The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 557
Diana-DaboDiff, kuna kitu naomba unifafanulie, hizo hisia ulizo nazo juu ya huyo mrembo!! Unataka yeye ndio awe Baba na wewe uwe mama? ?? Baada ya kufafanua hili utapatiwa ushauri ulio sahihi hapa Jamvini.Nawahakikishia wanajamvi kuwa mume wangu ananiridhisha na ni 'mkulima' mzuri sana tatizo liko kwangu sio kwake.Niliwaambia kuwa nimepangiwa safari ya kikazi Arusha jumapili sasa niliporudi ofisini leo baada ya kupumzika siku mbili nimeambiwa kwenye safari tutakuwa watatu na yule binti akiwepo,hapa nimeishiwa nguvu nilidhani ningetumia muda huo kujaribu kuweka mawazo sawa lakini naona mtihani unazidi kuwa mgumu.Mkurugenzi anadai kwakuwa hawa wawili ni wageni kazini huu ni muda mzuri kwa wao kujua yanayoendelea kwenye matawi ya kampuni na kupata uzoefu,laiti angejua!