Ushauri: Mke wangu anatembea na mfanyakazi mwenzie hadi kamzalisha

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,823
Mpaka nimeamua kukuandika sijui nifanye nini, mimi ni kijana wa miaka 33 nimeoa na nina mtoto mmoja na sasa hivi mke wangu amekwenda nyumbani kwetu kujifungua na hii ndio sababu ya mimi kuja kukuandikia.

Iko hivi, mimi na mke wangu tulikuwa vizuri sana katika ndoa yetu, ni mwanamke ambaye niliona ananiheshimu na kujali kweli kila mtu anampenda. Hatujawahi kugombana lakini wiki mbili zilizopita alikwenda kujifungua nyumbani kwetu, mimi ndiyo nilimpeleka lakini kurudi nyumbani katika kuhangaika kufanya usafi ndiyo nikakuta kuwa kuna laini ya simu ambayo ilikuwa kama imedondoka.

Nilipanga kuitupa ila nikaamua kuiweka kwenye simu kuangalia. Sikukuta kitu cha maana hivyo nikaamua kuitoa ila kabla ya kuitoa kuna SMS Mbili ziliingia ni kama zile zinasubiri uwashe simu ndiyo ziingie.

Ni meseji za mwanaume ambaye alikuwa akilaumu mke wangu kwa kwenda kwetu kujifungua. Kuna SMS moja ndiyo uliniumiza zaidi, uliandikwa “Mtoto wa kwanza nilihudumia mimba unajifungua mtoto kafanana na huyo mwanaume wako! Huyu wa pili nimekuambia anataka niwe karibu na wewe umeenda kujifungulia kwenu?

Nataka ujue kwamba huyo mtoto kama ni wangu ukirudi namchukua sitaki mwanangu kuishi na huyo Boya!”

Niliiangalia ile namba nikaja kugundua kwamba ni namba ya mfanyakazi mwenzake, nikafuatilia mtandaoni nikajua ni mtu ambaye namfahamu hata kwenye harusi yetu alikuja huyo kaka na wafanyakazi wenzake tena kama familia yake hata ile kutafuta hoteli kwa ajili ya wageni nilitafuta mimi na huyo ni mmoja wao wale ambao alitoa list ya watu wake watakaokuja siku ya harusi.

Sikujibu chochote hizi meseji na mpaka sasa hivi hakijatumwa chochote, nahisi labda mke wangu kamwambia kuwa hiyo laini kashapoteza sijui, ila ninachowaza sasa hivi nifanye nini? Nimekaa na hiki kitu wiki mbili mwenyewe nahisi kuchanganyikiwa kweli najiona kabsai nafanya vitu ambavyo sivyo naomba ushauri nifanye nini?
 
Mwambie akaolewe na huyo anaezaa naye huyo mwanamke hakufai

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ondoka kaanze maisha mapya. Pima DNA ya huyo mtoto wa kwanza. Ukikuta wa kwako then sepa naye.
Muachie nyumba nk. Kaanze maisha upya.

Kama utakuwa na akiba tembea kidogo kupunguza mawazo...nenda lindi huko Kuna beach nzr kaa hata siku 4. Then Rudi Anza maisha mapya na kutongoza wasichana upya
 
Mpaka nimeamua kukuandika sijui nifanye nini, mimi ni kijana wa miaka 33 nimeoa na nina mtoto mmoja na sasa hivi mke wangu amekwenda nyumbani kwetu kujifungua na hii ndio sababu ya mimi kuja kukuandikia.

Iko hivi, mimi na mke wangu tulikuwa vizuri sana katika ndoa yetu, ni mwanamke ambaye niliona ananiheshimu na kujali kweli kila mtu anampenda. Hatujawahi kugombana lakini wiki mbili zilizopita alikwenda kujifungua nyumbani kwetu, mimi ndiyo nilimpeleka lakini kurudi nyumbani katika kuhangaika kufanya usafi ndiyo nikakuta kuwa kuna laini ya simu ambayo ilikuwa kama imedondoka.

Nilipanga kuitupa ila nikaamua kuiweka kwenye simu kuangalia. Sikukuta kitu cha maana hivyo nikaamua kuitoa ila kabla ya kuitoa kuna SMS Mbili ziliingia ni kama zile zinasubiri uwashe simu ndiyo ziingie.

Ni meseji za mwanaume ambaye alikuwa akilaumu mke wangu kwa kwenda kwetu kujifungua. Kuna SMS moja ndiyo uliniumiza zaidi, uliandikwa “Mtoto wa kwanza nilihudumia mimba unajifungua mtoto kafanana na huyo mwanaume wako! Huyu wa pili nimekuambia anataka niwe karibu na wewe umeenda kujifungulia kwenu?

Nataka ujue kwamba huyo mtoto kama ni wangu ukirudi namchukua sitaki mwanangu kuishi na huyo Boya!”

Niliiangalia ile namba nikaja kugundua kwamba ni namba ya mfanyakazi mwenzake, nikafuatilia mtandaoni nikajua ni mtu ambaye namfahamu hata kwenye harusi yetu alikuja huyo kaka na wafanyakazi wenzake tena kama familia yake hata ile kutafuta hoteli kwa ajili ya wageni nilitafuta mimi na huyo ni mmoja wao wale ambao alitoa list ya watu wake watakaokuja siku ya harusi.

Sikujibu chochote hizi meseji na mpaka sasa hivi hakijatumwa chochote, nahisi labda mke wangu kamwambia kuwa hiyo laini kashapoteza sijui, ila ninachowaza sasa hivi nifanye nini? Nimekaa na hiki kitu wiki mbili mwenyewe nahisi kuchanganyikiwa kweli najiona kabsai nafanya vitu ambavyo sivyo naomba ushauri nifanye nini?
 
Kikubwa mkuu ni kumwambia ukweli alafu act like nothing happened. Maisha yaendelee yeye mwenyewe huyo mwanamke atafeel guilty kwa mambo aliyoyafanya.
Ukitumia hasira hasara use your brains na hekima zaidi na ikiwezekana waite wote na huyo mwenye mtoto waambie ukweli.
 
Pima DNA watoto, pima UKIMWI, mjulishe huyo mfanyakazi kwa ujumbe mdogo tu kuwa unajua upumbavu wanaoufanya, mpe talaka mwanamke. Endelea kufurahia maisha.
 
Kikubwa mkuu ni kumwambia ukweli alafu act like nothing happened. Maisha yaendelee yeye mwenyewe huyo mwanamke atafeel guilty kwa mambo aliyoyafanya.
Ukitumia hasira hasara use your brains na hekima zaidi na ikiwezekana waite wote na huyo mwenye mtoto waambie ukweli.
Asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom