Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 366
Poleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
Mwanaume ha cheat Ila ni nature tu. Men are polygamist by nature. In short mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja maisha yake yote. Hata ungekuwa ni mwanamke mzuri namna gani,upo perfect kiasi gani,na umekamilika Kila idara,mwamaume uliye Naye atatoka tu. Ukweli ni huo tu dada zangu, tukiacha unafiki pembeni na kuzungumza ukweli, basi ukweli ndio Huu hapa. Mwanamke pekee ambaye mwanaume atakuwa Naye mmoja,ni MAMA yake mzazi tu ,baaasi. So ni vizuri wanawake mkakubaliana na ukweli Huu.
Na katika hili muelewe kuwa mwanaume anapotoka nje si kwamba hakupendi,la hasha.