Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

Status
Not open for further replies.
Mwenye hilo jengo ndiyo mwenye petrol station"big bon" Nenda kaombe kazi pale
Petrol station,ukiwa na jina wanalotaka utapewa kazi.Wote pale wanaoweka mafuta
wamejifunika vichwa.
Faiza fox akienda anapata kazi bila kupingwa

Nitapita hapo sasa hivi mkuu!
Ikiwezekana nitarecord sauti kabisa!
Kwani umewaambia unataka kufungua machinjio ya ile mboga mkuu?'
Mkuu nimeipenda hiyo mboga kuu,nilikua nimenuna kutwa nzima alakini hapo nimecheka,kweli hile kith ni kuu ndio maana hata wao wanapiga kuliko sisi

Ofisini kwangu Bosi wangu simu yake Ring tone yake ni kwaya ya rose mhando na caller tone ni kwaya ya chibalonza, kuna siku alimpigia simu muislam mmoja ikaita korani (caller tone) akakata simu na kutukana sana eti kaweka mapepo na akatuambia tusimpigie simu huyo bwana sababu itaita korani...

Tuna mengi waTZ ni pamoja na ujinga wa kufikiri, ubinafsi na chuki.

Sehemu zote za kichinjia n,gombe Tanzania zinamilikiwa na waislam naona kuna haja sasa ya kuubadilisha huu utaratibu.

Ofisini kwangu Bosi wangu simu yake Ring tone yake ni kwaya ya rose mhando na caller tone ni kwaya ya chibalonza, kuna siku alimpigia simu muislam mmoja ikaita korani (caller tone) akakata simu na kutukana sana eti kaweka mapepo na akatuambia tusimpigie simu huyo bwana sababu itaita korani...

Tuna mengi waTZ ni pamoja na ujinga wa kufikiri, ubinafsi na chuki.
huyo naye akili yake ipo kwenye masaburi yake!
Too LOW!

kwa kweli leo hapa nimeona wanapinga vitendo vya udin
ingawa mmja tu naona anaonekana kuwa shabiki tu wa din bila kujali maslai ya taifa HAYA YOTE YALIKUWAPO KWA USIR SANA B4 THE COMING OF OUR CURRENT P BUT AFTER THAT THINGS SURELY HV FALLNG APART EACH N EVERY THING NOW IS OPENLY . PRIMARILY nchi yetu haikujengwa kwa mising ya dini lakn sasa hadi juu ya majukwaa ya siasa wamesha tangaza kweli kweli F***ck udini i lov her a***s f****ck ubaguzi!

Mkuu, unataka kuinyamanzisha JFZ, JF ina do's na donts. Kama unamashaka na authenticity ya habari muombe mtoa mada ushahidi akishindwa toa taarifa kwa mod ili ashughulikiwe kulingana na taratibu za JF, otherwise endelea kutetea uislam wako.
Hii thread inastahili kufungwa immediately kwasababu haya mambo yaliyopostiwa humu hayajengi jamii tunayoitaka Tanganyika. Nadhani tunakotaka kuelekea ni kubaya na mkumbuke kuwa:- Mkiambiwa habari yoyote na mtu msiyemjua vizuri(eg. mwana jf yoyote ambaye kimsingi hafahamiki openly may be na member yeyote/wengi/wote) ni sharti habari hiyo ichunguzwe kwa makini sana. Tusihukumu be! kwa sababu ya eeh!

Basi bora wamekwambia live, maana huenda wasingesema ungeingia kichwakichwa na kukutana na vituko vya mwaka!

Kama wanasema jengo hilo(la bishara)ni kwaajili ya waislamu tu inaonyesha kuna mambo fulani ya usiri yatakayokuwa yanafanyika humo ambayo mkristo hatakiwi kujua au hawezi kuvumilia kuyaona!...kuna ibada za ajabuajabu zitakuwa zikiendelea, na huenda ni za kimajinimjini.

Sasa nadhani umshukuru Mungu!

Miskitini hakuna cha ajabu mkuu ndo mana ikijaa watu wanasali hadi nje, makanisa ya USA yashaanza ibada za majoka lini wabongo mtafata mkumbo huo.

Daaah hapo si ndio kwa RIZ1.. labda kaagizwa hivyo na mshua

tena ile sehemu ni open space kutokea lufungira karibu na kwa kakobe all the way mpaka tandale, huu ukanda wa open space kwenye master paln ya jiji ulijulikana kama "green belt" aliyefanya kazi ya kuuza huo ukanda wa open space ni Bw. majani by then alikuwa wizara ya ardhi

Mie na mume wangu tulienda Lushoto kutembea, pale mjini kuna hoteli ya kulala, tulinyimwa vyumba bila kupewa sababu na mhudumu, siku ya pili tukaambiwa ile Hoteli ni ya Wakristo na hawapendi Waislaam wafikie pale.

Sidhani kama hao jamaa wamekosea ikiwa sababu ni hiyo. Mbona watu wa Dar es salaam tumezowea sana hiyo, zamani hata makazi ya Wakristo yalikuwa kule kunaitwa Mishen Kota (mission quarters). Unaweza ukaona ajabu ikiwa si mkazi wa Dar.

Kila mtu yuko huru kumpamgisha atakae na si ubaguzi huo. Nyumba nyingi sana wanafanya hivyo, kuna kwingine hata mkristo kwa mkristo hupangishwi kama si mlokole au hujaona hiyo nikuelekeze uende?

hiyo mbona imejificna. Nenda azam kaombe kazi ma ukristo wako kama utapata
Hapo nadhani mkuu umeleta habari ya unafiki na ushabiki katika inshu ambayo ni very sensitive,..Azam imejaza watu wa dini zote na mpaka wasio na dini wapo,kwa mtu mwenye akili timamu na anayependa ustawi wa jamii awezi kuingiza ushabiki katika mambo haya yahusuyo imani yazungumziwapo pole sana.

Mie na mume wangu tulienda Lushoto kutembea, pale mjini kuna hoteli ya kulala, tulinyimwa vyumba bila kupewa sababu na mhudumu, siku ya pili tukaambiwa ile Hoteli ni ya Wakristo na hawapendi Waislaam wafikie pale.

Sidhani kama hao jamaa wamekosea ikiwa sababu ni hiyo. Mbona watu wa Dar es salaam tumezowea sana hiyo, zamani hata makazi ya Wakristo yalikuwa kule kunaitwa Mishen Kota (mission quarters). Unaweza ukaona ajabu ikiwa si mkazi wa Dar.

Kila mtu yuko huru kumpamgisha atakae na si ubaguzi huo. Nyumba nyingi sana wanafanya hivyo, kuna kwingine hata mkristo kwa mkristo hupangishwi kama si mlokole au hujaona hiyo nikuelekeze uende?
Hii ni kweli ila the facts ni kuwa zuio kubwa ni kwa wenzetu kuliko kwetu. Waislamu wengi waliosoma zamani walisoma shule za mission bila ubaguzi.

Nawaombeni wana jf wenzangu tukubaliane na baadhi ya sababu ni za msingi kwao, mathalani hii ya kupangishwa nyumba, nilianzia maisha Ilala na nilipangishwa nyumba na Muislamu hakuwa na problem bali alisema nyumba yake ameisomea dua na huwa anaswali ndani hivyo akaniomba nisilete pombe, ile kitu na nisiigeuze danguro.

Kuna uwezekano hizo ndizo sababu za zuio.

Niliwahi kupata tx wa Iringa ambaye ni Muislamu, ilibidi tuachane na ile kitu mpaka alipoacha kazi kama heshima kwa imani za wenzetu.

Lazima tulipige soma la managing divesity tujifunze kuvumiluana zaidi na zaidi haswa kwa kuzingatia wenzetu wanaamini walionewa sana na kudhulumiwa enzi zile, hivyo sasa na wao wamepata toka kwa uncal wa Uarabuni, lazima watukomoe. Unadhani hata alitenunuliwa suti unafikiri jina lake lingekuwa Petro au Paulo angenunuliwa Saville Suit?. Waacheni wenzetu nao wafaidi!.

Mie na mume wangu tulienda Lushoto kutembea, pale mjini kuna hoteli ya kulala, tulinyimwa vyumba bila kupewa sababu na mhudumu, siku ya pili tukaambiwa ile Hoteli ni ya Wakristo na hawapendi Waislaam wafikie pale.

Sidhani kama hao jamaa wamekosea ikiwa sababu ni hiyo. Mbona watu wa Dar es salaam tu
NILIDHANI UTAKOSA CHA KUONGEA HAPO. ILA WELL DONE KWA TAARIFA TOA MTAA NA JINA TUIFANYIA KAZI. ASANTE.

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom