Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

Nawahakikishia wanajamvi kuwa mume wangu ananiridhisha na ni 'mkulima' mzuri sana tatizo liko kwangu sio kwake.Niliwaambia kuwa nimepangiwa safari ya kikazi Arusha jumapili sasa niliporudi ofisini leo baada ya kupumzika siku mbili nimeambiwa kwenye safari tutakuwa watatu na yule binti akiwepo,hapa nimeishiwa nguvu nilidhani ningetumia muda huo kujaribu kuweka mawazo sawa lakini naona mtihani unazidi kuwa mgumu.Mkurugenzi anadai kwakuwa hawa wawili ni wageni kazini huu ni muda mzuri kwa wao kujua yanayoendelea kwenye matawi ya kampuni na kupata uzoefu,laiti angejua!
Diana-DaboDiff, kuna kitu naomba unifafanulie, hizo hisia ulizo nazo juu ya huyo mrembo!! Unataka yeye ndio awe Baba na wewe uwe mama? ?? Baada ya kufafanua hili utapatiwa ushauri ulio sahihi hapa Jamvini.
 
Its official now am bisexual from last night,will try and see which way to stay with my man or lady friend.

hiki kidada ni kishoga iki, sasa kilikuwa kinataka kusambaza uchafu wake hapa ili kipate justification kwamba ni kitu kizuri, kinahangaika na ushoga wake hapa, hivi hapo alikuwa ana nia ya kuwafanya mjue kuwa tz watu kama yeye wapo, na alikuwa anataka sapoti wala si kwamba kuna mwanamke anamtongoza au nini yeye ni shoga kishakubuhu....uchafu wenu huo mtaishia shimo la jehanum...hebu mwondoeni huhu keshachafua hali ya hewa humu ndani...
 
Dii Dii
yani nimeshindwa kukuelewa dada yangu kipenzi inawezekanaje mtu ukawa na hisia kalinamna hiyo kwa mwanamke mwenzio?ungesema ulishawahi kufanya wala nisingeshangaa bt unasema hujawahi sasa hata sielewi inakuaje,lakini pole sana my dear muombe mungu sn hope atakusaidia tu hakuna njia nyingine huyo ni shetani tu na usimkubali,all the best sis
 
Hii thread imenifungua macho kwa kweli..

1. Hizo shule za same sex tena boarding ni mazalia ya sheitwan..wazazi kuweni macho hapa..

2. Kwa wale wenye kutafuta wachumba sijui wake au waume, inahitaji uwe sekunde moja mbele..waweza oa reptilian blood human..

I was just saying..lolz
 
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini kwetu na toka nimuone kwa mara ya kwanza nimekuwa na hisia kali juu yake.Dada huyu anatabia ya kutukumbatia kina dada wenzake anapotusalimia asubuhi sasa huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu napenda tukumbatiane kwa muda mrefu na labda tungekuwa peke yetu ningetamani kumbusu mdomoni na hata kumpapasa. Namuwaza huyu dada muda wote hata kumuota usiku.Ndoa yangu ina miezi sita tu nampenda mume wangu lakini nashindwa kudhibiti hisia hizi kwa dada huyu.Dada mwenyewe ana msimamo kaisha watolea nje vijana wawili ofisini hapa kuwa hataki mpenzi kwa sasa anataka kuweka akili zake zote kazini.Msichana ni mrembo kweli,mrefu,mwembamba na ana lips za kufa mtu.Nafikiria kuacha kazi na kuhamia ofisi nyingine kuna kampuni waliniambia muda wowote naotaka watanichukua.Nishaurini wanajamvi wenzangu yamenikuta.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
HEEEE!!! Ndiyo nini sasa kupenda dada mwezako??
 
Mpendwa Dada Yangu,

Pole sana kwa hilo,wewe ni mgonjwa na una pepo la ngono,kwa hiyo dawa sio kuhama ofisi huko utawakuta wanawake wenzako na utawatamani,dawa ni kutubu na kumrudia Mungu Aliye Hai,

Huna maadili ya Afrika,umeasirika na unayo yaona kwenye wavuti za ngono,Kama neno la Mungu linavyo sema mahusiano ya mapenzi ni kati ya Mume na Mke,vinginevyo ni dhambi na laana,na wewe uko kwenye dhambi na laana.

Pole sana na waone watu wa kukupa ushauri nasaha maana wewe uko kwenye chumba cha wagonjwa mahututi,

Mimi nitakuwa ninakuombea ili Mungu wako akurudishie fahamu zako kuwa wewe ni mke wa mtu na unatakiwa kumtamani mumeo,

Mungu akubadilishe,na Mawazo yako hayo machafu yashindwe kwa Jina la YESU,ameni,

Elisante Yona
 
ha ha ha bazazi umesema huyu naona ni juu yake kusuka au kunyoa ..lakini naona kama tunampigia mbuzi gitaa diana double d atakuwa ameshatest hako ka mchezo sasa anataka kuendelea .
Kilichobakia aokoke tu


haijasaidia mpendwa, huyu ni mzoefu , amerudia kitu alichoacha. Maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua, amechagua njia isiyofaa kwa walio wengi, kwetu sisi ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.
 
mzoee. ofisini kuna mambo mengi ukimkaribisha mtu moyoyni kweli atapenya, ukimuondoa kwa kutokumuwaza ataondoka. wengine wanafanya makusudi sana. ila jitahidi asikukumbatie ,kabisa, akiingia jitahidi utafute kiti ukae hata kama atakukumbatia siyo kama ya kusimama.lakini usimuangalie yeye kama yeye angalia nguvu inayofanya kazi ndani yake. au ikibidi funga siku moja ataondoka tu. ukifunga na kufanya maombi ya usiku tamaa zinakatika automatically. inabidi angalau uende kwenye vikundi vya maombi muombe na mumeo mwende kuombewa. mimi nilishasumbulia na mtu fulani lakini nilimpuuza na kweli aliondolewa moyoni. tena na yeye alikuwa nanfanya vitu vya maksudi ila najua ingawa najidai sijui na hata ningemtaka najua angechomoa ila alikuwa anania ya kuni-presecute si vinginevyo. mbona nishamuona maji tu na yeye alishajua hilo.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom