Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

Status
Not open for further replies.
Machinjio yote nchini wamejaa ndugu zetu wa wanamuhammad, Ukienda chuo kikuu cha Kiislaam cha Morogoro kuanzia wanafunzi hadi uongozi wa juu ni islaam tupu! wauza icecream za bara barani na baiskeli wote wana suruali fupi fupi na madevu halina ubishi hilo
hizo kazi wanapewa muhadans ambao wana shahada za madrasa....
 
unaweza kufungua kesi ya ubaguzi wa dini (religious segregation). Naamini ni offence duniani kote. Kama wana mashati fulani fulani (kutouza nguruwe, kutouza bia etc) ni sawa. ila hawawezi kuwakataza watu wa dini zingine kutumia hizo eneo kama wameziandika kama eneo za biashara. embu peleka hii idea jukwaa la sheria wakusaidie
 
Operation Igunga inanifanya nipoteee
umenikumbusha kitu muhimu sana. Sasa hv nasikiliza redio moja hapa wanasema pale Igunga RA hakufanya chochote cha maana. Eti ata wale waliokuwa wanalia kipindi anaaga walipangwa na Rostam mwenyewe. Na bahati mbaya CUF ishashtukiwa imeungana na Magamba.
 
Kama mnataka kujua Tanzania kuna udini wa kupindukia someni kitabu cha MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHIS SYKES (1924 -1968). Humo mtashuhudia ubaguzi na udini wa Tanzania tena hayo yamefanywa kiutafiti sio hizo story za gengeni. Binafsi nimepigwa na butwaa na niliyoyakuta ndani ya kitabu hicho.
 
Katika kujitafutia kipato nimeamua kugeukia ujasiriamali. Basi leo nikaamkia Sinza Mori nyuma ya sheli ya Big Bon kuna jengo la gorofa pale nikafika kwa ajili ya kuweka order ya sehemu ya biashara.

Nimepigwa na butwaa baada ya kutaja jina langu walinzi walisema hapa ni kwa waislamu pekee hakuna mkristu atakayeruhusiwa kupanga. Sikuishia hapo nikaomba no. Za mmiliki wa jengo kudhibitisha hio hali akasema mm ni msimamizi hili ni jengo la mkubwa mmoja. Na kweli ni mahususi zaidi kwa watu wenye imani ya kiislamu.

Kama tumefikia huko basi hali ni mbaya. Naomba wengine mkajaribu mpate kuthaminisha habari hii.

Mi naona sawa tu, ni maamuzi ya mwenye Jengo! kama kaamua hivyo poa tu si la kwake, kama lingekuwa jengo la umma sawa tungeweza kumbana! Mzee we zama tu mbele pale Rombo Hotel kaombe sehemu ya kupanga!
 
Haya mambo ni kweli yapo sana tu,pande zote (waislamu na wakristo). Waislam wamekuwa wakilalalmika muda mrefu kutengwa na serikali katika fursa mbalimbali. Kuna ubaguzi na udini sana nchi hii ila kwa kuoneana aibu tunaacha kidonda hiki kikiendelea kututafuna ila huko mbeleni kitakuja kutuumbua tu.

Cha kufanya ni kuendelea kukemea kwa nguvu zote huku tukijichunga kutoendeleza udini huo kwa kuchangia tukiwa tayari biased. Tujaribu kuwa neutral kabisa ili tujengu na tusibomoe tena. Yangu nu hayo tu.
 
Haya yapo kila sehem mi wakt nimemaliza chuo kuna mchungaji mmoja wa kilokole jiran ye2 aliniahidi kunitafutia kazi sbb waumin wake wanamakampun nikamshukuru kwl lkn cha kushangaza akaanza kuniambia inabidi niende kwanza kanisan nikaombewe ndo ntapata hy kazi ckuwa tayar kwa hl.

Akaniambia bac km ctak kuombewa nikubal 2 niwe naenda kanisan ili wale jamaa wanione ni mmoja wao ntapata kazi bila wacwac ckukubaliana nae na akasema bac sina shida ya kazi na akaacha hata kunisalimia akidai nimetawaliwa na mapepo. Sasa huunao c ubaguz jaman tena c leo ilikuwa 2009 wakristo nao wabaguz tena sana 2 c waislam pekee

Waelezee!!! mi nashangaa eti leo ndio hilo linaonekana tatizo!! wakati jamii yetu hilo liko wazi kabisa!!
 
Ofisini kwangu Bosi wangu simu yake Ring tone yake ni kwaya ya rose mhando na caller tone ni kwaya ya chibalonza, kuna siku alimpigia simu muislam mmoja ikaita korani (caller tone) akakata simu na kutukana sana eti kaweka mapepo na akatuambia tusimpigie simu huyo bwana sababu itaita korani...

Tuna mengi waTZ ni pamoja na ujinga wa kufikiri, ubinafsi na chuki.

Tutafika tu... ndio mammbo ya mkuki kwa nguruwe...
 
unaweza kufungua kesi ya ubaguzi wa dini (religious segregation). Naamini ni offence duniani kote. Kama wana mashati fulani fulani (kutouza nguruwe, kutouza bia etc) ni sawa. ila hawawezi kuwakataza watu wa dini zingine kutumia hizo eneo kama wameziandika kama eneo za biashara. embu peleka hii idea jukwaa la sheria wakusaidie

Kama anapataka sana hapo si aseme ame silimu, au asilimu kabisa la sivyo si aende pengine tu, ya nini kuhangaika, mtu hataki na sehemu yake nenda kwingine!! kesi ya nini, ukiweza jenga yako...
 
Roho mbaya zenu ndo zinasababisha tuwachukie we angalia
mfano wa OIC hamtaki tujiunge nayo si kwa lingine isipokuwa
ni kuogopa kuwaona waislamu wakinyookewa na mambo yao
wabaya sana ninyi.
Yaani nchi nzima isiyo na dini iingizwe kwenye OIC simply kwa sababu ya Waislamu? There must be something wrong with you!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
mmmh.....we dini gani vilee.....!
Ile dini wana roho mbaya na chafu sana.

Hebu msikilize Allah anavyo toa amri kupitia Koran na Hayati Muham-mad mwanzilishi wa dini ya Islam: Surah 5:51 "Muslims do not make friends with Christians and Jews". Umeona hii chuki kutoka kwa Allah na Mtume Hayati Mwamedi pbuh??!!

Allah said very conspicuously and vivid clear by commanding muhammadans not to make friends with Christians and Jews. Do we have to le
 
Kwa mtazamo wangu ile ni nyumba ya mtu na anahaki ya kumpangishia mu yeyote kwa uchaguzi wake,tunajua kuna mashirika mengi ambayo ukiwa muislamu haupati kazi na ni mashirika ya kimataifa,serikali ingekuwa inadiscourage hili labda hata nao raia wasingekuwa wanabagua....

Dini si kitu cha kupigania au kulumbana nalo, kwani dini huwa haiunganishi watu bali hubomoa....serikali haina dini lakini kaka mkuu hajui hilo.
 
Kama anapataka sana hapo si aseme ame silimu, au asilimu kabisa la sivyo si aende pengine tu, ya nini kuhangaika, mtu hataki na sehemu yake nenda kwingine!! kesi ya nini, ukiweza jenga yako...

Hapa ndipo unaona Masaburi yanavyo charge.
 
watu wanapenda kulaumu sana hv wewe umeshawahi kuomba kazi world visoin? au mnasema tu bila kufanya utafiti japo kidogo?
 
mambo ya udini yapo sana na si kwa dini mmoja zote tu hasa wakristo na waislam angalia hata humu ktk JF watu wanakomalia UDINI MNO hadi inatisha watu wanazungumzia KADHI wajinga wanageuza wanazungumzia kukatana mikono, mashetani nk na matusi kibao je wenye DINI yao wanafurahia? si wapo? siwamo humu JF, Si wanasoma??

Ndio maana hayo mambo ya udini yanaongezeka. mzee makamba amewahi nena `mazungumzo mabaya huharibu tabia njema`sasa km kadhi ni neno baya sawa lakini km sivyo lizungumzwe vema km wakristo watarumia majukwaa km haya kutukana wenzao na wenyewe watatumia mbadala ndo hayo sasa!! sasa ajabu ni nini?????
 
Katika kujitafutia kipato nimeamua kugeukia ujasiriamali. Basi leo nikaamkia Sinza Mori nyuma ya sheli ya Big Bon kuna jengo la gorofa pale nikafika kwa ajili ya kuweka order ya sehemu ya biashara.

Nimepigwa na butwaa baada ya kutaja jina langu walinzi walisema hapa ni kwa waislamu pekee hakuna mkristu atakayeruhusiwa kupanga. Sikuishia hapo nikaomba no. Za mmiliki wa jengo kudhibitisha hio hali akasema mm ni msimamizi hili ni jengo la mkubwa mmoja. Na kweli ni mahususi zaidi kwa watu wenye imani ya kiislamu.

Kama tumefikia huko basi hali ni mbaya. Naomba wengine mkajaribu mpate kuthaminisha habari hii.

Huko dar vibarua/labour wote wa kwa wahindi nasikia ni waislam
 
mambo ya udini yapo sana na si kwa dini mmoja zote tu hasa wakristo na waislam angalia hata humu ktk JF watu wanakomalia UDINI MNO hadi inatisha watu wanazungumzia KADHI wajinga wanageuza wanazungumzia kukatana mikono, mashetani nk na matusi kibao je wenye DINI yao wanafurahia? si wapo? siwamo humu JF, Si wanasoma??

Ndio maana hayo mambo ya udini yanaongezeka. mzee makamba amewahi nena `mazungumzo mabaya huharibu tabia njema`sasa km kadhi ni neno baya sawa lakini km sivyo lizungumzwe vema km wakristo watarumia majukwaa km haya kutukana wenzao na wenyewe watatumia mbadala ndo hayo sasa!! sasa ajabu ni nini?????

Dawa ya mdini ni kumletea udini zaidi
 
Fanyeni Research sehemu mbalimbali hapa nchini mtagundua ni DINI gani inasehemu nyingi na tangu lini?ambazo watu wa DINI nyingine hawaruhusiwi kujiunga nazo mtupe DATA humu then tujadili mimi naamini siku hizi watu wajinga wa mawazo wanaongezeka sana katika nchi hii minafikiri pamoja na ajira tunahitaji kurekebisha mifumo ya ELIMU za shule zetuNA Kuangalia vizuri swala la DINI na maslahi yake kwa ujumla tukiachia hv mbeleni itakuwa taabu sana haka kaugonjwa katakuwa kamezagaa sana na ktakuwa kabaya kuliko ukimwi !! mi naamini hata humu JF wamo majitu majinga sana igewezekana hata wakubwa wangekuwa wanayaondoa hayana mawazo ya maana yamekalia `UPUMBAVU`
 
<br />
<br />
wewe unajielewa kweli? Hebu kaisome tena hio bible. Unadhan Taurat,injil na zabur umeteremshiwa wewe? We sijui ni mmakonde wa wapi na unasoma habari za WANA WA ISRAEL. Mi nakufahamisha Wewe ni mtanzania na kuna nchi inaitwa ISRAEL ndo walopewa hio bibke mnayojidai mwaijua kumbe hamna lolote.
.......... Tatizo hujui Zaburi ni ipi, Injil ni ipi na Tourat ni ipi !! mpo mpo tuuu !
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom