Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

Nimefanya kazi hapa miaka kadhaa na si unajua kuanza upya vigumu? na huko nikikutana na majaribu haya nihame tena? Nipo njia panda.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }

Mimi sikiushauri uhame ofisi, hapo tatizo sio kazi unaonekana ni mchapakazi mzuri kwa muda uliopo hapo, hata kama utahama utakutana nao tu huko maana siku hizi sio siri mabinti ni wazuri sana. Cha msingi muombe mungu wako tu akuepushe na hilo pepo, litakuaribia hata kazi na ndoa!
 
unajua huyu dada/mama DDD (Diana-DoubleDiff), kuna kitu hajatuweka wazi kabisa, mimi hainipi akilini kabisa kama kweli hujawahi kusagwa, wala kusaga na wala hajawahi kuangalia hizo picha za ngono za Kilesbians, swali langu ninalijiuliza anataka kumfanya nini huyo dada hili hali hajuhi kitu, mimi nadhani hapa tunapoteza muda bure kutoa ushauri ambao "Bw" DDD keshauhamua,

mimi tatizo ninaloliona kwa huyu DDD ni kuwa anahitaji mke, kama kufanya keshafanya sana, ila huyu ailyemuona sasa anamuhitaji hamiliki yeye kama mkewe na yupo tayari kwa talaka kutoka kwa muwewe ili na yeye akaoe
 
Swali lingine ninalojiuliza na linalonipa wasiwasi kwa huyu DDD,

ingekuwaje kama angempata house girl wake ambaye yupo kama huyo dada, na kwa sababu Mahouse girl wengi wanakuwa hawana sauti kwa mama mwenye nyumba nadhani ingekuwa ni balaa na labda hata ndoa ingesha vunjika
 
Huyu mdada ana matatizo tu biochemicals ktk mwili, pengine ni mambo ya imbalances ktk hormones secretion. Anaweza pengine akapata tiba ya tatizo au huenda tatizo lake halina tiba, maana kuna wengine ndivo walivoumbwa..Cha muhimu ni exhaust medical solutions. Sasa kama akishindwa kote huko kwene matibabu ajaribu njia za kawaida za kuishi chaste life kama ni 'mwanadini'... Hakuna kamba za 'roho chafu' hapa..ebo!

Most likely hili ndio tatizo. Pengine hata kabla ya kwenda kwa psychologist ageanza kwanza kucheck mambo haya ya hormones. Mambo haya yanatibika ingawa inaweza kuwa gharama kubwa kiasi.
 
Originally Posted by Diana-DaboDiff Nimefanya appointment na psychiatrist wiki ijayo nitawaambia kama amenisaidia. span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }

Halafu mbona posts zako zinakuja na characters za ajabu? Nway, mara nyingi wataalam kama hawa wanasaikolojia wanakusaidia tu kuamsha nguvu zako ktk kulitatua tatizo. Lazima uwe na mentality hiyo. Sio kwamba atafanya kama miujiza ya kuondoa pepo.kwa dakika 1..hapana. Uponyaji wa kiakili is very painful and it takes time to heal. Goodluck.

ndio PEPO LENYEWE NINI? MBONA WENGINE HAWANA
 
We diana-double diff jina lako linafanana sana na hayo unayowaza. We utakuwa ushamega wasichana wenzio tu halafu unataka kutuletea utata tu hapa JF.
 
Nimefanya kazi hapa miaka kadhaa na si unajua kuanza upya vigumu? na huko nikikutana na majaribu haya nihame tena? Nipo njia panda.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
DDD
For sometime, nimekuwa nikisoma some of your contributions huko nyuma (esp ile thread ya utambulisho wako) and I have this feeling that your real gender ID is being relegated into the background. Some of your sentiments - trust me - give you away as a "HE".....and I know you are! So, to me the current thread is one of those from you = a "HE". It's nevertheless a good topic - but the initiator is a gender impostor.
 
Mimi naona umedanganya sentensi wa kwanza ya mada yako.Wewe lazima ulikuwa na tabia ya kusaga na kusagwa na tabia hiyo chafu bado hujaiacha japo umesema umeolewa miezi sita iliyopita. Hata ukihama hama ofisi haitakusaidia kama hutaacha hiyo tabia chafu. Kwakuwa hakuna lisilowezekana mbele ya mwenyezi MUNGU,wewe muombe MUNGU wako akuepushe na pepo mchafu anayekusumbua ili uendelee vizuri na kazi pamoja na kutulia kwenye ndoa yako.
 
We diana-double diff jina lako linafanana sana na hayo unayowaza. We utakuwa ushamega wasichana wenzio tu halafu unataka kutuletea utata tu hapa JF.

Tusimhukumu jamani, alieleza jina lake wakati wa utambulisho kwa nini walimwita hivyo mtaani kwao!

Tripo D.. Futa simu ya huyo Dada, UAMUZI wa kusuka au KUNYOA unao wewe mwenyewe! Fikiria ukimwambia halafu akakataa, hapo ofisini kwako kutakalika? Maana kila mtu atajua wewe ni LESBIAN na unataka kuwasaga/kusagwa na wenzako! Watch out Mama!
 
ingekuwaje kama angempata house girl wake ambaye yupo kama huyo dada, na kwa sababu Mahouse girl wengi wanakuwa hawana sauti kwa mama mwenye nyumba nadhani ingekuwa ni balaa na labda hata ndoa ingesha vunjika
Great thinkers, bonge la mtafakuro........nimejaribu kujenga picha huyo housegirl angeshasagwasagwa maana huyu dada kwanza anaonyesha ni mtu ana kiburi ya pesa fulani hivi. Pepo mchafu mkemee
 
duh...huku ni balaa! Kuna comments za ajabu kweli humu ndani! Its funny...hisia/emotions zetu zinaweza kutupeleka pabaya kweli! Sasa ni juu yako wewe kuzishinda! The choice is simple...unataka kuzishinda au unataka kuziridhisha? Wakati upo na mume wako...hisia zako zipo wapi?
 
Katika hali ya kawaida Mamba ni Mamba, kamwe mamba hawezi kuwa kenge. Kwa maoni yangu kama umefikia hali hiyo ina maana wewe ni mtu wa namna hiyo utake usitake, na inawezekana kuwa mumeo unampenda kwa sababu nyingine tu other than love, na hawezi kukata kiu uliyonayo. As long as unaishi kiu hiyo uliyonayo haiwezi kukatika mpaka uyanywe hayo maji, hata ukiacha kazi na kukimbilia sehemu nyingine still kiu hiyo haitakatika. Suluhisho zuri ni kufanya kila unaloweza umwambie na usikilize response yake, ikiwa positive na akakubali kukufichia siri shukuru mungu, do her or let her do you kiu itakatika, na akikataa na kuamua kukusema vibaya uwe tayari kwa consequence.

Katika hali ya kawaida hapa kwetu Tanzania homos wako stigmatised, lakini amini kuwa wako wengi kweli undergound, hasa wanawake. Uliza wasichana waliosoma mikoa ya Kaskazini kama Kilimanjaro, au jaribu kutafuta waliosoma kwenye shule za huko na pekeu love profile zao unaweza kushangaa. wengine sasa ni wake wa watu still wanaendeleza game. So if you are born like that, you are like that hata kama ukijificha kwenye mwavuli wa "mumeo" unayesema "unampenda" utakuwa uanjinyima biological bill of right.

Kwa hiyo usijione mnyonge, go for it but be ready to face the consequence.
 
Bujibuji;[URL="javascript:void(0)" said:
937651[/URL]]Dabo diff...jina lako linamaanisha nini?
Au una vidude dabo?
Nikitembea huku nyuma naacha lawama kwa vijana wa kiume,wakanibatiza dabodiff nikaambiwa.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
Bubu Ataka Kusema;[URL="javascript:void(0)" said:
937599[/URL]]Nimerudia tena kusoma ujumbe wako sioni hapo ulipoandika kwamba ulitumia "sex transmutation" kuhamisha matamanio yako...labda nahitaji miwani ya mbao.
read #21
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
Hili la kuzigeuza hisia za kingono na kuzielekeza kwengine 'sex transmutation' ndio lililoniwezesha kumaliza chuo vizuri lakini sasa nimeshafika napotaka maishani sina pa kuelekeza hizi hisia za ziada.Ambao hawajui kuhusu 'sex transmutation' wanaweza kui-google ilinisaidia kiasi flani chuoni na mwanzo wa maisha kazini.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
Kwa maelezo haya inaonesha kwamba wewe - kwa kuzaliwa - una hisia za kimapenzi zenye kuelekea watu wa jinsia yako (wanawake). Na ndiyo maana hata huko nyuma ulikuwa ukijikaza tu kutokujikubali/ kutoitikia mwelekeo wa hisia zako. Leo hii naona umeamua kuwa mwenyewe sasa/ kuonesha sura kamili. Uamuzi ni wako! Ila kama wengi walivyokuonya uamuzi wako uangalie pia matokeo ya tendo lako: ndoa itakuwa hatarini, binti asipokubali atakutangaza pengine na kukuharibia jina lako, nk, nk. Mi nakushauri uendelee na zoezi lako la siku zote la "sex-transmutation". Litakusaidia kuokoa ndoa yako, sifa yako, na hata kumlinda kipenzi chako unayemtamani.
 
Nashukuru wote mliochangia mada hii wengine mmenifariji,wengine kunishutumu,wengine mumenishauri asanteni wote.Nimepata e-mail kutoka ofisini ikinitaka kwenda kurekebisha mambo flani kwenye ofisi ya Arusha kazi itakayochukua wiki moja,natarajia kutumia muda huo kujaribu kuweka hisia zangu sawa ikishindikana nitahamia ike kampuni ingine.Asanteni tena.
 
Nimejaribu kupambana na hisia hizi zaidi ya miaka minane na nilifanikiwa kuzififisha lakini toka nionane na huyu mrembo nahisi sitaweza tena kuzizuia,akicheka,akiongea,akitembea,akiniangalia natamani kumkumbatia na kumueleza hisia zangu.Nimeomba ruhusa kazini siku mbili lakini haijasaidia,nampigia simu kusikia sauti na kicheko chake.

wEWE NI-PM NIKUPE DOZI UTAACHA TUU MATAMANIO KWA MWANAMKE MWENZIO
 
Waaaaaaaachaaaaaaaa!!!!!!!!!!!, ndio ombi langu kwako, jaribu kutoa mawazo yake kwako, Hebu tafuta wakati umfikirie mumeo, na wakati ukimpaa!!, mwangalie vizuri usoni na uondoe picha ya huyo msichana uweke ya mumeo, na umpeeeeee mumeo vizuri!
 
Back
Top Bottom