Naomba kuelimishwa juu ya kazi za United Nations volunteer kwa hapa Tanzania

lushotonyumbani

New Member
Jul 15, 2021
4
0
Husika na kichwa cha habari hapo juuu.mnadhana mmewah kuskia hii kazi za unv wenyewe wanaziita volunteer assignments

Mm kuna moja nmeomba nmetumiwa email nmeaambiwa "profile imekuwa submitted to the host entity nijiandae kwa possible interview.

Sasa nna maswal kadhaaa kwa waliopata hizi nafasi.
1. Aina ya interview wanatakao conduct ,naskia ji competences based unapigiwa simu na kuulizwa maswal hata hayahusiana na hyo nafas

2.kuna namna yoyote ya connection watu wanafanyiana kwenye hzi assignments

3. Mshahara upoje

4.nifanye nn nijiongezee nafas ya kupata hii kaz
5. Leo trh 2 kazi inatakiwa kuanza trh 13 mpaka leo sijapigiwa kwa ajili ya interview hii ni salama aiseee!
 
3. Mshahara upoje
Siku ukielewa Mana ya mshahara ,hii Hali inaathiri vijana na watu wengi mno wao wanawaza hela na sio kazi. Salary sio kazi yako ama Ni nje ya uwezo wako huwezi amua salary wao ndio wanaoamua na huwezi wapangia kila position Ina scale Yake.

Pia salary Ni reward unayopewa na sidhani Kama Kuna mtu ameshapewaga malipo before ya kuanza kazi. Ni sawa ukatanukiwa mbusususuus ukifurahi unatoa bakshishi mkuu.

Ama unaweza ukawa umeelewana na mtu Ila jinsi alivyofanya ukafurahi ukampa zaidi ya kiwango mlichoelewana
 
Vijana wengine .ni hovyo kabisa hawajui kabisa kazi ni zaidi ya mshahara
 
Sema ukishakuwa against with his beliefs atakuona hufai so atatafuta ambaye hawezi ku attack her/his beliefs ndivyo tunavyoishi. Mana nikipingana na wewe Ina Mana na attack your ego na ndio Mana wenye Imani moja wanakuwa marafiki. 🐦 of the same feathers fly together.
So inabidi uungane naye ili afurahi Ila ukweli una attack personality yake
 
Husika na kichwa cha habari hapo juuu.mnadhana mmewah kuskia hii kazi za unv wenyewe wanaziita volunteer assignments

Mm kuna moja nmeomba nmetumiwa email nmeaambiwa "profile imekuwa submitted to the host entity nijiandae kwa possible interview.

Sasa nna maswal kadhaaa kwa waliopata hizi nafasi.
1. Aina ya interview wanatakao conduct ,naskia ji competences based unapigiwa simu na kuulizwa maswal hata hayahusiana na hyo nafas

2.kuna namna yoyote ya connection watu wanafanyiana kwenye hzi assignments

3. Mshahara upoje

4.nifanye nn nijiongezee nafas ya kupata hii kaz
5. Leo trh 2 kazi inatakiwa kuanza trh 13 mpaka leo sijapigiwa kwa ajili ya interview hii ni salama aiseee!
Kwanza kama hujapigiwa simu kwa interview consider yourself unsuccessful.
Kuhusu maswali hata tukikuambia majibu yake bado kama huna uwezo wanaoutaka utajibu kwa kumeza na watajua tu wewe sio mtu wanayemuhitaji.
Kupewa possible questions na majibu sahihi hakukufanyi kuwa candidate wanayemtaka, bado unatakiwa uwe na uwezo binafsi kujibu, kuna wakati unaweza ukajibu 7 wrong out of 10 ukachukuliwa na mwingine akajibu 7 correct akaachwa kwa kuwa kuna vitu zaid ya majibu wanaangalia.
Kuhusu utapata mshahara gani, hilo tunaomba tusikujibu hapa japo kila kitu kimewekwa kwenye portal yao, ila kwa volunteer hakuna salary ila kuna posho ambayo inategemea hiyo assignment uliyoomba ni local au International.
Nafikir siku ukiitwa kwenye interview swali litakalokukwamisha ni hilo la mshahara, Sasa ikiwa unaomba ku volunteer swali la salary ukiulizwa utambue hiyo assignment haina salary likwepe.
Mwisho kabisa, ongeza bidii kuweka profile yako vizur ili ujiongezee nafasi na jiongezee viujuzi vidogodogo kila mara.
 
Asante mkuuu,japo nshapogiwa kwa ajili ya interview maswali yao ni competences based questions mfano tell us a time u demonstrated problem solving skills nmepractise sana kujbu bila kukariri kwa kutumia formula ya starl yan situation task action result na lesson naendelea kupractise confidence body language na calmness naomba unieleweshe hapo kwenye mshahara ntakwama kvp mana sitwauliza mshahara na wakiniuliza kimtego nilipwe sh ngap ntawajb I'm fully aware this is voluntary assignment and I'm entitle to volunteer living allowance as stipulated in your websit3 and platform and I'm fine with it nadhan ni jbu sashihi ! Kwako mtumishi
 
Nafikiri mpaka hapo hakuna mashaka yoyote, ni matumaini watakuita kabla ya assignment kuanza haka kama wamechelewa.
Na hilo la mshahara ushalijibu mwenyewe tayar, kikubwa wewe nenda kwanza ukafanye interview kabla sisi hatujakuambia utapata vitu gani, unaweza kuwa overexcited au demoralised kwa utakachokisikia hapa, ila kwa ufupi ni fursa nzur mno hata kabla hujapewa hela bali hiyo exposure yake tu utaridhika mwenyewe kwakuwa njia za kutokea utaziona nyingi hata kama zitachelewa ila zipo na siku ukiwa full admitted utakuja hapa kutuambia.
Kila la kheri Zumbe.
 
Back
Top Bottom