Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

Status
Not open for further replies.
............. Jina letu zuri ! Tunaitwa Waislaam ! Hatuitaji kuwa Wakristo ili tuonekane wafuasi wa Kristo ! upo ?

Mlianza tumi hilo jina lenu linii?

Issue hapa ni chuki kali aliyo nayo Allah wako kwa viumbe vyake. Shame on you and Allah wenu mbaguzi.

Mlianza tumi hilo jina lenu linii?

Issue hapa ni chuki kali aliyo nayo Allah wako kwa viumbe vyake. Shame on you and Allah wenu mbaguzi.
.........Pole na Mungu wako mwenye mtoto ! ndio maana tunawaogopa kuchanginyikana na nyinyi, hakuna dhulma kubwa kwa "Allah" S.W kama kumsingizia kuwa ana familia !

............. Jina letu zuri ! Tunaitwa Waislaam ! Hatuitaji kuwa Wakristo ili tuonekane wafuasi wa Kristo ! upo ?

Nyie ni wafuasi wa nani kama si Muham-mad? Nyie si mnajifunza kutoka na pitia Muham-mad? Sasa hii dini inayoitwa Islam ilitungwa lini na nani ni mwanzilishi wa hii deen? Muham-madan fits the description of you guys.

Mlianza tumi hilo jina lenu linii?

Issue hapa ni chuki kali aliyo nayo Allah wako kwa viumbe vyake. Shame on you and Allah wenu mbaguzi.

Hawezi kukujibu swali kama hili. Si wanajuwa deen yao ilitungwa na yule Mwamedi.

Machinjio yote nchini wamejaa ndugu zetu wa wanamuhammad, Ukienda chuo kikuu cha Kiislaam cha Morogoro kuanzia wanafunzi hadi uongozi wa juu ni islaam tupu! wauza icecream za bara barani na baiskeli wote wana suruali fupi fupi na madevu halina ubishi hilo
....... mna roho mbaya Wagalatia daaah ! mngekuwa mnagawa rizki pangekuwa hapatoshi Duniani. Ametukuka Mwenyezi Mungu, anampa Rizki kwa wingi hata yule anae msingizia kuwa ana familia !

.........Pole na Mungu wako mwenye mtoto ! ndio maana tunawaogopa kuchanginyikana na nyinyi, hakuna dhulma kubwa kwa "Allah" S.W kama kumsingizia kuwa ana familia !

Msikilize Allah wako anavyo kiri kuwa ana mtoto na mke:

Koran 6: 101. Yeye Allah ni Muumba wa mbingu na ardhi. Itakuwaje awe na watoto bila ya mke? Aliumba vitu vyote na Yeye ni Mjuzi wa kila kitu.

Haya mjibie Allah wako hapo juu. Itakuwa Allah awe na watoto bila ya Mke? Swali limeenda shule hilo.

wewe unajielewa kweli? Hebu kaisome tena hio bible. Unadhan Taurat,injil na zabur umeteremshiwa wewe? We sijui ni mmakonde wa wapi na unasoma habari za WANA WA ISRAEL. Mi nakufahamisha Wewe ni mtanzania na kuna nchi inaitwa ISRAEL ndo walopewa hio bibke mnayojidai mwaijua kumbe hamna lolote.
:A S-rap::wink1:

Mimi mwaka jana nilikosa duka pale Kariakoo mtaa wa Aggrey kuna jengo la Mchagga mmoja anaitwa Morie, wakapewa Wachagga watupu mimi nikakosa na pesa zangu nilikuwa nimeishalipa nikarudishiwa kidogo kidogo.
wakati mimi jengo letu mtaa wa Nyamwezi tumewapangisha wachagga sita

Msikilize Allah wako anavyo kiri kuwa ana mtoto na mke:

Koran 6: 101. Yeye Allah ni Muumba wa mbingu na ardhi. Itakuwaje awe na watoto bila ya mke? Aliumba vitu vyote na Yeye ni Mjuzi wa kila kitu.

Haya mjibie Allah wako hapo juu. Itakuwa Allah awe na watoto bila ya Mke? Swali limeenda shule hilo.
"Yeye ndie muumbaji wa mbingu na ardhi bila ruwaza (usaidizi). Itakuwaje awe na mwana na hakuwa na mke ? Naye ndie aliyeumba kila kitu ! naye ni Mwenyekujua kila kitu. Huyo ndie Allah, Mwenyezi Mungu, Mola mlezi wenu, hapana Mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu. Basi muabuduni Yeye tu. Naye ni mtegemewa wa kila kitu" Al Ana'am 101-102
" Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila kujua. Namna hivi tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyokuwa wakiyatenda" Al Ana'am; 108.

Jee wenye nyumba wanaokataa kuwapangisha wahaya na wakongo tusemeje?maana wapo wengi wenye tabia hiyo

USWAZI BWANA
-UNAWEZA AMBIWA KAMA HUJAOA/KUOLEWA NO ROOM
KAMAUMEOA UA KUOLEWA+FAMILY NO ROOM
UNAKULA KITIMOTO NO ROOM
MUISLAM/MKRISTU NO ROOM
I HATE IT

Umesikitishwa sana,mimi unanishangaza sana,mbona waislam wakilalamikia serikali ina udini kwasabu watu waanajiliwa,wanadahiliwa kwa kuangalia majina mbona hausikitishwi,mimi siungi mkono swala la kukukatalia ila ninakushangaa kulishtuka hilo wakati serikali imeingia mkataba na makanisa pekee mbona haushangai?,utasema hamkuomba,kwani mgao wa keki ya taifa unahitaji kuomba,au familia yako unailea vipi? Ukifahamu tu kua kuna makundi mawili basi uyapatie yote ili kuleta usawa na haki,wakiristo nchi ndio wanaosababisha udini kiukweli,mifano ipo mingi na munaijua,dada zetu wakitaka kuomba kazi wanavulishwa hijabu,hawapewi kazi wakiwa na hijabu na ndio maana hampendi kuona kiongozi muislam hata kama kiongozi mwenyewe ni juha.hayo mambo kama yapo sitegemei kulaumiwa kwasababu nyinyi ndio waanzilishi unalalamika kiunafki,udini upo na musipo ukataa nchi mutaingiza vitani uchaguzi unaokuja,ondoeni mkono wenu kwenye mahakama ya kadhi ili tuone hakuna udini.

Ofisini kwangu Bosi wangu simu yake Ring tone yake ni kwaya ya rose mhando na caller tone ni kwaya ya chibalonza, kuna siku alimpigia simu muislam mmoja ikaita korani (caller tone) akakata simu na kutukana sana eti kaweka mapepo na akatuambia tusimpigie simu huyo bwana sababu itaita korani...

Tuna mengi waTZ ni pamoja na ujinga wa kufikiri, ubinafsi na chuki.

MIJITU MINGINE SIJUI NI AJE? UTAKUTA HAPO KUNA DARASA LA KUTOSHA,ILA HALIJAELIMIKA!!!!!!

Miskitini hakuna cha ajabu mkuu ndo mana ikijaa watu wanasali hadi nje, makanisa ya USA yashaanza ibada za majoka lini wabongo mtafata mkumbo huo.

KWA WALIOZOEA WANAONA KAWAIDA!! LAKIN KM HUJAZOEA MMM SOMETIMES HUMO UNAONA UNASWALI NA BIN MWENZIO KUMBE LOOOOOL MATATA MATUPU

Ff hotel ya kulala? ,ndo nini!? Hotel ni sehemu inapopatikana huduma ya malazi
chakula pamoja na
vinywaji

Pole sana mkuu! haya mambo tuposiangalia watanzania yatatupeleka pabaya! Mungu atuepushe na hayo kiukweli.

"Yeye ndie muumbaji wa mbingu na ardhi bila ruwaza (usaidizi). Itakuwaje awe na mwana na hakuwa na mke ? Naye ndie aliyeumba kila kitu ! naye ni Mwenyekujua kila kitu. Huyo ndie Allah, Mwenyezi Mungu, Mola mlezi wenu, hapana Mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu. Basi muabuduni Yeye tu. Naye ni mtegemewa wa kila kitu" Al Ana'am 101-102
" Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila kujua. Namna hivi tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyokuwa wakiyatenda" Al Ana'am; 108.

Bado hujajibu swali:

Itakuwaje Allah awe na watoto bila ya mke.

Koran 6: 101. Yeye Allah ni Muumba wa mbingu na ardhi. Itakuwaje awe na watoto bila ya mke? Aliumba vitu vyote na Yeye ni Mjuzi wa kila kitu.

Haya mjibie Allah wako hapo juu. Itakuwa Allah awe na watoto bila ya Mke? Swali limeenda shule hilo.

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom