Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

Anachafua kitoto sana,yani hana logic hata kidogo,ni kama tu jamaa zake wanavyotoa kauli zinazojipinga zenyewa.Utakuta mtu mzima anatoa utetezi juu ya jambo fulani kitoto kabisa, kiasikwamba logic kwake ni tusi.Viumbe vingine havifai kuwa baba au mama wa familia.

njia rahisi ya kufanya hoja zake hazina mashiko ni kukanusha yote aliyoeleza kwa kutoa ushahidi. Mfano hili la Kibiti,Mkuranga na Rufiji ndilo ungeanza nalo.
 
Kuna siku niliwahi kuuliza kwamba huyu hapa aliyevaa kofia ya polisi na vest ya kuzuia risasi ni polisi kweli au kijana wa UVCCM?

upload_2018-2-24_16-29-1-jpeg.701036

Wapi tunachora mstari kati ya polisi na Green Guard?
Mkuu Mag 3

Ule uzi wako mbona siuoni.
 
Mkuu Mag 3
Ule uzi wako mbona siuoni.
Sijui kwa nini mods wameamua kufanya walilofanya, ziko data tunaendelea kuzichimba kuonesha nani wako nyuma ya mateso na mauaji yanayoendelea nchini. Jeshi la Polisi ni kama wamepigwa ganzi, hawajui wafanye nini kwani kuna jeshi kivuli ambalo yawezekana linawajibika kwa watu wawili au watatu na sasa watu kama IGP wamebaki wanajiumauma tu...it's so so sad!
 
Na mbaya zaidi hapa JF ukileta Uzi unamsema Mwigulu hauchukui muda unaondolewa, sijui JF nao wameshatishwa na huyo Savimbi?
 
Si rahisi kuona vyombo vya CCM vinaishia wapi na vya dola vinaanzia wapi! Ajabu ni kwamba hakuna popote ndani ya Katiba ya nchi, CCM inatajwa.
C-W4QlqXUAQsb7d.jpg

Sherehe ya Muungano iliyofanyika Zanzibar...je hii ni sherehe ya CCM au ya serikali?

Mkuu hizo rangi zimetengeneza bendera ya taifa la Tanzania....umeangalia kwa mtazamo uliojenga kichwani kwako!
 
Back
Top Bottom