Heparin
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 127
- 420
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.
Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.
Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.
Chanzo: Mwanzo TV Plus