Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,694
- 40,958
Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa.
Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU.
Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe.
Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna.
Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana wapi oli niende kwa wakala nikaitoe.