheal broken heart" hamna kupendana siku hizi ni kusaidiana huduma za kimwili tu.
Inawezekana ni mtizamo wako, but yeye hahitaji huduma ya mwili tu bali anahitaji mtu mkweli na mwaminifu wa kupenda na kupendwa(wapendane)na hapa ameomba tu ushauri wa kumwezesha kutoka kwenye hali aliyonayo kwa sasa na kuwa normal.
 
Inawezekana ni mtizamo wako, but yeye hahitaji huduma ya mwili tu bali anahitaji mtu mkweli na mwaminifu wa kupenda na kupendwa(wapendane)na hapa ameomba tu ushauri wa kumwezesha kutoka kwenye hali aliyonayo kwa sasa na kuwa normal.
yeah_you hv a point da Canta......!....kupendana ndio mpango mzima,...mwambie asikate tamaa atampata wake wa moyo na atasahau madhira yote haya.
 
amtangulize mungu mbele kwanza, halafu mwanaume nyuma.afanye maombi sana mungu atambariki na atampatia yule aliyekuwa akimtaka.
 
yeah_you hv a point da Canta......!....kupendana ndio mpango mzima,...mwambie asikate tamaa atampata wake wa moyo na atasahau madhira yote haya.
Ujumbe umafika Igwe, mpaka mda huu yuko vizuri na anafuatilia watu wanavyomshauri!
 
Amen,ujumbe umefika Nduu,anashukuru kwa ushauri wako mkuu!
Yap mweleze amtangulize na Mungu mbele, unajua mambo mengine si kuenenda katika hali ya kimwili tu' unahitaji pia kwenda katika hali ya kiroho, yaani na maombi ya nguvu mola akusaidie
 
Habari zenu wapendwa,kuna met wangu hapa oficn ana tatizo ambalo hata yeye mwenyewe haelewi ni tatizo gani,ni mtu ambaye relation zinamsumbua sana,amekuwa akitendwa mara kwa mara kwa ni mtu mwenye hasira na wivu sn,japo huwa akipenda anapenda kweli na wala huwa hatoki nje ya uhusiano anapokuwa mtu,relation yake ya mwisho ilikuwa na maumivu makali sana kwake kwan alimpata mtu aliyeza kumtuliza hasira na wivu wake na wakawa wameshatambulishana,wakiwa wanaendelea na relation met wangu akagundua jamaa ana mke wa ndoa na mtoto kupitia simu yake ila mke wake yuko mkoa mbeya ni mwalimu,alipomuuliza jamaa kutokana na ushahidi ikabidi akiri na kuomba msamaha ila ndio met wangu akakasirika na kuachana naye.

Sasa ni miezi minne tangu yuko single amekuwa ni mtu wa mawazo sn amepungua na ameshindwa hata kujipendezesha km awali,anasema upweke ndio tatizo anataman kuwa na mpnz na anahic hawezi kuwa peke yake, anataman apate mtu wa kumwonyesha mapnz yake na watu wanaomtokea wapo ila anashindwa kuwaamin na hata kuwa nao,nimejitahidi kumshauri nahata kumwonyesha sred za humu za kufanana na matatizo yake lkn tatizo haliishi na ameendelea kuwa hivyo,saa nyingine unakuta analia tu,nikimuuliza anasema anataman angekuwa na mpenz akamweleza anavyojisikia,kwakweli ni hali ambayo mie km binadamu mwenzia inanihuzunisha na nimeshindwa namna ya kumsaidia na kuamua nilete kwenu wadau tuone tumsahuri nn japo kumsaidia,nawakilisha.

Mwanangu mpendwa Cantalisia, mpe pole huyo Met wako, kwa kweli anahitaji ushauri tena wa haraka, unajua hizi thread humu JF nyingi ziko too General, hawezi kuzisoma na kuelewa moja kwa moja. mimi namshauri atafute mtaalamu wa ushauri wa mambo ya mahusiano ambaye anamuamini ili aweze kusema naye...naamini humu wapo wengi sana tu. Kwa hali aliyo nayo akikurupuka anaweza kuibuka na bomu halafu likamletea shida. anachotakiwa ni kutulia na kumuomba Mungu sana amuondolee huo msongo wa mawazo ambao naamini unatokana na kutendwa.

Mpe pole zangu.............
 
Samahani Cantalisia; ila naona kama huyo rafiki yako ni wewe vile!!!!!!!!!

Anyway it doesn't matter. Ushauri wangu, mwambie ajipende kwanza yeye mwenyewe, na maisha yake yamekamilika with or without mwanaume. Kuhusu wivu wa kupindukia ni dalili ya kutojiamini, hivyo akijipenda na kujithamini atajiamini na hatahitaji mtu wa pembeni kumpenda ndipo awe na thamani!

Mapenzi (mutual) yatakuja tu bila kuyavuta; wasimtishe au asijione muda umeenda kwani God's time is the right one! I hope still uko naye, home, hotel or wherever ili asome na post yangu........
 
Kwanza mpe pole.
Pia kama walivyogusia baadhi, kuna umuhimu sana wa kujiunga na vitu kama gym, kwaya, swimming club au sehemu yoyote ambayo itamsaidia ku-relax mentally. Kama ilivyo addiction yoyote, njia bora kupambana nayo ni kubadili trend au tabio hiyo kwa kitu kingine. Na sehemu kama hizo (sio baa ) unaweza kukutana na watu aka wanaume na mambo yakajipa. Na kwa kuanzia sio lazima kwenda gym per see, unaweza kuwa mnakwenda wote sehemu za beach ambazo watu wanatembea as a group, au kufanya mazoezi ya viungo (anza na 3 times a week at minimum). hasira nzuri ktk kipindi hiki ni kujifua na kula vizuri- mboga, matunda fresh, samaki kwa wingi bila kusahau bamia, jitengeneza ili kama ni kung'aa basi ung'ae mara mia zaidi-

Pia siku za weekend, mara moja moja nendeni hapo Saadan mbugani au funga safari hadi mikumi angalia wanyama na mazingira, am sure you and her will feel relaxed. Again, utajifariji na over time kuna possibilities za kukutana na mtu ambaye labda ndiyo ulipangiwa....!

Nikija nitawatafuta na kuwapa company ya muda kama rafiki ( sitaki chochote) !!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom