Mbunge Ngassa: Maafisa Usafirishaji Pokeeni Salamu Kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941

MBUNGE NGASSA: "MAAFISA USAFIRISHAJI POKEENI SALAM KUTOKA KWA RAIS DKT. SAMIA"
WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.08.jpeg

"... Mheshimiwa Rais Alifanya ziara ya Kikazi Jimbo la Igunga, Leo (Sikukuu ya Krismasi) Nimeona Tukutane Nitoe Shukrani za dhati kwa ushiriki wenu mkubwa kwenye mapokezi na kumlaki Kiongozi Wetu Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Rais Anawashukuru sana. Igunga Tulivunja Rekodi ya mapokezi.."

WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.09.jpeg


"... Kila mmoja (Bodaboda na Bajaji) Tunampatia mafuta kama Shukrani ya kujitoa kwake na iwe chachu ya ushirikiano Wetu na Chama chetu (CCM) na Serikali Yetu... "

WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.12.jpeg

"... Mwisho, Ninawatakia Wana Igunga na Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Krismasi. Tusherekee kwa Amani na Kuliombea Taifa Letu Liendelee kustawi katika Amani, Umoja na Mshikamano... "

NICHOLAUS GEORGE NGASSA
MBUNGE WA JIMBO LA IGUNGA

#KAZI NA MAENDELEO
#KAZI IENDELE
#MAMASAMIAKAZINI
#MITANO5TENA
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.09(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.09(1).jpeg
    54.5 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.10.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.10.jpeg
    81.5 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.11.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-25 at 09.29.11.jpeg
    82.2 KB · Views: 1
🤣🤣🤣 Igunga walipigwa
Hamna mbunge pale
Kaona uchaguzi unakaribia,anajirudisha taratibu
 
Back
Top Bottom