Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Salaamu,
Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.
Je aitoe mimba ama aendelee nayo?
Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?
Wana JF nahitaji ushauri