Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,898
- 942
đź“ŤIgunga, Tabora
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga Mfawidhi na Kamanda wa Polisi kwenye ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Jimbo la Igunga.
Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imetoa Fedha za ujenzi wa Wodi ya kisasa ya Wagonjwa Mahututi (ICU) Wilaya ya Igunga yenye thamani ya Shilingi Milioni Mia Sita (Tshs. 600,000,000/=).
"KAZI NA MAENDELEO"
Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga