- Thread starter
- #41
Yaani ulipata kazi kabla ya intavyuu?
nilishafanya intrview nikaambiwa nimepata kaz nirport 4training
Yaani ulipata kazi kabla ya intavyuu?
inawezekana walijua kuwa wale waliokwenda interview walichakachua hivyo wakataka kuhakikisha kama kweli hao watu wameingia kihalali, ndo hivyo tena yakawakuta...
watu wengine bwn, kama we hujui kingereza ucdhani na wenzio ni hivyo hivyo!