Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

Mag3 mbona picha hazionekani? Au ni tatizo la kimeo changu?

Ninyi mliocomment mumeona picha zilizoambatanishwa?
hata kwangu hazifunguki. nadhani ame upload kwa kutumia pc au laptop.

jf app inashida kidogo ktk kufungua picha zilizokuwa uploaded kwa kutumia computer. hii kitu nilishawahi experience mara kadhaa.

ila uki upload kwa kutumia app ni rahisi sana kufunguka kwenye platform zingine.
 
hii thread ni ya great thinker haswa... nimeona bora niweke alama ya nukta mapema ili kulinda nafasi.
Mambo ni hivi, mara kadhaa hata polisi wenyewe wameonekana wakishangaa vitendo vinavyodaiwa kufanywa na polisi wenzao na hili jambo nimeliwaza sana kwamba huenda tunalo shadow police force! Imefikia wakati watu wanajiuliza hawa polisi wanafuata maagizo ya nani? Nakumbuka kwa mfano wale walioongozana na Bashite wakivamia ofisi ya Clouds FM au wale waliomtolea Nape Nnauye bastola. Kwa nini mwanzo Waziri husika alionekana kuwakana?
 
acha ni-digest kwanza hapo kwenye "shadow police" . dadadeki.
 
.....
......Mkuu Salute beyond to Light
 
acha ni-digest kwanza hapo kwenye "shadow police" . dadadeki.
Kunakuwepo na utata mwingi sana na kutupiana mpira kwa maafande tukio linapotokea huku kila moja akionekana kukwepa kutoa ufafanuzi. Mathalan hii ya kuvamia makazi ya watu usiku kudai kufanya msako na mara nyingi bila warrant ni kitendo kinachotia shaka kwani taratibu na miongozo ipo ya namna ya kufanya msako.
 
Kunakuwepo na utata mwingi sana na kutupiana mpira kwa maafande tukio linapotokea na kila moja anaonekana kukwepa kutoa ufafanuzi. Mathalan hii ya kuvamia makazi ya watu usiku kudai kufanya msako na mara nyingi bila warrant ni kitendo kinachotia shaka kwani taratibu na miongozo ipo ya namna ya kufanya msako.
.....
.....Tai asili piteni huku GT Wameumiza vichwa kwa ajili ya Taifa
 
Je tunalo Jeshi la Wasioonekana? Jeshi ambalo hata IPG Sirro hana mamlaka nalo? Jeshi linaloteka, kutesa na kuua wananchi wanaoikosoa serikali? Jeshi linaoanza majukumu yake jua linapozama? Jeshi linalowalazimisha walengwa kwa kuwapa an offer they cannot refuse?
.....
.....Mkuu kuna mtu nilikuwa namwangalia machoni anachoongea hakifanani na macho yake
 
Je tunalo Jeshi la Wasioonekana? Jeshi ambalo hata IPG Sirro hana mamlaka nalo? Jeshi linaloteka, kutesa na kuua wananchi wanaoikosoa serikali? Jeshi linaoanza majukumu yake jua linapozama? Jeshi linalowalazimisha walengwa kwa kuwapa an offer they cannot refuse?
Kundi hili lipo bila shaka kwa sasa, nani mwenye mamlaka nalo? Je lilikuwa limeandaliwa kabla ya serikali ya awamu ya tano? Nini hatima yake? Ikiwa litazidi kuua kuua bila kudhibitiwa wananchi wata jilinda vipi na wa mwagaji hawa wa damu isiyo na hatia kwa jina la amani au ulinzi wa taifa?
Ukatili ulioonyeshwa ktk kuuliwa diwani unaonekana wa kiwango cha juu sana, je hawa wauaji katika kutekeleza haya mauaji niya watu maalum waliofunzwa vyema kazi hiyo ama hapana?
Niishie hapa kwanza
 
Back
Top Bottom