Kabla sijaamua kuishi naye niambieni ukweli kuhusu tabia ya huyu binti

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,852
Ndugu zangu wana jf najua nyie ni wataalamu wakuyasoma matendo ya mtu na kutoa ushauri sahihi.

Wakuu nataka kuishi na huyu mwanamke kama mke wangu ila ananitatiza kidogo msomeni tabia yake alafu mniambie anafaa au hafai.

ALISHA WAHI KUA NA WAPENZI WA WILI WOTE WAKAMUACHA BILA SABABU , MWANZO WAKATI PENZI BADO BICHI SANA ALISHAWAHI KUNIJIBU KAMA NITAKUA NA MZUIA MAMBO YAKE BORA NIMPOTEZEE TUACHANE MAPEMA

TABIA ZAKE

1: Hajawahi kuniomba hela kabisa na hata nikimpa ananiambia ananifilisi ni tunze hizo hela zitatusaidia baadae

2: Hanipi kipaumbele kabisa kwenye mawasiliano na yeye yupo kwenye ule upande wa nakupenda pia, anaweza pitisha hata mwezi bila kunitafuta kabisa kama mimi nitaamua kupiga kimnya

3: Ni mlokole na anava nguo ndefu sana mpaka zina buruza chini huoni hata kiatu

4: Haoni shida kunipa utamu na yupo teyari, kuishi na kuzaa na mimi

5: Aliwahi nambia ana wivu sana hivyo nikimuoa lazima anichunge na hata nikifanya jambo la mashaka hato lala mpaka ni mpe majibu ya kueleweka

6: Nikiwa nae ana kwa ana anaonyesha kunipenda, kanionyesha kwao na wala hawazi chochote , tatizo nikisha kua nae mbali ananipotezea na wakati mwingine naona kama ananipuuza vile.

7: hapendi kabisa kuongea ni mkimnya mno , yani kumuongelesha ni kama natafuta ugomvi na yeye.

Asanteni
 
..................."3: Ni mlokole na anava nguo ndefu sana mpaka zina buruza chini huoni hata kiatu"

Weeeeweeee....

Hakuna bidhaa hadimu dunia hii kama kumjua mlokole! Wote wanaojifanya walokole sio! Mlokole ni 'supernatural being' mwenye sifa zifuatazo ila nitaelezea moja ambayo watu wanaitumia kuwapiga nayo: mlokole ana;
Upendo, furaha, amani, uvumilivu, utuwema, FADHILI, uaminifu, upole, na KIASI. Mlokole huwezi kuingia anga zake kwa njia yoyote (nasema yoyoteee) ya udhalimu na dhambi alafu ukasema nadate/nimeoa mlokole! Kuhusu FADHILI, Hakuna mlokole mwenye huitaji/masikini hoeae/fukara. KIASI hakuna mlokole dhaifu wa kumnyanyasa na kumtisha kwa lolote! Hapa kwenye kiasi ndo kama Israel na Hamas! Mlokole akikutangazia vita ni vita kweli si za kitoho huponi!
 
Ndugu zangu wana jf najua nyie ni wataalamu wakuyasoma matendo ya mtu na kutoa ushauri sahihi.

Wakuu nataka kuishi na huyu mwanamke kama mke wangu ila ananitatiza kidogo msomeni tabia yake alafu mniambie anafaa au hafai.

ALISHA WAHI KUA NA WAPENZI WA WILI WOTE WAKAMUACHA BILA SABABU , MWANZO WAKATI PENZI BADO BICHI SANA ALISHAWAHI KUNIJIBU KAMA NITAKUA NA MZUIA MAMBO YAKE BORA NIMPOTEZEE TUACHANE MAPEMA

TABIA ZAKE

1: Hajawahi kuniomba hela kabisa na hata nikimpa ananiambia ananifilisi ni tunze hizo hela zitatusaidia baadae

2: Hanipi kipaumbele kabisa kwenye mawasiliano na yeye yupo kwenye ule upande wa nakupenda pia, anaweza pitisha hata mwezi bila kunitafuta kabisa kama mimi nitaamua kupiga kimnya

3: Ni mlokole na anava nguo ndefu sana mpaka zina buruza chini huoni hata kiatu

4: Haoni shida kunipa utamu na yupo teyari, kuishi na kuzaa na mimi

5: Aliwahi nambia ana wivu sana hivyo nikimuoa lazima anichunge na hata nikifanya jambo la mashaka hato lala mpaka ni mpe majibu ya kueleweka

6: Nikiwa nae ana kwa ana anaonyesha kunipenda, kanionyesha kwao na wala hawazi chochote , tatizo nikisha kua nae mbali ananipotezea na wakati mwingine naona kama ananipuuza vile.

7: hapendi kabisa kuongea ni mkimnya mno , yani kumuongelesha ni kama natafuta ugomvi na yeye.

Asanteni
Ngoja nisome comments. Hapa kuna jambo linalonihusu.
 
Huyo hapendwi na inaonesha jamaa anabembeleza sana attention.

Kwamba wanawajali sana first love wao?
Hawawasahau amini kwamba. Hasahasa wale walioitoa kwa hiyari. Hawa hata wakuambie hawampendi sema wanawakumbuka mno. Sasa hapa ni eidha uwe kama first love wake ndo mambo yaende la sivyo ni kupigwa chini.

Wale walioitoa kwasababu ya shida wanawachukia sana first love hasahasa wakiwadump. Kuna mmoja aliwahi niambia hivi , si unajua mwanamke fuatilia sana Matendo yake sio maneno.

Hakuna kitu kibaya sana kama kumpa mtu attention alafu ha-appreciate.
 
Huenda ukawa sahihi ila kuwaelewa hawa watu ni ngumu mno tuishi nao kwa akili.

Never beg for attention, fight kuonesha nia yako ya kumhitaji kama mwanaume lakini isiwe too much mpaka ukaonekana dhaifu.
 
Uko sahihi sana. Although dating game ya sasa inapingana sana na Imani, mi naona mwanaume asimamie anachokiamini na awe tayari ku-move on.
 
Huenda ukawa sahihi ila kuwaelewa hawa watu ni ngumu mno tuishi nao kwa akili.

Never beg for attention, fight kuonesha nia yako ya kumhitaji kama mwanaume lakini isiwe too much mpaka ukaonekana dhaifu.
Mfano mzuri ni Samsoni. Alichase wanawake badala ya purpose, kilichotokea ni kung'olewa macho. Yaani ukitanguliza ngono mbele sana kupitiliza inapofusha ufahamu. Ukitanguliza purpose na kuwa family oriented utaweka set of rules zikivunjwa unajiondoa.

Yaani ukijifanya unawajua wanawake, jua you are a dead walking corpse.
 
Hii ni kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom