Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

Jogacom

Member
Dec 7, 2023
18
51
Habari,

Bila kupoteza muda ni kwamba, mimi ni kijana wa miaka 34 sasa. Nilikuwa nchi moja Afrika katika kutafuta maisha kwa muda kidogo, sasa nikaona umri umekwenda itabidi nirudi nyumbani niangalie uwezekano wa kuwa na familia.

Sasa nilipofika home nikawa na wakati mgumu kumpata mwanamke atakaenifaa kuwa mke, katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na picha zilizopostiwa na rafiki yangu (classmate) nikamuona akiwa na mabinti wawili, nikamchagua mmoja kati yao, lakini rafiki yangu akanambia hajatulia ikabidi anishauri nimchukue huyu mwingine.

Akanipigia pande Mtoto kaingia 18 akajaa,tukaanza mahusiano na first time tukaonana live. Kiukweli katika maisha yangu sikuwahi kutongozewa mwanamke au kupigiwa chapuo na mtu, nilikuwa nikimpenda namfuatilia mwenyewe mpaka nampata. Huyu ndio alikuwa wakwanza kupigiwa chapuo.

Sasa alipokuja sikuridhishwa na muonekano wake kabisa ila nikashawishika tu sababu nilimkuta akiwa bikra na nikafanikiwa kuitoa kwakupewa masharti kama nisipomuoa atanilaani mpaka mwisho.

Kiukweli bikra alikuwa nayo ila alishawahi kuwa na mahusiano kadhaa na walishiriki kila kitu, walichoshindwa ni kuitoa bikra tu, kiufupi mwili wake utadhani alishazaa zao kadhaa.

KITU KINGINE AMBACHO KIMEPELEKEA KUPOTEZA HISIA NAE KABISA NA KUTAMANI KUMUACHA ni alipokuwa na mahusiano na walionitangulia walikuwa wakishiriki tendo kwa kumsugua kinembe mpaka anakojoa, sasa ni kama ameathirika hawezi kuridhika na tendo mpaka nimsugue kinembe ndio akojoe tena anachukua muda mrefu sana mpaka nachoka.

Ananipenda, ananiheshimu na kunijali sana ila mi sina hisia nae kabisa na najiuliza huko mbeleni itakuwaje endapo nitamuoa mtu ambae sina hisia nae?

Ushauri please.
 
Anaetaka chai alete kikombe nimuwekee.

20240124_142909.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Unaoa kwa lengo lipi Ili tukushauri la ngono,mlinzi wa nyumba, business partner,mpishi,mlezi wa watoto,heshima,sifa nk.

Kila mwanamke qnafiti eneo maalumu.

Mfano anaweza kuwa mzuri sana kwenye ngono lakini heshima na adabu hana,mpishi mzuri lakini mtapanyi WA Mali,mlinzi wa nyumba lakini si mkarimu
 
Ndugu yangu ungemuacha tu na bikra yake manake from the beginning ulishajua she is not ur type, ila tatizo la wanaume hata akiona humfai atataka akulale kwanza ndo afanye maamuzi, umemkosea sana sana. But usijilazimishe kumuoa kisa umemtoa bikra it will get worse humo ndoani mana mwanaume hukaa na kutulia alipopenda sio alipopendwa na mkipenda mmependa na msipopenda hamjapenda sio kama sisi wanawake, ukijilazimisha huyo dada hakuna rangi ataacha ona humo ndani. Na kingine sio kama hizo relationship ndo zimemfanya awe hivyo, hicho anachopitia ni athari ya mustabation hajataka tu kukwambia ukweli, it seems ana fanya mustabation kiasi kwamba amepoteza hisia na mwanaume.
 
Back
Top Bottom