Nitagombea Igunga

nimeshapata wadhamini wakutosha kwa ajili ya kampeni pindi tume itakapotangaza mchakato. kidumu chama

taja majina yako yote na shule pamoja vyuo vyote ulivyopitia ili usije ukaleta mambo ya kigwangala hapa, usisahau kutaja na kabila lako maana watu wa igunga watapenda kujua hilo japo hatuabudu mambo ya ukabila.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom