Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Natambua vizuri kabisa wanawake ni wazuri sana wa kulipiza kisasi. Kwa kuwa umegundua mwanaume Anatolia nje ,then na wewe unatoka mpaka unazaa nje ili tu kulipiza kisasi, ni sawa,Ila Nina uhakika hiyo kitu inakuwa inakutafuna inside mpaka basi. Lakini kwa mwanaume wala hajutii sana sababu in nature,wala hajilazimishi, yaani kwa mwanaume ni so autimatic. So hata Kama mwanaume atajikuta azalea mtoto asiye wake so far as hajui Kama si wake wala haina shida. Shida unakuwa Mayo wewe unayejua ukweli. So ukweli unabaki hapo, wether you like it or not kwenye hili kushindana na wanaume haiwezekani. Sababu kwa wanaume its naturally ,it's in our blood. As for you mnafanya katika hali ya kulipiza kisasi,na inakuwa inakutafuna inside.
 
Hahaha wewe usipitishe dumu la petrol kwenye mafuta
wakome wanajiona wajanja kuwa mke wangu hana mda na mimi zaidi ya maswala ya maendeleo badala washtuke eti wanajisifu,, sina muda na wewe sababu kuna mwingine nimempa muda... ha ha ahahaha kubwa kuliko eti monopose uwiiiiiii wakati wa ujamaa naow days khe he heh ehe he nigugumie mengine
 
My dear Kwani wewe unavyoenda kucheat ni unalipiza kisasi? Mwanamke na yeye anacheat Kwa sababu zake binafsi, kafuata hela, six packs, mapenzi tu, uzazi n.k. Wote tumeumbiwa kutokuridhika, so ukiendekeza tamaa zako za mwili ndo basi tena. Hata wao kucheat ipo naturally tu in their blood. Na kama mwanaume anavyomletea mkewe watoto wa nje bila kujisikia hatia, basi kuna wanawake wana roho ngumu Al-shabab nyuma. Utalea watoto wasio wako Hata wanne
 
My dear Kwani wewe unavyoenda kucheat ni unalipiza kisasi? Mwanamke na yeye anacheat Kwa sababu zake binafsi, kafuata hela, six packs, mapenzi tu n.k. Wote tumeumbiwa kutokuridhika, so ukiendekeza tamaa zako za mwili ndo basi tena

Narudia tena as for men sio cheating it's just nature. Ila Kama na nyie in nature,basi tuko ngoma droo. Sasa msilalamike Kama na nyie in nature yenu.
 
wakome wanajiona wajanja kuwa mke wangu hana mda na mimi zaidi ya maswala ya maendeleo badala washtuke eti wanajisifu,, sina muda na wewe sababu kuna mwingine nimempa muda... ha ha ahahaha kubwa kuliko eti monopose uwiiiiiii wakati wa ujamaa naow days khe he heh ehe he nigugumie mengine
Eeh wenzio wakiona mke kanyamaza kimya ndo wanafurahi eti teh. Poor things
 
Ni maamuzi tu ya mtu. You can decide to be faithful, na ukiamua utafurahia maisha. Love your mwenza, mfurahie na kumbuka kuwa ulifanya uamuzi sahihi kufanya nae maisha.
 
Aah basi hawalalamiki tena. Shikamoo nature yetu sote teh

Hahahahaha finally we have come to an understanding. Ila kwa mwanaume smart anafanya mambo yake kwa Siri kubwa mkewe asijue japo in nature yetu. Sababu ya kufanya hivyo in kwa kuwa anampenda na hataki kumuumiza sababu bado mlio wengi hamjakubali kuwa hiyo in nature yetu. Labda tu mwanaume ushtukiwe. Lakini ukiona mwanaume anafanya mambo hayo kwa kukuonyesha waziwazi Juma huyo kukuchoka for good.
 
Ni maamuzi tu ya mtu. You can decide to be faithful, na ukiamua utafurahia maisha. Love your mwenza, mfurahie na kumbuka kuwa ulifanya uamuzi sahihi kufanya nae maisha.
Hivi brod darling ulisema hauna mdogo vile au?
 
Hahahahaha finally we have come to an understanding. Ila kwa mwanaume smart anafanya mambo yake kwa Siri kubwa mkewe asijue japo in nature yetu. Sababu ya kufanya hivyo in kwa kuwa anampenda na hataki kumuumiza sababu bado mlio wengi hamjakubali kuwa hiyo in nature yetu. Labda tu mwanaume ushtukiwe. Lakini ukiona mwanaume anafanya mambo hayo kwa kukuonyesha waziwazi Juma huyo kukuchoka for good.
Labda kuna definition mpya ya upendo ambayo me siijui. You love your wife ila still you are hurting her emotionally and spiritually mmh?
 
Nature mama,nature Kwenda nayo kinyume kazi sana. Na ndio maana inabidi ufanye kwa Siri ili usimuumize. Labda sasa ushtukiwe
 
Ujana una mengi, kuna wakati ukichepuka unajiona mjanja. It's like mtu anajiona kidume, rijali na anaweza kumlala mwanamke yoyote anayemtaka, pride pia.

Lakini inafikia wakati unaona "what for", nilimlala Asha nilifaidika nini? Zaidi sana umepoteza mengi. Mara nyingi tunayaona haya baada ya mda fulani kupita, ni wachache wanaweza kuanza mahusiano na kuwa waaminifu from the very beginning.
 
"Cumming" is so overrated
 
Si kweli ,kama wewe ni mwanaume nadhani utakuwa unaona wanaume wengi tu watu wazima from 50 and above jinsi wanavyo chepuka ,tena na mabinti wadogo tu.
 
Vipi na watu wazima wanaochepuka?
Kiongozi, hapo sina jibu la moja kwa moja. Najua wapo 40s, 50s hadi 60s wana michepuko hatari. Labda stress, pride, ujana(ili hali ni watu wazima), naamini zipo sababu nyingi tu lakini victims wengi ni vijana 18-35yrs.
 
Hutaki kukubali kuwa hiyo in nature ya ya sisi wanaume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom