Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

Sasa ulifungua thread kutupotezea muda? Mwe! Safari njema ya huko uendako..kuzimu
Abdulhalim tumekuwa wote toka mwanzo wa hii mada hii safari ya Arusha ndio imeharibu kila kitu na uzalendo kuniishia,tulikuwa watatu mwanamme mmoja na sisi wawili,mwanamme akapangiwa chumba chake ni sisi tulipangiwa chumba kimoja.Najihisi nimekosea na psychiatrist bado nitamwona nikirudi Dar.
 
tulikuwa watatu mwanamme mmoja na sisi wawili,mwanamme akapangiwa chumba chake ni sisi tulipangiwa chumba kimoja.Najihisi nimekosea na psychiatrist bado nitamwona nikirudi Dar.
Acha uongo wako hapa, unadanganya watu wazima wewe, kwani mlienda kulala hosteli au bwenini hadi mpangwe kulala pamoja? Nimegundua hata topic yako yote ni hadithi
 
Hilo ni pepo tu, ushauri nenda kaombewe. tafuta mchungaji makanisa ya kiroho unayoyaamini na mueleze huyo akuombee, ni pepo kabisaaaa!
 
Hicho kidada kijinga, upumbavu gani kuwa shoga hivo?...hapa kilikuwa kinatafuta mashoga wenzie tu na kutaka justification kuwa anafanya kitu chema...

Napenda kukuelewesha kuwa unafanya kitu kilichoiangamiza roho yako tayari...na utakuja juta kwa uchafu wako huu....kimetusumbua kwa kuleta thread hapa kama kinaomba msaada kumbe kimekubuhu na hapa kilikuwa kinataka kusambaza tu uchafu huo na kutafuta wenzie...hebu kupigeni shutup kiondoke kina kera manake ashachafua hali ya hewa humu tayari..
 
Kila nikijaribu kumuwazia DDD nachanganyikiwa ..
Ladies mnaingia room mnaanza kuitana sweetheart ,honey,darling ,Mupenzi ,La Aziz,mnasasambua
Gosh eeeh mungu wa Nazreti kiokoe kizazi hiki.................:A S-confused1:
 
Abdulhalim tumekuwa wote toka mwanzo wa hii mada hii safari ya Arusha ndio imeharibu kila kitu na uzalendo kuniishia,tulikuwa watatu mwanamme mmoja na sisi wawili,mwanamme akapangiwa chumba chake ni sisi tulipangiwa chumba kimoja.Najihisi nimekosea na psychiatrist bado nitamwona nikirudi Dar.

Sijakutupa dadangu DDD. Usijali nimerejesha moyo. Unajua umenistua sana uliposema officially we ni nanihii, nikaona tumempoteza kondoo, basi nikasema kondoo aende kwa usalama huko aendako.Naamini bado unayo nafasi ya kujirekebisha, no one is perfect. Just take aim to perfect ur life. 100% commitment, no slips.

Kumbuka maisha ni kushinda vishawishi, play ur part. Ukishinda hiki kinakuja kingine, ukichelewa sekunde moja tu ukalegea umekwenda na maji. Kama nilivokwisha sema msaada wa matatizo ya kisaikolojia yanahitaji commitment yako wewe mwenyewe, mtaalamu anakusaidia tu kuziamsha nguvu zako za kuamua. Usitegemee maajabu kutokea overnight. Drastic problems need drastic measures, kama kweli umeamua kuacha zingatia hili, no pain no gain.
 
Kaka Abdulhalim heshima mkuu

nadhani hujamuelewa huyu dada vizuri, hii story yote ni ya uongo kuanzia mwanzo mpaka mwisho, ILA NI UKWELI USIOFICHIKA ANAONEKANA HUYU DADA NI MTAALAMU WA KUKOBOA NA KUSAGA, NA HAPA ALIKUWA KAZINI KUTAFUTA DADA ZETU WALIOPO HUMU JAMVINI, NADHANI KUNA VIPICHA (AVATOR)KAVIONA VYA DADA ZETU NA VIMEMVUTIA NA AKAWA YUPO KWENYE MAWIDO NINA MAANA KAJIONYESHA YEYE NI NANI NA KAMA KUNA DADA YOYOTE HUMU ANA INTEREST NA HAYO MAMBO BAC IWE KWAKE RAISI KUMPATA,

MTAALAMU JARIBU KUFUATILIA KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO UTAONA HII STORY NI YA KUTENGENEZA TU, INAKUINGIAJE AKILINI WATU WAZIMA WAENDE KWENYE SHUGHULI YA KIKAZI NA WAPANGIWE CHUMBA KIMOJA?
 
Mkuu,

Hayo unayoyasema yanaweza kuwa sawa lakini ushauri wangu kwake huyu DDD unabaki palepale. Naamini bado anayo nafasi ya kuchagua njia nyingine ya maisha.Muda anao na muda wa kuamua ni sasa.

Nadhani ni vyema kumpa moyo badala ya kumshambulia tu au kumkatisha tamaa moja kwa moja. Huwezi jua nguvu ya ushauri na maneno ya kutia moyo kama hayakulengwa kwako.

Mindhali ameandika kwa maandishi yake, (hata kama hayatoki moyoni) mwenyewe bila kushurutishwa mi naamini kuna sehemu ya moyo wake inamwambia anachofanya si sahihi. Hapo ndio pa kuanzia mkulu.
 
Shetani huwa ni wewe mwenyewe yote kwa yote ni kujiliwaza tu ooh ni shetani alinipitia. Japo unakataa hujawahi kuga au kuangalia wasagaji napata shaka maana ilo wazo na hamu ya kumtamani mwenzio unatoa wapi? Au ndo zile stori za kwenye kitchen party etc zinaanza kuzaa matunda? Ushauri wa bure kuhama si jibu uko utakakokwenda utakutana na wengine wakali zaidi tuliza akili mpe mzee mzigo vya kutosha mpaka hamu ikiushae. vinginevyo utakufa siku si zako na maginjwa kama ukimwi n.k uache watoto ombaomba mjini apa. Soma Mathayo 7:7 itakusaidi sana.
 
Hainiingii kikamilifu akilini, ila inawezekana kuwa na matatizo makubwa ya kisaikolojia na ya ki biolojia.
1. Kisaikolojia unachofikiria kila mara na kutamani, kujaribu kutekeleza, ndicho ambacho ubongo huamuru viungo vya mwili kuingia kwenye kishawishi cha kutenda kabisa. Swali, wakati mnaanza urafiki, uchumba hadi ndoa na huyo mwanaume ulikuwa na hisia zipi juu yake, na imani ndoa ni changa kuliko umri wa tatizo lenyewe. Inawezekana pia unatupeleka kwenye ile nchi ya kusadikika ya S.Robert!!
Muone mwanasaikolojia.

2. Ki-biolojia, inawezekana unavichocheo(homenes) za jinsia ya kiume zaidi ndiyo maana unamatamanio na akina EVA zaidi. Muone daktari bingwa kwenye hiyo idara. n.k

3. Sijafahamu bayana imani(idiology) yako, mrudie mungu wako, akuondolee hizo kontena za matatizo bila ya ushuru,ni utayari wako tu. Waone watumishi husika watakaokupa chakula cha roho.

4. Wahusishe pia wazazi na ndugu. USIPOPONA KABISA, MIMI NITASEMA NI MSIBA WA KUJITAKIA AMBAO HAUNA KILIO.
 
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.
Mimi naona DDD ni mzoefu lakini anatuzuga kwa kutuambia kuwa hizo hisia alizishinda alipokuwa sekondari na chuo. Huko ndiko hizi tabia zinajengwa hasa katika skuli za jinsia moja au mabweni ya jinsia moja. Wale walio madarasa ya mbele wanawalaghai na kuwarubuni wanafunzi wapya na wadogo na kisha kuwaharibu kabisa. Ni percent kidogo sana ya homosexuals inatokana na mapungufu ya kimaumbile (kuwa na hormone za kiume kwa mwananmke au za kike kwa mwanaume), sehemu kubwa yao ikiwa ni kufunzwa na kuzoeshwa tabia hii na wavulana au wasichana wakubwa mtu anaowakuta katika mazingira yanayowezesha tabia hiyo. Watoto wa Form I wanakuwa na umri wa miaka 13 hadi 15 na kama hili swali lingefuatiliwa kwa umakini kuna kesi za ubakaji nyingi kwani hawa wanakuwa bado hawajafikia umri wa kukubali (consent).
 
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.

Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini kwetu na toka nimuone kwa mara ya kwanza nimekuwa na hisia kali juu yake. Dada huyu ana tabia ya kutukumbatia kina dada wenzake anapotusalimia asubuhi sasa huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu napenda tukumbatiane kwa muda mrefu na labda tungekuwa peke yetu ningetamani kumbusu mdomoni na hata kumpapasa. Namuwaza huyu dada muda wote hata kumuota usiku.Ndoa yangu ina miezi sita tu nampenda mume wangu lakini nashindwa kudhibiti hisia hizi kwa dada huyu.

Dada mwenyewe ana msimamo kaisha watolea nje vijana wawili ofisini hapa kuwa hataki mpenzi kwa sasa anataka kuweka akili zake zote kazini. Msichana ni mrembo kweli, mrefu, mwembamba na ana lips za kufa mtu. Nafikiria kuacha kazi na kuhamia ofisi nyingine kuna kampuni waliniambia muda wowote ninaotaka watanichukua.

Nishaurini wanajamvi wenzangu yamenikuta.

Hii story utata mtupu!!
How comes huyo dada ana mwezi mmoja tu kwa maelezo yako yet ameshakataa wanaume kibao!! Yani hiyo office ni watongozaji kiasi hicho???.. Alafu u seem to b decent too kwa maelezo yako but... Umelala na huyo bibie hujui historia yake! Magonjwa! Labda nae ni lisagaji lililokubuhu ndo mana kukumbatia hakuishi??! Halafu umemtaka tu akakubali for the first time! Mbona watanzania bado wagen sana na hayo mambo kumgusatu kakubali!
Mnaosema aongee na mumewe hizi culture za kizungu wabongo mume yupi atackiliza huu upuuzi na uishi kwa amani baada ya hapo??
 
1)Do you usually go for prayer?
2) Wewe mwenyewe una mtazamo gani juu ya hili, do you really think can do it or not?
3) Una uhakika unampenda mumeo?
Nimejaribu kupambana na hisia hizi zaidi ya miaka minane na nilifanikiwa kuzififisha lakini toka nionane na huyu mrembo nahisi sitaweza tena kuzizuia,akicheka,akiongea,akitembea,akiniangalia natamani kumkumbatia na kumueleza hisia zangu.Nimeomba ruhusa kazini siku mbili lakini haijasaidia,nampigia simu kusikia sauti na kicheko chake.
 
Abdulhalim tumekuwa wote toka mwanzo wa hii mada hii safari ya Arusha ndio imeharibu kila kitu na uzalendo kuniishia,tulikuwa watatu mwanamme mmoja na sisi wawili,mwanamme akapangiwa chumba chake ni sisi tulipangiwa chumba kimoja.Najihisi nimekosea na psychiatrist bado nitamwona nikirudi Dar.

Alichokupa kilikuwa tofauti sana na anachokupa mumeo? Sio swali la kuku-judge, lakini nataka kujua your line of thoughts because I just dont get it!!!
1. Wewe unapenda kutembea na jinsia zote au na wanawake pekee?
2. Unampenda mume wako?
3. Unatofautisha ngono na penzi katika justification yako ya kutembea na huyu mwanamke?
4. Yupi kati yao ungependa kuishi naye?
 
Back
Top Bottom