Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Ila inahitajika nguvu ya ziada kushinda ibilisi wa kusaliti.....kula chakula cha aina moja kila siku sio kazi ndogo. Yaani ugali kila siku lazima siku moja utatamani hata wali wa nazi kwa kweli.
Aiseeee!!
 
Naamini kila mtu ndani ya nafsi yake hutaka kuwa mtu safi n a mwenye tabia nzuri ila kuna sababu zinazojitokeza katika safari ya maisha na kumfanya mtu kubadilika...Mfano uaminifu ndani ya ndoa sasa umekwisha sana kuna rafiki yangu wamekuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 8 ndoa yenye furaha na amani tele alikuwa akimuamini mke wake haswa na alijitahidi kumtimizia mahitaji ya yule mke kwa kadri ya uwezo wa jamaa...Balaa imekuja kama week 2 zilizopita amegundua mke wake anachepuka na jamaa mmoja na taarifa za awali zimeonyesha huyo jamaa alijuana na huyo mke kwenye Facebook..Jamaa ameumia sana na hajamuambia kitu mke wake mpaka sasa aakusanya ushahidi wa kutosha kwanza..
Unajua binadamu tunakosea kitu kimoja kikubwa. Tunajali sana mahusiano yetu na binadamu wengine, kuliko mahusiano yetu na Mungu. As a result tunawapa hao wapendwa zetu power kubwa ya wao kutudirect watakavyo kama remote vile. Mtu ukiulizwa kwa nini unakuwa faithful kwa mwenzi wako, unajibu ni kwa sababu sitaki kumuumiza, but jibu lilitakiwa kuwa " sitaki kumtenda Mungu dhambi". Ukimuogopa Mungu kwanza, utaogopa hata kuwaumiza na wengine Kwa kuwatendea mabaya. Ndo maana tunasema uzinzi bila hofu ya Mungu mmh sijui

Kwa sababu ya kuwapa wapendwa wetu power zaidi, ndo ikitokea leo mtu kakuumiza, basi unaamua kuharibu maisha yako in the name of kulipiza. Unamkomesha nani kwa kuharibu maisha yako mwenyewe? ? Kila mtu anapata kitu tofauti huko kwenye kuchepuka. Mwingine atachepuka atapata magonjwa, mwingine ndoa itavunjika, mwingine atafumaniwa atakatwa mguu, mwingine watapigana atauawa aache watoto wake, hujajiharibia maisha yako? Kama partner wako ni serial cheater, better usepe zako, umefanya yote ndani ya uwezo wako na unaona mnapoelekea ni pabaya zaidi, please sepa tu kabla hayajakukuta makubwa ukaacha wanao wanateseka. Mtu asikufanye ukabadilika ukawa binadamu "mbaya", ukawa mtu ambaye hukutaka kuwa, kisa kakuumiza. "Don't become who hurt you". At the end of the day, kila mtu atatoa hesabu yake kwa Mungu separately, je utasema I was a cheat because my wife started cheating on me? Is that even an excuse? ???
Hapo sasa inakuwa kizungumkuti. Case kama hizo nimeziona sana. Utakuta mume Au mwanaume katulizana tulii halafu kumbe mwanamke kicheche
Wengine ndio hapo nao wanaona ebo isiwe tabu na anaanza kuwapanga wanawake kama trophies
 
Unajua binadamu tunakosea kitu kimoja kikubwa. Tunajali sana mahusiano yetu na binadamu wengine, kuliko mahusiano yetu na Mungu. As a result tunawapa hao wapendwa zetu power kubwa ya wao kutudirect watakavyo kama remote vile. Mtu ukiulizwa kwa nini unakuwa faithful kwa mwenzi wako, unajibu ni kwa sababu sitaki kumuumiza, but jibu lilitakiwa kuwa " sitaki kumtenda Mungu dhambi". Ukimuogopa Mungu kwanza, utaogopa hata kuwaumiza na wengine Kwa kuwatendea mabaya. Ndo maana tunasema uzinzi bila hofu ya Mungu mmh sijui

Kwa sababu ya kuwapa wapendwa wetu power zaidi, ndo ikitokea leo mtu kakuumiza, basi unaamua kuharibu maisha yako in the name of kulipiza. Unamkomesha nani kwa kuharibu maisha yako mwenyewe? ? Kila mtu anapata kitu tofauti huko kwenye kuchepuka. Mwingine atachepuka atapata magonjwa, mwingine ndoa itavunjika, mwingine atafumaniwa atakatwa mguu, mwingine watapigana atauawa aache watoto wake, hujajiharibia maisha yako? Kama partner wako ni serial cheater, better usepe zako, umefanya yote ndani ya uwezo wako na unaona mnapoelekea ni pabaya zaidi, please sepa tu kabla hayajakukuta makubwa ukaacha wanao wanateseka. Mtu asikufanye ukabadilika ukawa binadamu "mbaya", ukawa mtu ambaye hukutaka kuwa, kisa kakuumiza. "Don't become who hurt you". At the end of the day, kila mtu atatoa hesabu yake kwa Mungu separately, je utasema I was a cheat because my wife started cheating on me? Is that even an excuse? ???
Ni kweli ila kuna mambo mengine unajikuta tu ghafla yamekuwa nje ya control yako na umefanya jambo ambalo hukuwai kutarajia...Unajua kwenye maisha ya ndoa kila couple huwa wamesomana na kujuana madhaifu yao ya kila mmoja...Shida inakuja pale ambapo unakuja gundua namna ulivyokuwa unamdhania mwenzako yuko kumbe sivyo...Imagine umekaa na mtu miaka ya kutosha ukijua ni muaminifu mno katika ndoa yenu all of a sudden unakuja kugundua mtu wako si tu siyo mwaminifu kwako ila kuna jamaa anatembea naye kabisa...Mkuu wacha i cant imagine ni mbaya sana hii...
 
I understand na inaumiza haswa. Yeah kuna muda unaweza jikuta umepanic umefanya kitu cha kipuuzi, but omba Neema ya Mungu ikakurudishe kwenye mstari. And kingine ni kwamba vile mtu alivyokuwa before ndoa, sio guarantee kuwa atakuwa hivyo hivyo forever. Tunakutana na watu wapya, mazingira mapya, experience mpya etc, hivyo tunaweza jikuta tumejifunza na vitu vibaya. No wonder kila siku inabidi tuombe Neema ya Mungu juu ya ndoa zetu. Tumesamehewa dhambi na sio majaribu. Ndoa ni vita, so tusirelax simply because mahusiano yetu tuliyaanza vizuri, na hata ukianguka omba Mungu apigane vita yako unyanyuke tena
 
Kikubwa hulka wanaume wengine hawabebek utafanya kila kitu lakin waaap kutoka nje Ni kama Kula chakula lazima watoke
 
Aisee...

Wanawake shida yenu wabinafsi sana. Naturally wanawake hamuwahitaji wanaume.. ndo maana hamuwezi kutongoza. Kwa hiyo ninyi mnahitaji just kupendwa na kuhakikishiwa some form of security.. baasi.

Sisi wanaume story ni tofauti. Wabishi flan watasema hiyo ni tabia tu mbaya ya wanaume,, but ukweli ni kuwa wanaume wanawahitaji wanawake, tena si kidogo. Ukiondoa masuala ya kimagharibi, wanaume wanawza kuwa na wake watano na hamna tatizo.

Michepuko lioneni tu kama swala la kawaida.
 
  • Thanks
Reactions: irk

Kiruuuuuuuu!!!
 
Kucheat kwangu Ni reflex. Kama kupga mwayo, kublink. Inatokea Tu. Unajikuta kitandani na mwanamke ambae u hardly know na jina pekee lililokaa mdomoni kwako Ni baby Tu.
 
  • Thanks
Reactions: irk
Ila cheating isn't a taboo, SMH. Sema wanawake tumekuwa victims wa society iliyotuaminisha kuwa no matter how successful you are, bila ndoa hujakamilika. Ndo maana watu hadi watu wanafia kwenye ndoa in the name of saving their faces. Sisupport divorce, ila mtu akiniambia ndoa imemshinda hata simshngai. Na kingine wengi wanabaki in toxic relationship coz anawaza "ntaanzia wapi Na hawa watoto"
Umenena vyema bado sisi waafrika tuna matatizo kwenye vichwa vyetu
 
Teh usishangae ukageuziwa kesi "kwa nini unanichunguza"
1472357473266.jpg
 
Sidhani kama kuna sababu...ila wamekazana siku hizi ,sijui wanashindana.
 
Poleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
Excitement/ msisimko is a very basic content ya kumfanya mwanaume apagawe. Wanawake mnatabia ya kujisahau na kuruhusu hiyo kitu ipotee. Ushauri wangu: Katu usikubali hiyo kitu ipotee katika mahusiano yenu.

That tiny little thing that captures and holds his attention. Hold onto that!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom