Nimenyang'anywa kazi mkononi

Tatizo weye Mdau hujiamini Ndo maana ulichakachuliwa..we ushafanya interview ya kwanza unaenda training unaambiwa kuna nyengine hata huulizi maswali..Af ps unaweka hapa Habari nusuNusu Lisa unaogopa Hadi kivuli chako..sasa watakujuaje au username ndo uliombea kazi

ningekuwa cjiamin nicngeweka hapa.
 
Pengine uliitwa interview ya pili ukafikiri unaitwa kazini si unajua mambo ya kingereza tena.
 
Labda ulikuwa mzito au ulifail kucatch up kwenye training,anyway wakati mwingine utapata.
 
Sema ni kampuni gani coz mi nina kisa na AIRTEL mdau kuna mdada alinipokonya kazi tam ni HR hapo anaitwa.....
 
Huwezi jua pengine umeepushwa na "ngoma" huko kazini. si unajua tena mahusiano makazini.
 
jaman maisha haya mpaka lin, pole bwana na karibu tena kijiweni,ipo tutaandamana mpaka wanako lala maana huku ofini wameshkuwa sugu
 
Ckuwah kuimagn kuwa unaweza kunyang'anywa kaz hv hv, nilipata kaz kwny kampun moja ya cm cha ajabu cku ya kuanza training 2kaambiwa 2fanye interview jaman kazi hzi, kumbe walishatuchakachua.

ulitaka kazi bila interview?
 
ningekuwa cjiamin nicngeweka hapa.

Sasa unaogopa nini kutaja jina tu la kampuni , kwani si kweli imetokea au unadanganya hilo halikutokea? watajuaje ID yako ya JF ili wakunyime kazi siku nyingine? kama ndio hivi wewe utakosa kazi nyingi sana... hujui kutetea haki yako!!!
 
Sasa unaogopa nini kutaja jina tu la kampuni , kwani si kweli imetokea au unadanganya hilo halikutokea? watajuaje ID yako ya JF ili wakunyime kazi siku nyingine? kama ndio hivi wewe utakosa kazi nyingi sana... hujui kutetea haki yako!!!

utakosa kaz mwenyewe
 
inawezekana walijua kuwa wale waliokwenda interview walichakachua hivyo wakataka kuhakikisha kama kweli hao watu wameingia kihalali, ndo hivyo tena yakawakuta...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom