Pengine kuna sheria za Bunge zinaruhusu kuunda jeshi la sungu sungu pengine na mashirika ya ulinzi bunafsi (wanasheria watatusaidia) Lakili hili la Ulinzi ndani ya vyama kwa nini watu wanagutuka saa hizi? Hata hivyo ni nini tusiimarishe jeshi la polisi lisifanywe kuwa imara na linalozingatia haki na usawa ili kuepuka haya mambo mengine? Hatuoni katika mazingira haya, kila kikosi usalama kitapawa kujiimarisha vilivyo ili kujilinda na hatimae kitakachokuwa na uwezo zaidi kitaogopwa na hivyo kutohujumiwa ila ili kipate uwezo huo ndani yake kutakuwa na mashindano ambayo ni hatari?Nilimsikia msemaji wa Polisi akihojiwa jana na BBC. Alilaani sana Chadema kuunda kikosi cha ulinzi na kuwa ni uvunjifu wa sheria. Lakini alipoulizwa mbona CCM ina GreenGuard alishindwa kujibu kabisa pia kuhusu sungusungu alikosa pia majibu.
Tatizo la polisi ni kuona kila kifanywacho na CCM ni sawa kwa mujibu wa Sheria ila wengine sio sawa. Nawapongeza sana Chadema kwa kuliona hilo.
Kuanzisha haikatazwi, kosa ni kutangaza kuwa na jeshi baada ya kuanzisha. Mbona siku nyingi tuNilimsikia msemaji wa Polisi akihojiwa jana na BBC. Alilaani sana Chadema kuunda kikosi cha ulinzi na kuwa ni uvunjifu wa sheria. Lakini alipoulizwa mbona CCM ina GreenGuard alishindwa kujibu kabisa pia kuhusu sungusungu alikosa pia majibu.
Tatizo la polisi ni kuona kila kifanywacho na CCM ni sawa kwa mujibu wa Sheria ila wengine sio sawa. Nawapongeza sana Chadema kwa kuliona hilo.
mkuu sio kuvipiga marufuku bali kutumia njia nyingine itakayo visababisha vyama vya siasa na hasa vya upinzani kujihakikishia kwamba watu wake watakuwa salama.Katika mazingira hayo automaticaly kutakuwa hamna haja ya vikundi hivyo. Zaidi ya hapo kusema vifutwe na wakati vyama vya upinzani vinalalamika vinadhuriwa kwa makusudi na hakuna wakuwatetea haviwezi kukubali.Good analysis. Naunga mkono hoja!
Kuwa na vikundi vya kujihami ndani ya nchi huru ni dalili tosha za taifa lililoparaganyika. Hakuna anayemuamini mwenzake.
Hivyo basi ni vyema vikundi vyote (green guard, blue guard, red brigade n.k) vipigwe marufuku pronto kwa mustakabali wa taifa letu. .
Lakini ukumbuke msajili wa vyama alishasema kuwa kuna vitu ambavyo chama kikikosea kama ni CCM, Itabidi akishauri na kama ni CHADEMA anaweza akaifuta.Sasa ukumbuke walioanza ni CCM? Upo!Vyama vilisajiliwa kwa kuzingatia katiba za vyama hivyo zinasemaje na sheria za nchi zinavyoelekeza kuhusu uhalali wa vyama. Kama haya ya vikosi vya ulinzi hayamo katika katiba za vyama husika na sheria za nchi hazitoi ruhusa, tumuulize msajili wa vyama; kulikoni?
Pengine kuna sheria za Bunge zinaruhusu kuunda jeshi la sungu sungu pengine na mashirika ya ulinzi bunafsi (wanasheria watatusaidia) Lakili hili la Ulinzi ndani ya vyama kwa nini watu wanagutuka saa hizi? Hata hivyo ni nini tusiimarishe jeshi la polisi lisifanywe kuwa imara na linalozingatia haki na usawa ili kuepuka haya mambo mengine? Hatuoni katika mazingira haya, kila kikosi usalama kitapawa kujiimarisha vilivyo ili kujilinda na hatimae kitakachokuwa na uwezo zaidi kitaogopwa na hivyo kutohujumiwa ila ili kipate uwezo huo ndani yake kutakuwa na mashindano ambayo ni hatari?

Kweli kwa hilo uko sahihi mkuu.Ila kwa mengine majawabu yake naona ni magumu kwa kila mtu na ndio mana hakuna anayechangia kitu.Any way ujumbe umefika.Sheria inayoruhusu sungusungu ni Police Force and Auxiliary services Act
Nafikiri na wakati muafaka kwa pande zote kukubali kuwa Green guards, Blue guards na Red Brigade hazina tofauti na zina malengo yanayofanana. Waanzilishi ni CCM na wengine wameiga tu. Vingine vyote tunavyobishana hapa ni siasa na propaganda. Kama nchi nyingine zifanyavyo, zaidi ya jeshi la police kutoa ulinzi ............ ulinzi wa ziada hutolewa na security companies.
Nafikiri ni muda muafaka Watanzania kuzikataa Green Guards, Blue Guards na Red Brigade na ulinzi badala yake ufanye na vyombo husika.
Nawasilisha!!
Nilimsikia msemaji wa Polisi akihojiwa jana na BBC. Alilaani sana Chadema kuunda kikosi cha ulinzi na kuwa ni uvunjifu wa sheria. Lakini alipoulizwa mbona CCM ina GreenGuard alishindwa kujibu kabisa pia kuhusu sungusungu alikosa pia majibu.
Tatizo la polisi ni kuona kila kifanywacho na CCM ni sawa kwa mujibu wa Sheria ila wengine sio sawa. Nawapongeza sana Chadema kwa kuliona hilo.