gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,003
Hahaha badamu batamwagika Ila ndoa izi jaman Mungu tusaidie yaan ameenda kufanya kweli ili amkomoe mkewe kweli tumetofautiana akili za kufikili....Badamu sijui nini? Vile utakoma

Umekamilisha zoez la kuwaunganisha marafiki wawili asitoe mimbaSalaamu,
Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.
Je aitoe mimba ama aendelee nayo?
Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?
Wana JF nahitaji ushauri
Hahaha badamu batamwagika Ila ndoa izi jaman Mungu tusaidie yaan ameenda kufanya kweli ili amkomoe mkewe kweli tumetofautiana akili za kufikili....
Mkuu unaonekana matumizi ya kondom kwako hujali kabisa! Subiri siku akigundua umempasia VVU ndo utajua kwa nini hakuna Masai albino!Salaamu,
Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.
Je aitoe mimba ama aendelee nayo?
Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?
Wana JF nahitaji ushauri
Kubali consequences za ujinga wako.For Gods sake,utaamuaje kwamba kwa kuwa mkeo anadhani kwamba umetembea na huyo dada, basi na wewe unatembea naye,that is very stupid of you.Unatenda uovu kwa sababu ya ujinga wa mtu mwingine.Hii inaonyesha wazi kwamba na wewe ulikuwa na nia ya kujamiiana na huyo dada,usitudanganye.Wewe ni mtu mzinifu,acha tabia hiyo.Salaamu,
Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.
Je aitoe mimba ama aendelee nayo?
Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?
Wana JF nahitaji ushauri
Ukipanda mahind huwez vuna uleziSalaamu,