Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

Baada ya kurudi kutoka Arusha nimemueleza mume wangu kila kitu,baada ya kunisikiliza na kuniuliza maswali kadhaa kaniambia kwakua ana safari ya mwezi mmoja Namibia nitumie muda huo kuamua kuachana na mambo haya na kutafuta tiba ya hospitali na kwengineko au niamue nini hatima ya ndoa yetu.
 
Hivi huu ugonjwa wako wa kutamani mwanamke mwenzio unaitwaje vile? Je, katika mazungumzo yenu ulishindwa kumhakikishia mumeo kwamba utaweza kuzishinda hisia kali kwa mwanamke mwenzio ili kudumisha ndoa yenu mpaka upewe mwezi mzima wa kuamua nini unataka?
 
pole sana!!lakin labda ulikua hujajua orientation yako!!kuna aina tatu za orientation nazo n
1.Heterosexual orientation-kuvutiwa na jinsia tofaut(me &ke)
2.bisexual -kuvutiwa kimapenz na jinsia zote mbili
3.homosexual -kuvutiwa na jinsi yako
sasa ww naona unaangukia katka iyo ya tatu ya kuvutiwa na jinsi yako useme tu ilikua haijajidhihirisha wazwaz labda kulingana na mazngira!!ukijaribu kujiingiza kwenye huo mtego utaamsha hisia zako za ndan zlizolala!!na ukishaingia huko kujitoa n ngumu sana na ndo kitu kinachowasumbua wengi wenye orientation no 2&3 bora uendelee kupambana kujiepusha
 
labda huyo binti alikuja na kidawa cha kumteka bosi wenu akakupaka na wewe bahat mbaya wakati mkikumbatiana...
 
Watu humu bwana wan'chekesha kweli..

Ati roho chafu...? This is joke..sasa kaa ni 'roho chafu' afenyeje? Mwili wake tu wamsumbua je huyo roho asieonekana atamueza?

Huyu mdada ana matatizo tu biochemicals ktk mwili, pengine ni mambo ya imbalances ktk hormones secretion. Anaweza pengine akapata tiba ya tatizo au huenda tatizo lake halina tiba, maana kuna wengine ndivo walivoumbwa..Cha muhimu ni exhaust medical solutions. Sasa kama akishindwa kote huko kwene matibabu ajaribu njia za kawaida za kuishi chaste life kama ni 'mwanadini'... Hakuna kamba za 'roho chafu' hapa..ebo!

ha haha ha haa ni shida hasa kwa wanaoamin kila kitu ni pepo!!
 
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.

Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini kwetu na toka nimuone kwa mara ya kwanza nimekuwa na hisia kali juu yake. Dada huyu ana tabia ya kutukumbatia kina dada wenzake anapotusalimia asubuhi sasa huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu napenda tukumbatiane kwa muda mrefu na labda tungekuwa peke yetu ningetamani kumbusu mdomoni na hata kumpapasa. Namuwaza huyu dada muda wote hata kumuota usiku.Ndoa yangu ina miezi sita tu nampenda mume wangu lakini nashindwa kudhibiti hisia hizi kwa dada huyu.

Dada mwenyewe ana msimamo kaisha watolea nje vijana wawili ofisini hapa kuwa hataki mpenzi kwa sasa anataka kuweka akili zake zote kazini. Msichana ni mrembo kweli, mrefu, mwembamba na ana lips za kufa mtu. Nafikiria kuacha kazi na kuhamia ofisi nyingine kuna kampuni waliniambia muda wowote ninaotaka watanichukua.

Nishaurini wanajamvi wenzangu yamenikuta.

I just think that you suppressed your feelings from long time ago.The only way to overcome your state is to accept and be Happy.I know you are not the cause of those feelings they are just part of you. I advice you to reflect more on that and see if you have feelings towards women then accept it. In fact you can just share it with your husband, i presume he will help you to live according to your nature. You know going to another job is not a solution cuz you will always meet such women in your life time
 
Kw ahiyo kwenye red. wewe ni mwongo, inawezekana hata huyo aliyekuzingua si mwanamke mwenzako, ni Bosi wako. You are just looking for a psychological satisfaction ya kuachana na ye ukaambatane na mwingine.

like like like × billions hapo ndipo paliponisukuma kutype kwenye huu uzi.
 
Hizo hisia mpelekee mumeo naiman ukimwelekeza vzr cha kufanya hyo itakuwa matibabu tosha ya tatzo lako
 
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.

Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini kwetu na toka nimuone kwa mara ya kwanza nimekuwa na hisia kali juu yake. Dada huyu ana tabia ya kutukumbatia kina dada wenzake anapotusalimia asubuhi sasa huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu napenda tukumbatiane kwa muda mrefu na labda tungekuwa peke yetu ningetamani kumbusu mdomoni na hata kumpapasa. Namuwaza huyu dada muda wote hata kumuota usiku.Ndoa yangu ina miezi sita tu nampenda mume wangu lakini nashindwa kudhibiti hisia hizi kwa dada huyu.

Dada mwenyewe ana msimamo kaisha watolea nje vijana wawili ofisini hapa kuwa hataki mpenzi kwa sasa anataka kuweka akili zake zote kazini. Msichana ni mrembo kweli, mrefu, mwembamba na ana lips za kufa mtu. Nafikiria kuacha kazi na kuhamia ofisi nyingine kuna kampuni waliniambia muda wowote ninaotaka watanichukua.

Nishaurini wanajamvi wenzangu yamenikuta.

acha ubwege mambo ya kuiga yanakupeleka pabaya..kama ungekuwa hujawahi kusikia habari ya kusagana unataka kuniambia hizo hisia ungekuwa nazo? acha upumbavu mtoto wa kike
 
Pole dadangu! Tafadhali tafuta muda nikupe tiba, muage mumeo kabisa, maana tiba ni ya usiku!
 
Back
Top Bottom