tpellah
Member
- May 19, 2011
- 49
- 2
Waislam walio wengi wana tabia za kibaguzi na kujiona wao wako sawa zaidi katika mambo ya kiimani,ila si wote wako waelewa! Ivi kweli kama hawa wakristu wakifanya ubaguzi kama wanaofanya hapo MU(Moro) ingekuaje?? Mana wao ndo wana taasisi nyingi za elimu na nyingi zinatoa elimu bila ya upendeleo wa kidini. Watanzania tubadilike mana udini hautujengi! Nawasilisha!