Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

we usiniambia side effects za wivu ni kubwa hivo?!!! my days are numbered!!

bwana watu wanataka kujiua bure tu...eti tunachart mpaka ucku nihakikishe yupo alone, hivi anajua wanaume huyu kweli?..looo hawashikiki mama, unaweza kuchart nae mpaka asubuhi lakini anaendelea kupewa huduma mbadala, mbona ni cmple tu, we bwana wee wacha wivu wa kishamba hivi...unawajua hawa viumbe vzr?...mie bwana cwezi kufa cku c zangu kwa kumchunga mtu kama nachunga kondoo vile.
 
You got it right! cha msingi dem anaambiwa tu kuwa nina commited r/ship au nina wife, so have some respect, n be silent when i receive a call or when am chating. na watu wanavyoangalia maslahi siku hizi, unaibiwa na wala huoni hata ishara. unachat hadi usiku wa manane wakati jamaa anapewa blow job vilevile na mengineyo lol> Kuwa na imani mdada otherwise labda uwe unamfunga mgongoni.
 
mwache aishi kwa matumaini dada wa watu!!! ila she should expect anything frm hyo jamaaa!!!! anacheza na mamen huyu eeeh!! wakitaka wakufix bila mzaha!! unamchunga ng'ombe huyooo?!

no matter wat she does hata kaa amuelewe huyu kiumbe wa Mungu!!! Men are very complicated and the more you try to understand the comlicated they become!!!!
 
You got it right! cha msingi dem anaambiwa tu kuwa nina commited r/ship au nina wife, so have some respect, n be silent when i receive a call or when am chating. na watu wanavyoangalia maslahi siku hizi, unaibiwa na wala huoni hata ishara. unachat hadi usiku wa manane wakati jamaa anapewa blow job vilevile na mengineyo lol> Kuwa na imani mdada otherwise labda uwe unamfunga mgongoni.

mweee mweee Carmel leo mamii duh!!!!!!!!!
 
Ni akili ya mtu Geoff lakini ukiwa mwizi na wewe siku zote unawaza kuibiwa tu ..

...Binadamu tumetawaliwa na ubinafsi na uchoyo uliopindukia. Kwani demu wakimega mzigo unang'olewa? Si unasafishiwa na wewe unabinjuka tu? Ah! watu mnajipa ma-stress bure kwa vitu mlivyokuta vimetengenezwa kwa matumizi ya wote tu. Hakuna demu eti awe wa peke yako au man awe wa kwako pekee...
 
don tel me una wivu hata unaokaribiana na huu, nikupe counseling haraka iwezekanavyo.
nina wivu lakini sijakaribia hapo hat by bit Nyamayao. kama wako wako tu, atenda na atarudi!!!
 
shishi kila siku unamuulizia x-pin haya yupo hapa leo hebu m-piemu muongee,umpe pole ya msiba n.k

Hahaha! DONE! Nashukuru kwa kujali maslahi yangu! Ndio undugu huo! Kaangale na Senksi kule, leo ntakugongea sana!
 
...Binadamu tumetawaliwa na ubinafsi na uchoyo uliopindukia. Kwani demu wakimega mzigo unang'olewa? Si unasafishiwa na wewe unabinjuka tu? Ah! watu mnajipa ma-stress bure kwa vitu mlivyokuta vimetengenezwa kwa matumizi ya wote tu. Hakuna demu eti awe wa peke yako au man awe wa kwako pekee...
baho baho baho
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
nimependa sana camel na hoja zake za mitalimbo! hahahah lazima ujivunie makamuzi halali.

ukiendelea hivi, nitakutafutia nafasi nzuri kwenye assessment yangu ijayo, probably utakuwa group moja na x-pin. tehetehe

Tuko group moja siku nyiiingi sana! Na wewe kama unahitaji kujiunga, intavyuu si ngumu sana, karibu!
 
...Binadamu tumetawaliwa na ubinafsi na uchoyo uliopindukia. Kwani demu wakimega mzigo unang'olewa? Si unasafishiwa na wewe unabinjuka tu? Ah! watu mnajipa ma-stress bure kwa vitu mlivyokuta vimetengenezwa kwa matumizi ya wote tu. Hakuna demu eti awe wa peke yako au man awe wa kwako pekee...
Ila hii nayo inauma ila ndo ukweli wenyewe unfortunately, du!:mad:
 
You got it right! cha msingi dem anaambiwa tu kuwa nina commited r/ship au nina wife, so have some respect, n be silent when i receive a call or when am chating. na watu wanavyoangalia maslahi siku hizi, unaibiwa na wala huoni hata ishara. unachat hadi usiku wa manane wakati jamaa anapewa blow job vilevile na mengineyo lol> Kuwa na imani mdada otherwise labda uwe unamfunga mgongoni.

hivi kuna watu wanatesekaga na mapenzi kihivi, mapenzi badala uyafurahie yanakutesa? hell no.....mtu mzima jamani anajilinda/jitunza mwenyewe, hachungiki hata kidunchu.
 
Back
Top Bottom