Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Aisee...

Wanawake shida yenu wabinafsi sana. Naturally wanawake hamuwahitaji wanaume.. ndo maana hamuwezi kutongoza. Kwa hiyo ninyi mnahitaji just kupendwa na kuhakikishiwa some form of security.. baasi.

Sisi wanaume story ni tofauti. Wabishi flan watasema hiyo ni tabia tu mbaya ya wanaume,, but ukweli ni kuwa wanaume wanawahitaji wanawake, tena si kidogo. Ukiondoa masuala ya kimagharibi, wanaume wanawza kuwa na wake watano na hamna tatizo.

Michepuko lioneni tu kama swala la kawaida.
very true
 
Naamini kila mtu ndani ya nafsi yake hutaka kuwa mtu safi n a mwenye tabia nzuri ila kuna sababu zinazojitokeza katika safari ya maisha na kumfanya mtu kubadilika...Mfano uaminifu ndani ya ndoa sasa umekwisha sana kuna rafiki yangu wamekuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 8 ndoa yenye furaha na amani tele alikuwa akimuamini mke wake haswa na alijitahidi kumtimizia mahitaji ya yule mke kwa kadri ya uwezo wa jamaa...Balaa imekuja kama week 2 zilizopita amegundua mke wake anachepuka na jamaa mmoja na taarifa za awali zimeonyesha huyo jamaa alijuana na huyo mke kwenye Facebook..Jamaa ameumia sana na hajamuambia kitu mke wake mpaka sasa aakusanya ushahidi wa kutosha kwanza..

Kuna hatari ya rafiki yako kuishia kufanya "kitu mbaya" ambacho atajutia baadae.
 
We acha inauma lakin,jitu umesota nalo miaka yote hyo halafu mnakuja ku sharw kwwnye matunda
Ila what goes around comes around kama ww mwanamke unajua kabs huyo n mume w mtu still unacheat naye ipo siku itafik utaolewa na wewe na yatakukta the same and a half
Inauma sana tena sana ila hakuna jinsi..
Dont try kugombana na hao michepuko au yeye..
Do ua part as a wife..
Try to be happy as much as u can..
Muoneshe u can be happy with/without him..
Jitahidi usimfuatilie kabisa...the more u dig the more u get hurt na sitution ndo itazidi kuwa mbaya mkizidi kugombana..
Keep ua expectations low..akiamua kufanya kitu afanye asipoamua take it as poa..
Find ua new interest..
DNT TRY kupay back it will make situation worse..
Don't let this situation change u..
 
Umalaya unawasumbua tu hamna lolote
If you truly love and respect someone then you will never cheat on him or her. Period
 
Poleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
Je nn chanzo cha mwanamke kucheat???
 
mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
Apo malizia kwa TENDO
 
Inauma sana tena sana ila hakuna jinsi..
Dont try kugombana na hao michepuko au yeye..
Do ua part as a wife..
Try to be happy as much as u can..
Muoneshe u can be happy with/without him..
Jitahidi usimfuatilie kabisa...the more u dig the more u get hurt na sitution ndo itazidi kuwa mbaya mkizidi kugombana..
Keep ua expectations low..akiamua kufanya kitu afanye asipoamua take it as poa..
Find ua new interest..
DNT TRY kupay back it will make situation worse..
Don't let this situation change u..
Ungekua mke wangu ningekupenda sana TRU FACT!
 
Poleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
Kwa uzoefu wangu mm mapenz ni hisia pia hisia zinakuepo kwa mda haziishi milele namaanisha kadri mnavyoishi/mtakavyoishi ktk ndoa na kupitia changamoto nyingi ndio hisia zitakavyozidi eitha kukua au kushuka sasa niongelee zikishuka kwa mmoja kati yenu asee kama alikua anatongozwaga ataamua kucheat apate amani ya moyo na upande wa mwanamme vivyo hivyo atatamani ata aende sehem kupumzika pekee ajiliwaze sasa jiulize na nan ndo mda michepuko sasa Mwisho ndoa ivumiliwe tu hakuna namna ya kuilinda kwa kufuli ila kwa hofu ya MUNGU ndio UPENDO na AMANI unatawala
 
unajua kusema kweli kuna wanawake wengine ni watamu balaa anajua kuhandle mwanaume mpaka ukiwa kw mke unafikiria kule na kingine ujitumaji wako hapo kitandani kama upo vibaya basi ataienda kule pazuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom