Nitagombea Igunga

Join Date : 14th July 2011! Karibu sana wewe unaonekana utakua kundi moja na kina MALARIA SUGU!
 
Nimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM
utapita bila kupingwa kwani nimesikia posho zote za ubunge zinafutwa halafu mshahara ni kima cha chini cha serikali
 
FYI RA would be more than happy jimbo la Igunga liende kwa upinzani..watch this space.

I agree with you million times..........na amewashutumu wazi wazi Nape na Chiligati.....nasubiri kuwaona CCm wakizomewa jukwaani
 
Nimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM

SIdhani kama JF ina uwezo wa kukuunga mkono kwani haina utaratibu huo. Ila wanachama na wapenzi wa JF wanaweza kukuunga mkono kama watu binafsi. Kabla sijakuunga mkono naomba unijuze ni nini kinakusukuma kugombea ubunge wa Igunga kwa tiketi ya CCM?
 
SERA ZANGU
1. kununu ambulance
2. kuimarisha hospitali ya wilaya
3. elimu bora
4. maji safi na salama
5. kuimarisha barabara
6. kujenga soko la kisasa
7. kutoa mikopo kwa kinamama na vijana.
8. kujenga chuo cha ufundi
9. kuimarisha kilimo
10. elimu bure kwa yatima
11. kudumisha amani na mshikamano
 
Dr.kafumu anarudi kugombea kupitia ccm

Huyo wakimweka basi CDM kashinda, kwani ukimwaga sumu/upupu kwa kuelezea Kafumu alivyowafanyia wasukuma wenzie huko kwingine kwenye migodi tena kwa kisukuma basi ni kama kumsukuma mlevi fulani vile
 
Nimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM
umefeli kabla hujaanza

profile yako ni ipi??

unaaibisha ccm zaidi ya ilipo sasa
 
SERA ZANGU1. kununu ambulance2. kuimarisha hospitali ya wilaya3. elimu bora4. maji safi na salama5. kuimarisha barabara 6. kujenga soko la kisasa7. kutoa mikopo kwa kinamama na vijana.8. kujenga chuo cha ufundi9. kuimarisha kilimo10. elimu bure kwa yatima11. kudumisha amani na mshikamano
Sasa we kei yu emu ei unafikiri hz sera zako kuna hata moja inayoweza kufanana na hata robo ya maendeleo ya Igunga au ni kujikomba hapa jf, nakusihi bora uendelee na ile biashara uliyoizoea ya kuuza kahawa usije kufulia mpaka tukakumisi kijiweni
 
WILSON-SERA ZAKO

1. kununu ambulance....Mbona tayari ipo na kutwa kuchwa inapeleka wagonjwa Nkinga Hospital?....Yaelekea Hujui Tatizo
2. kuimarisha hospitali ya wilaya....Kwa majengo, vifaa, madawa au kupeleka Madaktari?....be specific acha longolongo za Ngeleja
3. elimu bora....How? Kufuta shule za Kata? Kuongeza walimu? Kutumia Teknohama?....Jaribu kukuna kichwa zaidi na kuja na jibu zuri
4. maji safi na salama....Utayatoa wapi? Igogo au Mwanzugi? kwa fedha ipi mkuu? tajiri RA/Serikali vimeshindwa, sembuse weye
5. kuimarisha barabara ....taja kwa kipaumbele chako,Igunga/Nkinga? Igunga/Loya? Igunga/Kininginila? Igunga/Igurubi? Daraja la Mbutu vipi?
6. kujenga soko la kisasa....Soko la Ng'ombe au Viraji?
7. kutoa mikopo kwa kinamama na vijana....Kwani wewe ni Bank? Huu uongo ulitumiwa na Kigwangalla kule Nzega na nasikia mpaka leo wanasubiri (kwa maneno ya Bashe)
8. kujenga chuo cha ufundi...Walimu unao? baada ya hapo uwanyonye kwa ada kubwa?
9. kuimarisha kilimo....Miaka yote Igunga wanalima lakini mvua inawaangusha, sijui wewe utaleta mvua za Thailland kama Lowasa alivyowahi kuota?
10. elimu bure kwa yatima...Mbona Tarime elimu bure kwa woteee bila kunyanyasa wengine?
11. kudumisha amani na mshikamano ....Amani na mshikamano ni jadi ya wasukuma, angalia wawekezaji ktkt madini maeneo ya usukumani kote hawapati misukosuko kama kule Tarime, hii umedandia mahala si pake
 
Willy, Karibu!

Ungekuja na ID yako mkuu tungekuchukulia serious.Pamoja na kuja na ID isiyo Rasmi bado hoja zako zimekaa kimasikhara masikhara.Hivi una uhakika hayo iliyoandika hapo ndiyo mahitaji ya watu wa igunga kwa sasa?Tuache kufanya siasa za mazoea.Hauko serious pengine.

Kwa wafuasi wa upinzani: Hebu kuweni na political tolerance,mtu akija akatangaza nia ya kupambana na sisi then we should show him/her how far are we better than them! tumpige maswali ya kistaarabu kwa hoja nzito nzito tusiwatukane!
 
heheh, ndivyo unavyojifariji kwamba CCM itadumu milele daima? Umepotea njia mkuu. Ni masikiini sana (wanaosubiri rushwa ya khanga na tshirt kutoka CCM) na wale wenye shule ndogo ndiyo wanaounga mkono CCM sasa hivi, wajanja wote wameshakihama hicho chama. Wewe ni kati ya wapi? wenye shule yenye mshikeli au wale wasiojiweza na wanasubiri fadhila za mafisadi ili waweze kuishi?
 
unagombea kwa chama cha magamba tena? Hii notion ya kuwa ukiwa mgombea wa ccm basi umeshapita bado imekaa vichwani mwa wajinga wengi.Hivi kweli kama una akili unaweza ukajitokeza hadharani kabisa tena hapa jamvini unataka kugombea kkwa chama cha magamba? Mimi siamini hata wale wajinga wachache waliobaki wataogopa.
 
SERA ZANGU
1. kununu ambulance
2. kuimarisha hospitali ya wilaya
3. elimu bora
4. maji safi na salama
5. kuimarisha barabara
6. kujenga soko la kisasa
7. kutoa mikopo kwa kinamama na vijana.
8. kujenga chuo cha ufundi
9. kuimarisha kilimo
10. elimu bure kwa yatima
11. kudumisha amani na mshikamano

sawa sawa na mwenyekiti wako .... hizi si sera bali ni ahadi za uongo
 
Sasa we kei yu emu ei unafikiri hz sera zako kuna hata moja inayoweza kufanana na hata robo ya maendeleo ya Igunga au ni kujikomba hapa jf, nakusihi bora uendelee na ile biashara uliyoizoea ya kuuza kahawa usije kufulia mpaka tukakumisi kijiweni
True mkuu
 
nimeshapata wadhamini wakutosha kwa ajili ya kampeni pindi tume itakapotangaza mchakato. kidumu chama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom