utapita bila kupingwa kwani nimesikia posho zote za ubunge zinafutwa halafu mshahara ni kima cha chini cha serikaliNimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM
FYI RA would be more than happy jimbo la Igunga liende kwa upinzani..watch this space.
Karibu sana JFNimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM
Nimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM
Dr.kafumu anarudi kugombea kupitia ccm
umefeli kabla hujaanzaNimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM
Sasa we kei yu emu ei unafikiri hz sera zako kuna hata moja inayoweza kufanana na hata robo ya maendeleo ya Igunga au ni kujikomba hapa jf, nakusihi bora uendelee na ile biashara uliyoizoea ya kuuza kahawa usije kufulia mpaka tukakumisi kijiweniSERA ZANGU1. kununu ambulance2. kuimarisha hospitali ya wilaya3. elimu bora4. maji safi na salama5. kuimarisha barabara 6. kujenga soko la kisasa7. kutoa mikopo kwa kinamama na vijana.8. kujenga chuo cha ufundi9. kuimarisha kilimo10. elimu bure kwa yatima11. kudumisha amani na mshikamano
SERA ZANGU
1. kununu ambulance
2. kuimarisha hospitali ya wilaya
3. elimu bora
4. maji safi na salama
5. kuimarisha barabara
6. kujenga soko la kisasa
7. kutoa mikopo kwa kinamama na vijana.
8. kujenga chuo cha ufundi
9. kuimarisha kilimo
10. elimu bure kwa yatima
11. kudumisha amani na mshikamano
True mkuuSasa we kei yu emu ei unafikiri hz sera zako kuna hata moja inayoweza kufanana na hata robo ya maendeleo ya Igunga au ni kujikomba hapa jf, nakusihi bora uendelee na ile biashara uliyoizoea ya kuuza kahawa usije kufulia mpaka tukakumisi kijiweni