pole mwaya...:redface:
umenyang'anywa au umekosa?
Pole, haikuwa riziki.
Pole sana walishapata watu wao ndio maana wamefanya hivyo
ndo tanzania yetu
So after hiyo interview walikuambia kwamba umekosa kazi hamna kazi??
Usijali, utakuja kupata kazi ambayo wenyewe watashangaa!! Naimaini mungu atakulipa zaidi!! Just move on!!
Kampuni gani hiyo ya cm??
Si uitaje?
cwez kuitaja maana cku nyngne wanaweza ninyima pia kaz
Pole, haikuwa riziki.
amina mi naamin ntapata nzuri zaid